Maisha ya madaktari wa Kitanzania na umaskini wao na kuishia katika kupata heart attack

namshukuru Mungu niliusoma mchezo nikiwa mwaka wa nne nikajiambia sitofanya kazi ya udaktari TZ labda nikarudie kufanya mitihani nje ya nchi,nilikuwa nikiwacheki machief, register wana stress haswa wanawake ili ndoa idumu uolewe na Dr mwenzio aargh wote stress zenu ni zile zile,shule ina pressure,kazini pressure sijawahi kujutia uamuzi wangu,ukweli ni kuwa madaktari bongo hawathaminiwi
 
WANASIASA wakitaka KIKI wanakuja kufanya kiki za kisiasa kwenye vichwa vya madkatari kama punching box..

MKuu wa mkoa na madiwani..wanakusimamisha DOKITA mbele ya wanachi wanaanza kukuzingua..
Huu upuuzi wa mkuu wa mkoa mwenye F ya Biology kumsimamisha dokta mbele ya wananchi na kumhoji huwa unanikera sana. Kungekuwa na chama cha wafanyakazi chenye nguvu na sauti huu upuuzi ulitakiwa uwe umekomeshwaa. Imagine mtu kama Chalamila anaenda kumhoji daktari si udhalilishaji huo.
 
madaktari wana advantage ya kufanya kazi maeneo zaidi ya mawili kwa siku, sijui huo ugumu wa maisha unatoka wapi. tatizo wengi wanapenda starehe
Mkuu, unaona ni sawa daktari kufanya kazi zaidi ya maeneo mawili kwa siku? Wao wanatumia mafuta na si damu? Hawachoki? Halafu unasema madaktari wanapenda starehe, mtu anaependa starehe ataenda kufanya kazi ya kujinyima usingizi? atenda kufanya kazi anayoshuhudia watu wanavuja damu, wanatapika, wanajiharishia? Mtu anaependa starehe ataenda kufanya kazi ambayo ndugu wanamlalamikia kwa makosa ambayo yeye hasusiki? Mtu anaependa starehe ataenda kufanya kazi ambayo hakuna mapumziko sio weekend, sio Christmas wala sio Eid? Mkuu, heshimu taaluma za watu. Hao madaktari wangekuwa wanapenda starehe wangeenda kufanya kazi nyingine ambazo zisingewalazimisha kujinyima usingizi au kukosa mapumziko . Au kama vipi wangeenda kufanya kazi nchi nyingine ambazo wanalipwa pesa ambayo hata waziri haifikii. Wao kutujali sisi zaidi kuliko wanavyojijali wao ndio maana wanakubali kufanya kazi kwenye haya mazingira mabovu huku wakipewa mishahara duni ili mradi mimi na wewe tukiumwa tupate matibabu.
 
Pole mkuu,
Watu wengine huku jamvini ni. kuwapuuzia tu.

Mtu mwenyewe anajiita 'mavipunda' mara nyingine hizi ID huakisi uhalisia.
 
Hizi ni porojo tu, madaktari wanalipwa vizuri kuliko kada nyingine ktk utumishi wa umma, nyie vijana acheni kujifanya mnajua hela, hakuna daktari maskini we bwege acha uwongo. Madaktari wanafanya part-time wanalipwa zaidi ya milioni 10 part-time tu we ngumbaru uko dunia ipi?
 
Wafanyabiashaara gani hao kiongozi??
Maana baadhi ya wafanyabishara ndo haohao waajiriwa.
 
 

Attachments

  • IMG_2869.jpeg
    220.2 KB · Views: 12
Hili swala la kulinganisha mishahara kulingana na kazi halipo sawa kabisa
 
Hiyo hospitali nyingine haina madaktari?
 
Hakuwa na bima?
 
Scale salary sijui ya Mwaka gani tu ilishapanda mara mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…