Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati


Ulichoandika hapa ni zaidi ya fiction. And if you really see currently what you wrote here is more likely to be utopia, or most definitely you are hallucinating.
 
yani akina dada wa maofisini wanatembea na makapu maofisini mara huyu anauza ubuyu, mara huyu karanga mara huyu maji.mara huyu bagia na usiponunua unakuta wananuna,yani ni vurugu na ukikaa vibaya ye mwenyewe anajiuza
 
Na ukifikisha 55 kuelekea 60 kikokotoo kinakuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una nafuu. Mbali na kudaiwa na HESLB na NMB, sisi wengine tunadaiwa hadi na Bayport, Faidika Credit Ltd, Laswai Credit Ltd, kadi yangu ya benki nimekabidhi kwa mdeni wangu wa kitaa, and the list goes on...at the end mshahara ukitoka kile ninachopokea (take home) hakizidi sh.30,000/=, nimesema elfu thelasini na siyo laki tatu.
 
Kwa comment hiyo tu wewe ndiyo mgonjwa
 
Kwanza ukae ukijua si kila mtu anaweza kufanya biashara
Watu wote tunategemeana hata mfanyabiashara hawezi kufanya kazi yake bila watumishi wa serikali na taasisi zingine
 
TATIZO NI LIFESTYLE ZETU WABANTU, HIYO HESLB MZAZI WAKO ANGEKUWA AMEJIPANGA TANGU AWALI , ANGEKUSOMESHA KWA PESA YAKE SO HAYO MAKATO USINGE YAPATA, HUO MKOPO WA NMB NATUMAINI UMEENDA KUZALISHIA MALI NA SIO KUSOMESHA NDUGU WA BABA MDOGO, NHIF HUWEZI KWEPA MAANA INAKUPA UNAFUU WA MATIBABU, HIYO PSSSF UNAUMIA MUDA HUU ILA UKISTAAFU UTAPEWA ZIKUHUDUMIE UZEENI
 
Kwanza ukae ukijua si kila mtu anaweza kufanya biashara
Watu wote tunategemeana hata mfanyabiashara hawezi kufanya kazi yake bila watumishi wa serikali na taasisi zingine

Ndo Mana nimesema upande wa biashara una risks nyingi ambapo wengi wanashindwa kuzimanage Ila wachache sana na hii inatokana na uwoga,tamaa na uchache wa maarifa kuhusu pesa...ndo Mana watu wengi wanaona Bora kuajiriwa kuliko kujiajiri.
 
Kwa comment hiyo tu wewe ndiyo mgonjwa

Najua tayari mfumo ushakuathiri ngojea tu matokeo.... aya maisha si yakukariri dunia inabadilika kila sku.

Subiria tu paycheck kila mwisho wa mwezi uku ukibebeshwa mizigo ya Kodi adi kaburini...
 
kwa Mshahara huu na familia na Ada , kodi ya nyumba , maji , luku, usafiri, lazima uwe mchawi au mganga wa kienyeji.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mshukuru ALLAH kna watu wanapata 340,000/= tu na maisha yenyewe haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…