Kazi ya udaktari ni ngumu sana, hawa watu tuwatie moyo sana.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Katika watu ambao inabidi walindwe kwa gharama zozote basi ni madaktari.

Asilimia kubwa ya madaktari wanafanya kazi kwa uwito na sio maslahi zaidi . Ukitaka kuamini hivyo utakuta daktari ana miradi yake mikubwa tu na asilimia kubwa inahitaji uwepo wake lakini yeye yupo busy hospitali kutibu wagonjwa na mwisho wa siku anaambulia kamshara kaduchu sana.

Kwa fani zingine wakipata sehemu wanaingiza kipato cha kueleweka ni rahisi sana kwa wao kuacha kazi walizosomea na kwenda kwenye hizo sehemu zenye maslahi kuendesha maisha yao.

Mbali na hilo madaktari wanafanya kazi katika mazingira hatarishi sana kiasi kwamba yeye kupata VVU ni suala la chap tu.

Imagine daktari anakwenda kumzalisha mgonjwa ambaye ni HIV positive kitu ambacho ni very very risk kwa yeye kupata maambukizi haswa hizo damu zikimrukia machoni lakini daktari wala hajali hilo anatimiza wajibu wake kama kawaida bila kuonesha utofauti wowote.

Lakini mgonjwa huyuhuyu akija kupona anakuja kushupaza shingo eti madaktari wa kiume wasiwe wanawahudumia wagonjwa wa kike eti kisa wanawachungulia uchi wao au wengine wanaona madaktari wanafaidi kuwafanyia per vaginal examination kitu ambacho si kweli maana kuna K zinatema balaa lakini madaktari wanajikaza tu ili mgonjwa asijisikie vibaya.

Kiufupi hata hii juzi kati mbunge wa ccm aliyekuwa anataka madaktari wa kiume wasizalishe akina mama nilimshangaa sana na hata wanawake wenzake walimshangaa sana kwa mawazo yake ya kijinga.

Kiuhalisia kabisa daktari inabidi hata mshahara usiwe chini ya milioni 5 kwa mwezi ili hata wakati anafanya kazi asiwe na stress za hapa na pale ambazo zinaweza zikapelekea kifo kwa mgonjwa.

Umuhimu wa madaktari ulionekana zaidi kipindi kile walivyogoma ndani ya siku mbili tu vifo vilikuwa zaidi ya milioni + Tanzania nzima mpaka pale waliporekebishiwa madai yao.
 
M/Mungu awape moyo madactari wenye mioyo safi

Baadhi yao wanatubenjulia midomo huko mahospital wazi kwamba sio wito kwao, wameingia tu kwenye hizo kazi

Yaani unakuta dactari anamsema mgonjwa kama alishawahi kugombana naye.

Wanaofanya iyo kazi kwa moyo wote tuwasapoti na M/Mungu awasaidie
 
Kuna wagonjwa wanaleta sana ujuaji kwenye taaluma za watu.

Imagine mgonjwa anakuja na diagnosis yake kutoka nyumbani na analazimisha atibiwe vipi.
 
Katika watu ambao inabidi walindwe kwa gharama zozote basi ni madaktari.

Asilimia kubwa ya madaktari wanafanya kazi kwa uwito na sio maslahi zaidi . Ukitaka kuamini hivyo utakuta daktari ana miradi yake mikubwa tu na asilimia kubwa inahitaji uwepo wake lakini yeye yupo busy hospitali kutibu wagonjwa na mwisho wa siku anaambulia kamshara kaduchu sana.

Kwa fani zingine wakipata sehemu wanaingiza kipato cha kueleweka ni rahisi sana kwa wao kuacha kazi walizosomea na kwenda kwenye hizo sehemu zenye maslahi kuendesha maisha yao.

Mbali na hilo madaktari wanafanya kazi katika mazingira hatarishi sana kiasi kwamba yeye kupata VVU ni suala la chap tu.

Imagine daktari anakwenda kumzalisha mgonjwa ambaye ni HIV positive kitu ambacho ni very very risk kwa yeye kupata maambukizi haswa hizo damu zikimrukia machoni lakini daktari wala hajali hilo anatimiza wajibu wake kama kawaida bila kuonesha utofauti wowote.

Lakini mgonjwa huyuhuyu akija kupona anakuja kushupaza shingo eti madaktari wa kiume wasiwe wanawahudumia wagonjwa wa kike eti kisa wanawachungulia uchi wao au wengine wanaona madaktari wanafaidi kuwafanyia per vaginal examination kitu ambacho si kweli maana kuna K zinatema balaa lakini madaktari wanajikaza tu ili mgonjwa asijisikie vibaya.

Kiufupi hata hii juzi kati mbunge wa ccm aliyekuwa anataka madaktari wa kiume wasizalishe akina mama nilimshangaa sana na hata wanawake wenzake walimshangaa sana kwa mawazo yake ya kijinga.

Kiuhalisia kabisa daktari inabidi hata mshahara usiwe chini ya milioni 5 kwa mwezi ili hata wakati anafanya kazi asiwe na stress za hapa na pale ambazo zinaweza zikapelekea kifo kwa mgonjwa.

Umuhimu wa madaktari ulionekana zaidi kipindi kile walivyogoma ndani ya siku mbili tu vifo vilikuwa zaidi ya milioni + Tanzania nzima mpaka pale waliporekebishiwa madai yao.
mtu anakufa kwenye mikono yako leo, unatoka kazini unatakiwa upate msosi upumzike. Na kesho asubuhi uamkie kazini na uwe normal tu kama vile jana hamna kilichotokea.

Inshort kazi kwenye mazingira ya hospitali ni hatarishi.ata kwa afya ya akili.
 
Pale Lugalo kuna binti alituhudumia usiku mzima. Anazunguka tuu. Mpaka asubuhi wanaitwa kwenye meeting. Dadeki. Yaani anaondoka pale ni saa mbili kuelekea tatu asubuhi.

Fikiria tumefika saa tatu usiku, binti alihangaika na Sisi huku akiendelea na wagonjwa wengine usiku mzima. Anaingilia huku anatokea kule.
 
Back
Top Bottom