Huku kwenye kujiajiri na biashara ndio usiseme, kwa siku unaweza unauza cement mifuko 3. Halafu faida ya mfuko mmoja ni 500, mabati hayatoki nondo hazitoki yaani watu hawajengi sijui wenzangu wa hardware biashara mnaionaje.[emoji16][emoji16][emoji16].
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada unapiga kelele unapeleka nyumbani 400,000/= kwanza nakupa Hongera sana, ukiona za wenzio itashukuru Mungu
Mmh..[emoji848]
Huyo makato yake madogo,mm kila mwezi NMB wanakata 568,827/= nabaki na 1,196,000/=Sasa mkuu ulikopa NMB unategemea mshara ubaki ule ule... Hapo ungeacha hilo lomkopo unalokatwa 128k ungekuwa na pesa ya kueleweka ..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera. Upo kitengo gani!??Huyo makato yake madogo,mm kila mwezi NMB wanakata 568,827/= nabaki na 1,196,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo makato yake madogo,mm kila mwezi NMB wanakata 568,827/= nabaki na 1,196,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh ulikopa 30m niniHuyo makato yake madogo,mm kila mwezi NMB wanakata 568,827/= nabaki na 1,196,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa watumishe wanasema hali ni mbaya
Hili nililishuhudia mwaka 2017 nilipo maliza masomo nilienda kijijini kwetu kupumzika, hivyo shule ya sekondari jirani na kijijini kwetu nikawa nafundisha
Huku walimu wamekata tamaa hasa walimu wa kike wa shule za msingi