Maisha ya kuanza kujitegemea ukiwa mtu mzima Ni stress tupu vijana anzeni kujipanga from 25

Bcom.
Ajira nilishasau mda sana kutafuta.
Kuhusu nimekwama wapi sina jibu la kutosheleza ila ubongo umeshindwa kuprocess nifanye nini kupiga hatua nikiwa sina kitu mfukoni.
Nimekosa pesa nimekosa namna ya kujikwamua.Nimekubali hali yangu.
Aise
 
Hongera sanaaa kwa kushtuka mapema. Nininkilikusaidia. Hela ulikuwa nayo ama mindset Yako ilikusaidia kukuongoza?
Mindset tu mkuu

Sababu Extrovert Ukiondoa kucheka cheka kwake anasema lazima uwe na hela kwanza Ili akili ijitegemee. Inakuja kweli?
Inategemeana na mtu mwenyewe.

Jina langu litamke kama Karusiii.
 
Eeh mambo magumu chief! Mtu anaeongea kizembe natamani nimwambie account zake zisafishwe awe na 0.00 TZS halafu atupwe mkoani ambako hamjui mtu ili uhalisia upatikane!

Mtu anaongelea kuanza maisha ikiwa account yake ina million 10-20 na ana kazi ya uhakika! Lazma ataona vijana hawapambani tu 😂😂🤣
bongo sio kabisa, tunapaswa kushtuka
 
Nafikiri utamaduni wa kitanzania unachangia kwa kiasi kikubwa. Inabidi iwe kijana akimaliza form 4/6 aondoke nyumban
 
Eeh mambo magumu chief! Mtu anaeongea kizembe natamani nimwambie account zake zisafishwe awe na 0.00 TZS halafu atupwe mkoani ambako hamjui mtu ili uhalisia upatikane!

Mtu anaongelea kuanza maisha ikiwa account yake ina million 10-20 na ana kazi ya uhakika! Lazma ataona vijana hawapambani tu [emoji23][emoji23][emoji1787]
Iko hivyo kwa mwenye kipato na ambaye hajawahi kupitia pagumu, lakini kuna wengine wanakwamishwa na wao wenyewe kwa kushindwa kutumia wakati vizuri, mfano mwingine alichezea shule kwa kubebesha watu mimba au kubeba mimba, kuvuta bangi au ujinga na uzembe wake lakini muda ukimuacha atataka kujilinganisha na wale waliotumia muda vizuri wanakwamishwa na kipato na mipango mibaya ya familia zao.
 
Mimi nina miaka 56 na nipo kwetu hauko peke yako mkuu tunakusapoti

baba aliniambia nimekua nihame nikamwambia labda yeye ndio ahame aende kwao mimi hapa ndio kwetu...
Hahahahhh.. mzee wangu angekupiga tukio usingeamini yani
 
Iko hivyo kwa mwenye kipato na ambaye hajawahi kupitia pagumu, lakini kuna wengine wanakwamishwa na wao wenyewe kwa kushindwa kutumia wakati vizuri, mfano mwingine alichezea shule kwa kubebesha watu mimba au kubeba mimba, kuvuta bangi au ujinga na uzembe wake lakini muda ukimuacha atataka kujilinganisha na wale waliotumia muda vizuri wanakwamishwa na kipato na mipango mibaya ya familia zao.
Eh huyo dropout asipojitambua inakuwa ngumu sababu ameshachagua njia ya ku hustle wala hatakiwi kulilia mtaji!

Ila watu waliochagua kusoma ambayo ndio njia iliaminika sahihi wankuwaga na uzito sana wa kufanya shughuli nje ya taaluma zao! Hawa ndio wanahitaji counselling na support za ziada kutoboa!
 
Eeh mambo magumu chief! Mtu anaeongea kizembe natamani nimwambie account zake zisafishwe awe na 0.00 TZS halafu atupwe mkoani ambako hamjui mtu ili uhalisia upatikane!

Mtu anaongelea kuanza maisha ikiwa account yake ina million 10-20 na ana kazi ya uhakika! Lazma ataona vijana hawapambani tu 😂😂🤣
We Jamaa ni moja kati ya watu ambao huwa wanani-impress sana hapa Jukwaani.

Asilimia kubwa ya watu wanafikiria mambo mazito ktk kona nyepesi sana.

Ni rahisi sana kumkuta mtu ambaye mambo yake yanaenda anaona wengine kama akili zimeganda au wavivu.
 
Nilianza vibarua na Kazi za kujilipua nikiwa Nina umri wa miaka 20, mwaka mmja baad ya kumaliza form Iv, baada ya kuona kufanya Kazi na mzazi Tena unakaa kwake hutoboi, mnapiga Kazi ya maana full ushirikiano unaambuliwa kupewa pesa ya malapa..
Nilishakaa Central siku 4 (traffic case), stakishari 3 (traffic case), Tabata police post siku moja kwa kesi ya kubambikiziwa ya mauaji ya Askari.. baada ya misoto ya kwenda Moro, mvua-duthumi- bwakila- Dakawa- Kisaki miezi mitatu baadae nikaamia Mang'ula, ifakara, Mbingu, na baadae Mlimba vijiji vya ndani ndani karibu kabisa na Mbeya.
Napo huko sikufanikiwa, nikaamia kwenye Kazi za Takataka hapahapa Dar kwa wakandarasi baadae nikapata mtaji nikawa naenda Iringa ruaha mbuyuni mbugani huko, Kama mchuuzi wa mbogamboga na kuleta kuuza solo la sambusa kigogo kwa kina dalali Mwasiliwa ...
Napo huko nikaambuliwa kutapeliwa na mwanamke mmj mfanyabiashara mwenzangu ambaye nilikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi. Sikukata tamaa japo nilikuwa mweupe nikaanza kuuza mishikaki barabarani ya Mia mbili Mia mbili, napo sikufanikiwa kwa kuwa teyari nilikuwa na leseni yangu fresh, nikapata mchongo wa school bus shule moja ya Joshua mbezi beach na wadhamini walikuwepo wa kunibeba walinipigania kweli, maana Uongozi wa shule ulikataa kwa kuwa sikuwa na CV ya kufanya Kazi mahali Kama kuajiliwa hasa magari ya shule, na leseni ilikuwa Ni changa kwenye madaraja ya C, umri mdogo.MUNGU alisimama upande wangu wakanikubali, nikapiga Kazi Kama miezi kadhaa, nikaacha baada ya kupata dili la u supervisor wa taka kwenye Kampuni ya Greenwest Co LTD tawi la ukonga, kwa mitaa ya ukonga naifahamu vema haikuwa kazi ngumu kwangu...
Wakati nafanya Kazi greenwest nikapata mchongo wa PESPI, Na ukizingatia jamaa walikuwa wameshaanza kusumbua kuhusu malipo wakidai mapato ya makusanyo Ni madogo na gharama za uendeshaji Ni kubwa, na uchawi ulishaanza kuwa mwingi kazini, nikaamua kujizatiti kukomaa na mchongo mpya wa PEPSI, MUNGU akanisimamia kwa wakati mwingine Tena, nikapiga interview mbili, nikafanya vizuri wakanikubali nikala shavu.
Mpaka Sasa nimeamua kutumia hapa kwanza kugain experience na CV nzuri huku nikiendelea kula matunda ya harakati zangu..
Anyway Sasa hivi Nina 25, Nina mke na Mtoto mmj...
 
We Jamaa ni moja kati ya watu ambao huwa wanani-impress sana hapa Jukwaani.

Asilimia kubwa ya watu wanafikiria mambo mazito ktk kona nyepesi sana.

Ni rahisi sana kumkuta mtu ambaye mambo yake yanaenda anaona wengine kama akili zimeganda au
Yeah kaka, tukija kwenye uhalisia mambo ni different!
 
Kaka mkubwa wengi tupo boti moja na tumegonga 30.
Hapa nipo geto sina hata mia mbovu so asubuh itapita mchana nako kutapita ila usiku nitatoboa cha ajabu sina stress na ninasongesha ili life zaidi ya miezi 6.
Unajua nini kaka mkubwa pride na hizi elimu za chuo ndio mchawi wetu wa stress na depression ila umri sio tatizo.
Mkuu harakati gani unazofikiria kuzifanya ?
 
Nilianza vibarua na Kazi za kujilipua nikiwa Nina umri wa miaka 20, mwaka mmja baad ya kumaliza form Iv, baada ya kuona kufanya Kazi na mzazi Tena unakaa kwake hutoboi, mnapiga Kazi ya maana full ushirikiano unaambuliwa kupewa pesa ya malapa..
Nilishakaa Central siku 4 (traffic case), stakishari 3 (traffic case), Tabata police post siku moja kwa kesi ya kubambikiziwa ya mauaji ya Askari.. baada ya misoto ya kwenda Moro, mvua-duthumi- bwakila- Dakawa- Kisaki miezi mitatu baadae nikaamia Mang'ula, ifakara, Mbingu, na baadae Mlimba vijiji vya ndani ndani karibu kabisa na Mbeya.
Napo huko sikufanikiwa, nikaamia kwenye Kazi za Takataka hapahapa Dar kwa wakandarasi baadae nikapata mtaji nikawa naenda Iringa ruaha mbuyuni mbugani huko, Kama mchuuzi wa mbogamboga na kuleta kuuza solo la sambusa kigogo kwa kina dalali Mwasiliwa ...
Napo huko nikaambuliwa kutapeliwa na mwanamke mmj mfanyabiashara mwenzangu ambaye nilikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi. Sikukata tamaa japo nilikuwa mweupe nikaanza kuuza mishikaki barabarani ya Mia mbili Mia mbili, napo sikufanikiwa kwa kuwa teyari nilikuwa na leseni yangu fresh, nikapata mchongo wa school bus shule moja ya Joshua mbezi beach na wadhamini walikuwepo wa kunibeba walinipigania kweli, maana Uongozi wa shule ulikataa kwa kuwa sikuwa na CV ya kufanya Kazi mahali Kama kuajiliwa hasa magari ya shule, na leseni ilikuwa Ni changa kwenye madaraja ya C, umri mdogo.MUNGU alisimama upande wangu wakanikubali, nikapiga Kazi Kama miezi kadhaa, nikaacha baada ya kupata dili la u supervisor wa taka kwenye Kampuni ya Greenwest Co LTD tawi la ukonga, kwa mitaa ya ukonga naifahamu vema haikuwa kazi ngumu kwangu...
Wakati nafanya Kazi greenwest nikapata mchongo wa PESPI, Na ukizingatia jamaa walikuwa wameshaanza kusumbua kuhusu malipo wakidai mapato ya makusanyo Ni madogo na gharama za uendeshaji Ni kubwa, na uchawi ulishaanza kuwa mwingi kazini, nikaamua kujizatiti kukomaa na mchongo mpya wa PEPSI, MUNGU akanisimamia kwa wakati mwingine Tena, nikapiga interview mbili, nikafanya vizuri wakanikubali nikala shavu.
Mpaka Sasa nimeamua kutumia hapa kwanza kugain experience na CV nzuri huku nikiendelea kula matunda ya harakati zangu..
Anyway Sasa hivi Nina 25, Nina mke na Mtoto mmj...
Hongera sana
 
Kaka mkubwa wengi tupo boti moja na tumegonga 30.
Hapa nipo geto sina hata mia mbovu so asubuh itapita mchana nako kutapita ila usiku nitatoboa cha ajabu sina stress na ninasongesha ili life zaidi ya miezi 6.
Unajua nini kaka mkubwa pride na hizi elimu za chuo ndio mchawi wetu wa stress na depression ila umri sio tatizo.
point muhimu sana hii
 
Back
Top Bottom