Maisha ya madaktari wa Kitanzania na umaskini wao na kuishia katika kupata heart attack

Madaktari wako wangapi ?
 
Narudia tena wewe ni LIPUMBAVU NA LIMASIKINI LA TAMISEMI HUKO
MD Wenzako kibao wanaojilewea wapo MDH,Jhpiego etc wanakula salary za U.S we umekaa kulalamika tu unasubiri kufirwa
Mkuu inatisha basi msamehe tu
 
Inasikitisha sana.
 
Narudia tena wewe ni LIPUMBAVU NA LIMASIKINI LA TAMISEMI HUKO
MD Wenzako kibao wanaojilewea wapo MDH,Jhpiego etc wanakula salary za U.S we umekaa kulalamika tu unasubiri kufirwa
Uzuri unazungumza ila unaelewa umuhimu wa hao unaowaona wapo Tamisemi ndio hao wanaowasaidia bibi na babu zako kijijini huko, ila kwasababu ni zwazwazwa umejaa makamasi kichwani unajiongelesha hapa kama bata akijisaidia.
 
Madaktari wako wangapi ?
Jumla hadi sasa madaktari wa kawaida, madaktari bingwa na bingwa bobezi wanakadiliwa kuwa 12808 mpaka leo hii.....sasa Serikali inashindwa kulipa vizuri hili kundi kweli.
 
Jumla hadi sasa madaktari wa kawaida, madaktari bingwa na bingwa bobezi wanakadiliwa kuwa 12808 mpaka leo hii.....sasa Serikali inashindwa kulipa vizuri hili kundi kweli.
 
 
Inasikitisha sana.

Bora watu kama ninyi mnaelewa haya mambo
 
Huenda Mimi nina mkosi sijawahi kukutana na doctor au mtumishi wa afya mwenye pesa, zaidi zaidi ninekutana na mtu wa afya mwenye pesa ambaye alikuwa mwizi na sasa anakesi ya uhujumu uchumi, Nina ndugu na wengine wamefanya kazi afya kukuta na tajili bado, hivyo huenda wapo lakini ni je kati ya wangapi
 
Yani mimi nafanya kazi za ofisini na nalipwa risk allowance kila mwezi kwa ajili ya mazingira ya kazi vumbi la mafaili ya ifisini,lakini daktari anayetibu wagonjwa mbalimbali wenye magonjwa mbalimbali kama EBOLA,KOROBA,KUFUA KIKUU NA UKIMWI eti HALIPWI RISK ALLOWANCE,na kila siku anatoa magonjwa gospitali anaenda kuwaambukiza watoto wake nyumbani kwake,mafua vikohozi. N.k..

Daktari halali nyumbani anaingia call mara mbili kwa wiki na akimaliza hiyo call abaunfanisaga moaka kesho yake yani anafanya kazi masaa 36 analipwa elfu 20 eti ndio extra duty ya masaa 24 kazini tena ni ya kusuburi hata baada ya miezi minne ndio alipwe

Halafu hawa watu wanasoma miaka mingi shuleni wanazeekea shule

Halafu wakistaafu wanaanza kusumbuliwa kupata mafao yao ulipwe kidigo kidogo asilimia 30 nyingine usubiri

Bado lawama na siasa wananchi wana ambiwa huduma bure bajeti unapangiwa ya kuhudumia labda wqty 200 kwa mwaka kwenye kituo chako halafu ndani ya muezi minne unaookea wanachi 600 bado kadiwani na wanasiasa wanaambia huduma ni bure kumbe bajeti iliyotengwa haitoshi kufanya huduma bure kwa wagonjwa wote.

Wanasiasa wanakuchonganisha na wqnanchi,ili wananchi waione madokta wabaya.
 
Wewe ulishakutana na Mtumishi yupi wa UMMA Tajiri!? Afu wewe utajiri unaudefine vp kwanza!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…