Lazima maisha ya kawaida yaendelee, lengo la mashambulizi ilikuwa shabaha za kijeshi. Na hili limefanyika kikamilifu. Maeneo ya kiraia hawana haja ya kuwa na hofu wao si walengwaWanaukumbi.
Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran.
View: https://x.com/haiderali099/status/1850040504513163449?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Lazima maisha ya kawaida yaendelee, lengo la mashambulizi ilikuwa shabaha za kijeshi. Na hili limefanyika kikamilifu. Maeneo ya kiraia hawana haja ya kuwa na hofu wao si walengwa
Tizama Al-Jazeera wacha hizi propaganda images. Sasa mpira upo kwa Iran kujibu mashambulizi. Mpaka siku pande zote zinazohusika katika mgogoro huu zitakapoamua kwa dhati kusaka amani kwa njia ya diplomasia. Kwa sasa tuone kifuatacho.
Acheni kushare video Ayatollah kaongea na Allah kuwa atakaye share video za athari jela miaka 10.. so acheni kumdharau Allah
Kwani usipoleta news from Msikiti TV utakuwa huruhusiwi kuingia firdaus? Kwa bingwa la waongo.
Wewe si ulisema hata mosquito hawajafa? Au ndio u Allah gangster
Unalia dogo ....Leta video zako ila tunafanya censorship kwanza , acha uongo.! 😀Acheni kushare video Ayatollah kaongea na Allah kuwa atakaye share video za athari jela miaka 10.. so acheni kumdharau Allah