Mtegemea cha ndugu hufa masikini pambana.
Utakufa tu, kwan sasa hivi una undugu na Bakhresa au Mo?Sio kweli hii misemo ya kimaskini tu.
Sasa kama ndugu yangu Bakhresa? au Mo naanzaje kufa maskini?
Na ukijaribu kumwambia atafute hata kibarua cha kujishughulisha anaona humpendi unamtakia mabaya.Vijana tukishaonaga tupo kwenye hali ambayo siku zinaenda bila shida hua tunasahau kabisa kuhusu siku zijazo
Anaona unamsimangaNa ukijaribu kumwambia atafute hata kibarua cha kujishughulisha anaona humpendi unamtakia mabaya.
KabisaMaisha yako ni jukumu lako mwenyewe 100%.
Hahaha safi sanaSasa si muwasaidie kuwatafutia kazi
kuna brother wangu ilikuwa kila weeke hunipa k50 alafu nikimwambia suala la misheni kiswahili kibao nikaona ujinga nikachonga dili na afande niwekwe ndani aje anitoe kwa pesa nipate mtaji likachezwa dili la pesa kama m2 kutoka ndani kweli ikaletwa baada ya wiki mbili nikampa afande laki tano nyingine nikaanza mishe zangu kwa siri siku shemeji ananichoka mi nimenunua kiwanja nimejenga na familia juu hawakua amin [emoji6][emoji6] maisha mipango kaen bila mipango mnazani kuna watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha kweli jamani tumtegemeea muumba ata kama unaenda kuishi wapi ww jiripue kivyakovyako kwa kuamini kua yupo anaekusimamiaHii tabia ya kukaa nyumbani alafu hujishughulishi na issue yeyote ile ya kukuletea pesa imewarostisha vijana wengi.
Maisha ya kukaa kutegemea nyumbani, wazazi, ndugu, marafiki na jamaa wawe ndo wanaendesha maisha yako iko siku utakuja kulostiii alafu hutoamini hapa tulipo kuna jamaa yetu alikuwa anaishi kwao kwa shemeji yake saivi.
Mambo yamebadilika nyumba ya shemeji yake inapigwa mnada na benki jamaa ana haha hatari na hajui nini cha kufanya.
Ata uwe na ndugu bill geti kukugaia chake mpaka apende Na huwez kumlaumu au kumsema wewe pambana upate chako ,,,Na nakusihi kwenye maisha ili uishi vizur miliki chakoSio kweli hii misemo ya kimaskini tu.
Sasa kama ndugu yangu Bakhresa? au Mo naanzaje kufa maskini?
Sasa kama Hana kazi akaibe,kaa home kula bure ,lala bure ,oga bure😅Hii tabia ya kukaa nyumbani alafu hujishughulishi na issue yeyote ile ya kukuletea pesa imewarostisha vijana wengi.