KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Inatakiwa hekima, ubinadamu na utukufu wa Mungu Kwa mwenye shibe kumkumbuka mwenye NJAA.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama Hana kazi akaibe,kaa home kula bure ,lala bure ,oga bureHii tabia ya kukaa nyumbani alafu hujishughulishi na issue yeyote ile ya kukuletea pesa imewarostisha vijana wengi.
Maisha ya kukaa kutegemea nyumbani, wazazi, ndugu, marafiki na jamaa wawe ndo wanaendesha maisha yako iko siku utakuja kulostiii alafu hutoamini hapa tulipo kuna jamaa yetu alikuwa anaishi kwao kwa shemeji yake saivi.
Mambo yamebadilika nyumba ya shemeji yake inapigwa mnada na benki jamaa ana haha hatari na hajui nini cha kufanya.