Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,357
Ndio maanake nikasema hawataki kujadili na facts kitaalam, ni mambo ya kukaririshwa na kuaminishwa tu. Mleta mada hata hapepesi macho akidanganya eti kwa Kshs 50 unapata 68MB. Wakati kihalisia na ukweli na fact ni kwamba kwa Kshs 50 unapata 150MB.
Mada kama hizi huwa nazipita kimya siku hizi bila hata kufungua, sijui leo nimefungua kwa makosa maana hamna mtu yupo tayari kujadili kwa kutumia ubongo na elimu, ni zile soga za Dar. Nawaacha wanajipiga mapunyeto na hiyo feel good mentality halafu tunaendelea na maisha, ila ukweli unabaki bila kubadilishwa kwamba Kenya ni nafuu ikilinganishwa na mataifa majirani.
Umefungua kwa sababi jiwe limetupwa kizani na limekupata, naona kisu kimegonga mfupa