Hata BIMA ZAO ZA AFYA NHIF BI STANDARD zipo chini sana,hazi wezi kulipia baadhi ya gharama za matubabu,yani bima za afya za madaktari zinazidiwa uwezo wa kulipia wingi wa huduma za matibabu na bima za afya za watumishi wa TANESCO,TRA,MABENKI NA WABUNGE NK...Wahudumu wa afya hii nchi wanalipwa hela ndogo sana,haiendani na thamani ya kazi yao, na hawajaliwi. Imagine kuna daktari bingwa wa Sekou Toure alipata ajali akiwa kazini akakosa pesa ya matibabu ikabidi achangiwe, yaani daktari anakosa pesa ya matibabu? Aibu utaona wewe.
CCM wanasoma comment yako wanacheka sana.Hata BIMA ZAO ZA AFYA NHIF BI STANDARD zipo chini sana,hazi wezi kulipia baadhi ya gharama za matubabu,yani bima za afya za madaktari zinazidiwa uwezo wa kulipia wingi wa huduma za matibabu na bima za afya za watumishi wa TANESCO,TRA,MABENKI NA WABUNGE NK...
ili hali wao ndio wanatibu hao wengine ila wao madokata bima zao haziwezi kulipia gharama baadhi,maisha ya madaktari ni ya kuwaonea huruma ,na mazingira magumu ya kazi...hawana hata risk allowance?
siwezi kumshauri kijana asomee udokta kwa ajili ya kuja kufanya kazi bongo.CCM wanasoma comment yako wanacheka sana.
Watu Gani TAMISEMI wanalipwa 2X ya Daktari?Daktari kulipwa laki nane Take home ni upuuzi na Matusi makubwa.
Kidogo wangekuwa wanaanza hata na 2M .
Inasikitisha watu ambao tumesoma vitu vya ajabu unapata x2 ya salary ya daktari.
Is all about business,anayekulipa mshahara ni muajiri wako na sio elimu yako😆😃😃😃Hata BIMA ZAO ZA AFYA NHIF BI STANDARD zipo chini sana,hazi wezi kulipia baadhi ya gharama za matubabu,yani bima za afya za madaktari zinazidiwa uwezo wa kulipia wingi wa huduma za matibabu na bima za afya za watumishi wa TANESCO,TRA,MABENKI NA WABUNGE NK...
ili hali wao ndio wanatibu hao wengine ila wao madokata bima zao haziwezi kulipia gharama baadhi,maisha ya madaktari ni ya kuwaonea huruma ,na mazingira magumu ya kazi...hawana hata risk allowance?
Sijui maswala ya tamisemi nduguWatu Gani TAMISEMI wanalipwa 2X ya Daktari?
Upo sawa,na inawezekana mambo mengi hujui piaSijui maswala ya tamisemi ndugu
Daktari kulipwa laki nane Take home ni upuuzi na Matusi makubwa.
Kidogo wangekuwa wanaanza hata na 2M .
Inasikitisha watu ambao tumesoma vitu vya ajabu unapata x2 ya salary ya daktari.
Nchi inasikitisha sana hii dah.Nimesoma comment section nimestaajabu , madaktari pamoja na heshima yote kumbe mapato yangu NI mara tatu Yao , masikini kumbe madokta NI Wakuonea huruma,Serikali muwape walau Aya Ka 2M aisee,tunachokifikiriaga huku mtaani Ni kwamba madaktari Wana maisha mazuri kumbe tumajidanganyaga 900K take home what a shame ????
NonsenseTrue gentleman, uko sahihi 100%
huwezi nikuta nachangia hoja kwenye useless narratives kama hiyo jukwaani 🐒
relax plz gentleman 🐒Nonsense
nchi ya mazombi wakati huko tra tasac na tcra etc wahudumu tu na madereva wanakula kuanzia 3m , ukiwaambia wawaongezee mishahara madaktari unaambiwa hamna hela, huko na kule mkuu tu wa kiwilaya masikini anatembelea gari ya milioni mpaka 600. Aliyewaroga wabongo ashakufa.Daktari Bingwa analipwa 2.5M? Haiwezekani 🤔. Yote kwa yote kwa maisha ya Tz mtumishi wa kada ya kawaida ama mnaita kima cha chini anatakiwa kupata take home si chini ya 1.5M, kima cha kati angalau 3M., with these values mtu anaweza kuishi maisha na akafrahia muda na nguvu alotumia Darasani, otherwise washushe kodi na kucontrol bei za mahitaji muhimu ya kibinadamu. Nchi nyingine wanacalculate hizo scales kuendana na hali za maisha na uchumi wa nchi kwa ujumla. Na kuna nchi nimeona kila mwaka scales za malipo zinabadilika kwa nyongeza ya % flani. Tz mtu analipwa mshahara wa ule ule kwa miaka mi3-4 adi apande daraja/ cheo. Sasa kweli standard ya maisha ya mwaka huu ni sawa na mwaka juzi, jana na kesho? Unakuta watumishi wamechoka kuliko kipindi wanasoma, unabaki unajiuliza huyu mtu anafanya kazi na kulipwa mshahara kweli?
Kua madokta wote kwenye hii nchi mapato yao, kwako ni mara 3 yake??Nimesoma comment section nimestaajabu , madaktari pamoja na heshima yote kumbe mapato yangu NI mara tatu Yao , masikini kumbe madokta NI Wakuonea huruma,Serikali muwape walau Aya Ka 2M aisee,tunachokifikiriaga huku mtaani Ni kwamba madaktari Wana maisha mazuri kumbe tumajidanganyaga 900K take home what a shame ????
Hapo shida sio hao wanasiasa,shida ni hao madaktari waliokubali kutumika kama mbuzinchi ya mazombi wakati huko tra tasac na tcra etc wahudumu tu na madereva wanakula kuanzia 3m , ukiwaambia wawaongezee mishahara madaktari unaambiwa hamna hela, huko na kule mkuu tu wa kiwilaya masikini anatembelea gari ya milioni mpaka 600. Aliyewaroga wabongo ashakufa.
Wito ilihali mahitaji yao hayatimizwi wito wa wapi huo? . Mapadri na masista wa Katoliki wale wanaambiwa kazi zao ni za wito ndio maana Kanisa linahakikisha wanapata mahitaji yote kwa wakati kuanzia chakula, mavazi, malazi,elimu, matibabu hata ikihitajika kwenda Ulaya kutibiwa Kanisa linagharamika. Sasa huyo daktari mahitaji yake hatimiziwi huo ni wito au unyonyaji? watoto wa daktari walipiwe ada na nani? kodi ya nyumba ya daktari alipiwe na nani? . Halafu hayo mambo ya wito ni Bongo tu? madaktari wa Uswisi wanaolipwa pesa ndefu kuliko mawaziri wao kazi yao sio ya wito ??Fahamu hili!
Kazi za Afya,Ualimu ni kazi za Wito! Hazitofautiani na kazi za Kanisa!
Siyo kazi za kutengeneza pesa! Usipojua hili unaweza kuishia kwenye "heart attack"!
Zaidi ya hapo,rushwa (CCD) haziwezi kuisha! Kazi ni kwa Wagonjwa.
Serikali inakusanya mapato kidogo lakini Ina pesa za kununua magari ya mabilioni? Serikali inakusanya mapato kidogo lakini ina pesa za kuwapa wabunge mishahara ya kufuru? Serikali inakusanya mapato kidogo lakini trilioni za safari za viongozi zipo? Ila hela za kulipa vizuri madaktari ndo hamna.Pesa ya hii mifumo ya bima kama NHIF , ziwe zinachotwa ili kuongeza mishahara ya madaktari. Najua mtatukana ila ukweli hii nchi yetu serikali inakusanya mapato kidogo sana , mengine tunategemea kuomba omba bado tunatakiwa kupata huduma bure . Mtihani itafutwe jinsi hata watu wakatwe buku buku kwa kwenye baadhi ya miamala ili pesa zikaongeze mishahara ya madakatari , wafanyiwe msahama au kupunguziwa PAYE .
Muda mwingine , wakitoza hata elfu 10 basi unaambiwa rushwa , ukienda kumpongeza daktari kwa zawadi eti ni rushwa