Executivesister
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 514
- 594
Naomba msilichukulie hili suala nitakaloandika kidini tafadhali,alichosema mtoa mada ni kweli,ukiangalia kanisa katoliliki ni miongoni mwa makanisa ambayo yana akiba kubwa duniani na ndo maana Lina nguvu kubwa hadi leo na kesho,mimi Sio mkatoliki.