Kazi ya udaktari ni ngumu sana, hawa watu tuwatie moyo sana.

Pale Lugalo kuna binti alituhudumia usiku mzima. Anazunguka tuu. Mpaka asubuhi wanaitwa kwenye meeting. Dadeki. Yaani anaondoka pale ni saa mbili kuelekea tatu asubuhi.

Fikiria tumefika saa tatu usiku, binti alihangaika na Sisi huku akiendelea na wagonjwa wengine usiku mzima. Anaingilia huku anatokea kule.
Mgonjwa akitoka hapo shukrani anaipeleka kanisani halafu anashupaza shingo kuwakandia wahudumu wa afya kana kwamba hamna la maana wanalolifanya.
 
Katika watu ambao inabidi walindwe kwa gharama zozote basi ni madaktari.

Asilimia kubwa ya madaktari wanafanya kazi kwa uwito na sio maslahi zaidi . Ukitaka kuamini hivyo utakuta daktari ana miradi yake mikubwa tu na asilimia kubwa inahitaji uwepo wake lakini yeye yupo busy hospitali kutibu wagonjwa na mwisho wa siku anaambulia kamshara kaduchu sana.

Kwa fani zingine wakipata sehemu wanaingiza kipato cha kueleweka ni rahisi sana kwa wao kuacha kazi walizosomea na kwenda kwenye hizo sehemu zenye maslahi kuendesha maisha yao.

Mbali na hilo madaktari wanafanya kazi katika mazingira hatarishi sana kiasi kwamba yeye kupata VVU ni suala la chap tu.

Imagine daktari anakwenda kumzalisha mgonjwa ambaye ni HIV positive kitu ambacho ni very very risk kwa yeye kupata maambukizi haswa hizo damu zikimrukia machoni lakini daktari wala hajali hilo anatimiza wajibu wake kama kawaida bila kuonesha utofauti wowote.

Lakini mgonjwa huyuhuyu akija kupona anakuja kushupaza shingo eti madaktari wa kiume wasiwe wanawahudumia wagonjwa wa kike eti kisa wanawachungulia uchi wao au wengine wanaona madaktari wanafaidi kuwafanyia per vaginal examination kitu ambacho si kweli maana kuna K zinatema balaa lakini madaktari wanajikaza tu ili mgonjwa asijisikie vibaya.

Kiufupi hata hii juzi kati mbunge wa ccm aliyekuwa anataka madaktari wa kiume wasizalishe akina mama nilimshangaa sana na hata wanawake wenzake walimshangaa sana kwa mawazo yake ya kijinga.

Kiuhalisia kabisa daktari inabidi hata mshahara usiwe chini ya milioni 5 kwa mwezi ili hata wakati anafanya kazi asiwe na stress za hapa na pale ambazo zinaweza zikapelekea kifo kwa mgonjwa.

Umuhimu wa madaktari ulionekana zaidi kipindi kile walivyogoma ndani ya siku mbili tu vifo vilikuwa zaidi ya milioni + Tanzania nzima mpaka pale waliporekebishiwa madai yao.
Ndio maana sisi ni watu wa mitungi sana hapa nimelewa sana sana

min -me
MENEMENE TEKERI NA PERESI
 
Nimecheka hapo kwenye uchi zinazotoa harufu.
Anyways, mawazo mazuri ila kwa nchi yetu hii, utekelezeji wake hauwezekani.
 
mtu anakufa kwenye mikono yako leo, unatoka kazini unatakiwa upate msosi upumzike. Na kesho asubuhi uamkie kazini na uwe normal tu kama vile jana hamna kilichotokea.

Inshort kazi kwenye mazingira ya hospitali ni hatarishi.ata kwa afya ya akili.
Mgonjwa akipona zawadi ya ng'ombe anapelekewa Mchungaji aliyemuombea. (nimeikuta hii sentensi mahali flani kama utani hivi)
 
Naona humu mnawasema madakrari wa kiume vizuri. Ni jambo zuri lakini hizo shuruba mnazosema wanakutananazo ukweli kwa wao si kwa kiasi hicho.
Huo mziki mnaosema hukutananao manesi bila kujali ni wa jinsia ipi.

Shughuri ya kushuhudia tupu za wanawake kwa sehemu kubwa hukutananayo manesi wa kiume wodi ya wazazi.

Tupu nyingi za wanawake wanaokwenda kujifungua huwa ni chafu na zinanuka harufu mbaya kwani wapo wanaokuwa na magonjwa ya dhinaa na wapo ni wavivu wa kujisafisha na nesi anatakiwa asogeze sikio lake karibu na tumbo la chini la mjamzito ili kusikiliza uhai wa mtoto harufu ya pale unaweza usile siku nzima..
Wanawake wengine wakivua tu unakaribishwa na uchafu unaotokea ukeni ambao ukilitunza hilo tukio kichwani unaweza usile chakula siku nzima.

Chumba cha kujifungulia mara nyingi huwa kinakuwa madirisha yamefungwa kwasababu wenyewe wajawazito huwa wanakuwa wanalalamika baridi lakini pia usiri na hata kuzuia upepo kutoka nje usije mpuliza mtoto akizaliwa ukampa baridi kwahiyo hewa inakuwa haitembei kwa urahisi eneo lile sasa katika mazingira hayo mtu anasukuma mtoto yanatoka mavi, unayasafisha anakunya tena mengine, unayasafisha anakunya tena mengine hata mara 5 harufu kali hewa haitembei.
Usiombe yakukute kumeza mate unashindwa kutema unashindwa.

Wapo ambao huja mimiba zimeharibika umri wa mimba hata miezi 6 mtoto kishaoza baada ya kumtoa harufu yake sasa!

Zile sehemu zenye shuruba na uchafu wa kila aina ndiko manesi hukutikana, hukuti daktari pale na hata daktari akija ni anatoa maagizo anaandika anaondoka nesi anabaki kupambana na hali yake.

Wale wagonjwa wanakuja na madonda yaliyooza yanayotoa harufu kali ni nesi ndiye anaambiwa apambane nayo kuyasafisha na kuyafunga. Daktari ataangalia kwa haraka atatoa maagizo na kuandika nesi akapambane na hali yake.

Huko mawodoni manesi ndio hufiwa na wagonjwa.
Unakuta hali ya mgonjwa imebadilika na nesi anamuita daktari aje amuone mgonjwa aliye badilika hali.
Kinachofanyika daktari anaweza toa maagizo ya nini kifanyike kwa simu au akaja akatoa maagizo kwa mdomo akaandika skaondoka sasa hapo nesi hatoweza tena kumitata arudi badala yake atatekeleza na hali isipohimarika atajaribu kujiongeza cha kufanya kujaribu kubadili hali na mpaka mgonjwa anamfia mikononi mwake.

Daktari akipigiwa simu kwamba mgonjwa kisha fariki anakuja kuhakikisha kama ni kweli anaandika anaondoka zake na nesi anabaki na maiti yake na ni yeye ndiye atawajibika kuiweka katika hali nzuri.

Katika hospital manesi ndio wenye kazi ngumu na ya lawama kuliko wenzao wote.

Kwani mmeshagawahi kusikia daktari au CO, au mfamasia au mtaalam wa maabara anakwenda kusomea unesi ili abadili fanii?
Lakini kila mwaka manesi kibao wanaukimbia unesi kwenda somea fani nyingine za afya japo mishahara ni Ile Ile.
 
Umenena vyema sana
 
Back
Top Bottom