Maisha ya mkenya wa kawaida

Maisha ya mkenya wa kawaida

Ndio maanake nikasema hawataki kujadili na facts kitaalam, ni mambo ya kukaririshwa na kuaminishwa tu. Mleta mada hata hapepesi macho akidanganya eti kwa Kshs 50 unapata 68MB. Wakati kihalisia na ukweli na fact ni kwamba kwa Kshs 50 unapata 150MB.

Mada kama hizi huwa nazipita kimya siku hizi bila hata kufungua, sijui leo nimefungua kwa makosa maana hamna mtu yupo tayari kujadili kwa kutumia ubongo na elimu, ni zile soga za Dar. Nawaacha wanajipiga mapunyeto na hiyo feel good mentality halafu tunaendelea na maisha, ila ukweli unabaki bila kubadilishwa kwamba Kenya ni nafuu ikilinganishwa na mataifa majirani.

Umefungua kwa sababi jiwe limetupwa kizani na limekupata, naona kisu kimegonga mfupa
 
Hahaha kuna kitu nmekiona apo nakumbuka kuna kipindi Nilikua Moshi nkakutana na wageni wamarekani tukawa tunabadilishana mawazo ,ghafla mmoja wao akaniuliza we Ni mkenya? Nkawmwambia hapana kwann?
Kasema watanzania wengi hawaongei kingereza vizuri kama Kenya! !
Ila mtoa mada usifananishe mtoto wa class 4 wa Kenya na form 6 wa tz kwa kigezo cha kingereza,mmesoma chuo na wakenya lakini hakuna kitu kipya wanacho na Nilikua nikiwafundisha ,kingereza kinahitaji jitihada binafsi uku bongo hakuna mtu anaekijali kabisa!!sio nyumbani, mashuleni,ofisini Ni kiswahili tupu,kipindi tunasoma o level ilikua ukiongea kiswahili wapata adhabu lakini ilifikia mahali unakuta karibu wanafunzi wengi wanaadhabu sababu hawawezi kuongea broken English wakati kuna kiswahili. ...
Wapo wabongo wanaoifahamu iyo lugha vyema sana lakini utaongea unaongea nani uku? Uku kingereza ni lugha ya kutumika sehemu chache mno
 
Hilo la simu kutafuna mb hapo ndio nimechoka yaani hasa safaricom balaa, home tunasema tigo wanaiba basi bado tigo ni wastaarabu sana Kuna majizi wanaitwa safaricom Kenya wacha kabisa, yaani Kuna siku nimeunga 1GB kwa 500 ksh mida ya asbh saa 4 kufika saa 11 jioni wananiambia sina kitu, matumizi yangu Yale Yale ya Tz nikabadili kuweka airtel kidogo afadhali japo mtandao slow,
Yote uliyoandika yapo Kenya, matatu kukata ruti hiyo kawaida, kelele kwenye matatu huwezi zungumza na simu, uchafu oooh jamaa wanatupa kila sehemu hawajali,
 
mtoto wa kike MissM4C unatumia kinywaji gani cha kitz?.

kama unatumia yale maji yetu yanayozalishwa pale chang'ombe jirani na sekondari ya kibasila,basi ukitoka ktk shughuri zako mida jioni,pitia hapa kinondoni vijana uchukuwe chupa kadhaa za Serengeti.
"haki umenibamba sana kwa hii thread".
 
Bado hujatembea nenda Dandora Kayole Mathare Githurai 45 nk.
Halafu labda hujagundua Pubs Clubs Bars ni chache na nyingi ziko town city centre. Mitaani ni maduka ya pombe Kali tu. Utaona Majina kama Mwangi Wine n Spirits nk.
All in all Kenya esp ni pazuri kutembelea sio kuishi. Though kuna jambo moja zuri kama umepanga nyumba. Kulipa Kodi ni kila mwezi hakuna Mambo ya Kodi ya mwaka sijui miezi sita. Tarehe 29,30 mwenye nyumba saa 12 yuko mlangoni akatama chake. I think this should be introduced huku pia.
tunaishi ni pazuri tu sana [emoji41]
 
Kiswahili chao kimejaa mistakes, watu wa Mombasa tu ndo wanakijua..... Ila kizuri kusikiza, vyenye hutamka
naona hata wewe wamekuharibu na kiswahili chao. mbona wengine bado tumekishikilia, au ilibidi ufuate mkondo kurahisisha mawasiliano
 
5. Mb za Kenya huisha kama upepo na very expensive, Tsh 50/= (1110/= Tsh ) unapewa Mb-68 tu, ambazo ukilog in fb dk 10 zinaisha, wakati Tz Fb ni bure na Kwa Tsh 1500/= unapata 1GB and a lot of airtime for a week.
Safaricom are cons and very expensive. Airtel hupea mtu free social media(fb, whatsapp, IG na twitter). Orange are cheap too, 400mb na ksh49 per day
 
TZ na TTCL
TTCL.jpg
 
kuhusu matatu(daladala za kenya), nilishangaa siku moja nikiwa natoka kahawa,kufika stage(kituo)ya roysa(roysambo), karao(askari) akatusimamisha kwa kosa la dereva kutofata sheria za barabarini.

yule askari akaamuru abiria wote tushuke ili gari ipelekwe kituo cha polisi ambacho kipo jirani na stage ya roysambo.

abiria wote bila kuonyesha resistance yoyote wakashuka.mimi nilikuwa najivuta taratibu nikionyosha kugoma kushushwa njiani na askari.

nilifanya hivo nikiakisi utaratibu na sheria zinazo manage biashara ya daladala jijini dar kwamba kama kuna kosa la barabarini ambalo dereva wa daladala kakiuka,basi apigwe faini na aruhusiwe kupeleka abiria mpaka mwisho wa route.

wakati nikiwa najivuta kushuka,abiria wenzangu ambao wote walikuwa ni wakenya, walikuwa wananisikitikia kwa kitakacho nipata endapo nisingetii ile amri ya yule askari ya kututaka tushuke ili gari ipelekwe kituo cha polisi.

ilibidi tu nishuke maana gari zima nilibaki peke yangu,ila nilikasirika sana maana mambo kama hayo huku kwetu yalikoma miaka mingi sana.
 
Wakenya mwenzangu why do you fall to stupid Tanzanian tricks. Mleta mada ata hakutoka kibandani chake dar es salaam Wala hujawai safiri zaidi ya mzunguko wa Dar. Ni Kiki uatafuta apoeshe stress za Dar!!!!keep away
povu la nini?.
nyinyi mnapenda sifa na mleta mada baada ya kuwang'ata sana mwanzoni,mwishoni kapulizia kidogo kwa kusifia watoto wenyu kuwa wanazungumza kingereza vizuri kama wajukuu wa queen Elizabeth wa United Kingdom.[emoji23] [emoji23]
 
Bado hujatembea nenda Dandora Kayole Mathare Githurai 45 nk.
Halafu labda hujagundua Pubs Clubs Bars ni chache na nyingi ziko town city centre. Mitaani ni maduka ya pombe Kali tu. Utaona Majina kama Mwangi Wine n Spirits nk.
All in all Kenya esp ni pazuri kutembelea sio kuishi. Though kuna jambo moja zuri kama umepanga nyumba. Kulipa Kodi ni kila mwezi hakuna Mambo ya Kodi ya mwaka sijui miezi sita. Tarehe 29,30 mwenye nyumba saa 12 yuko mlangoni akatama chake. I think this should be introduced huku pia.
usisahau na kero ya kufungiwa kufuri kubwa kwa nje na caretaker mtata mkikuyu endapo umepitisha siku chache bila kulipa rent.[emoji23] [emoji23]
 
Enyewe Midanganyika iko na roho ya Kishetanishetani hivi.... Kama wanaweza kula nyama ya binadamu??? Duuuh!!
 
Sasa baada ya kutembelea Nairobi. Uje na huku utembelee. Huku Turkana ni kama nchi tofauti kabisa Wapo na jeshi lao.

0001d1bc_medium.jpeg


me-and-moran.jpg


kenya-turkana-oropoi-modern-weapons-have-replaced-those-used-in-picture-id126558125



2502_body_18.jpg

Mwendawasimu wee... That is nothing compared to the madness that you perpetuate in your hell hole....
Mariamu Staford.jpg

9730924.jpg
 
Naungana na Wewe hasa kwenye hizo positives ones ila katika negatives ones hizo nadhani huku Kwetu Tanzania ndiyo zimetukuka kabisa kiasi kwamba hata hao Wakenya tumewazidi.

swahiba Mimi nimeishi nairobi kwa miaka kadhaa na bado huwa naenda mara kwa nara ktk matembezi yangu binafsi.

alichozungumza mleta mda kuhusu vitu hasi vya kenya,ni sahihi kwa 100% na
hatujawafikia hata kidogo.

kwa mfano ktk matukio ya ujambazi,ukabaji,uporaji na unyang'anyi wa kutumia siraha za moto,kenya hakuna mfanowe EA.

vijana wengi hawana ajira na wanapenda starehe mno,kiasi kwamba akikosa pesa ya kwenda kula bata,kuondoa uhai wa mtu ili akwapue kitecno chako ni kawaida sana.
f0a9a00a20ea868d244ab6de01faef57.jpg
 
Ameishi Nairobi huyo, kama ungekuwa unamfuatilia tokea zamani ungejua. Njooni na vipicha vyenu vya Mombasa road na Thika highway mjipe moyo.

Na wewe leta za Gongolamboto tuone vile mnakula Albino......Watu wa kishetani hii
 
Back
Top Bottom