Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,647
Hii tabia ya kukaa nyumbani alafu hujishughulishi na issue yeyote ile ya kukuletea pesa imewarostisha vijana wengi.
Maisha ya kukaa kutegemea nyumbani, wazazi, ndugu, marafiki na jamaa wawe ndo wanaendesha maisha yako iko siku utakuja kulostiii alafu hutoamini hapa tulipo kuna jamaa yetu alikuwa anaishi kwao kwa shemeji yake saivi.
Mambo yamebadilika nyumba ya shemeji yake inapigwa mnada na benki jamaa ana haha hatari na hajui nini cha kufanya.