Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,619
- 2,272
Mwangalie alienacho ili ujenge tamaa ya kutafuta, usimwangalie asienacho ukaridhika!!. Mwache alalamike mkuu, ana hali ngumu ingawaje wapo wengine wenye hali ngumu zaidi yake.
Maisha ya wafanyakazi sio magumu Kama unavyojaribu kuelezea. Wanauhakika wa chakula Lakini Hawana Uhakika wa anasa.
Mtazame mama mwenye watoto wanne Anaelea watoto wake peke yake kwa kutembeza machungwa, akikusikia ataona unamdhihaki Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
That's that broyes kwa scenario hiyo hapo sawa
Heeeeee!!!!! Pole sana13 now
.. Ni aibu.
Na hapo najiona na bahati.. Kuna wenzangu wako chini Huko. Mfumo wa madaraja hauko uniform. Kuna mambo ya ajabu sana.
Heeeeee!!!
13 now
.. Ni aibu.
Na hapo najiona na bahati.. Kuna wenzangu wako chini Huko. Mfumo wa madaraja hauko uniform. Kuna mambo ya ajabu sana.
Waoneni tu walimu wanaenda kazini na kurudi.
Waoneni tu walimu wanaenda kazini na kurudi.
Tatizo la wafanyakazi wengi sio risk takers, 90% hawaamini kufanikiwa nje ya mshahara na hawataki kupata ushauri nje na watu wa kazi.Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.
Tunaishi ka gidigidi.
Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.
Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.
Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.
View attachment 1401545
Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.
Duh hatari san13 now
.. Ni aibu.
Na hapo najiona na bahati.. Kuna wenzangu wako chini Huko. Mfumo wa madaraja hauko uniform. Kuna mambo ya ajabu sana.
Waoneni tu walimu wanaenda kazini na kurudi.
13 now
.. Ni aibu.
Na hapo najiona na bahati.. Kuna wenzangu wako chini Huko. Mfumo wa madaraja hauko uniform. Kuna mambo ya ajabu sana.
Waoneni tu walimu wanaenda kazini na kurudi.
Duu 13 years
Degree au Diploma.
Sawa.Mkopo wa Bodi umechukua umekula wewe. Mkopo wa NMB umechukua wewe, unajua ulichofanyia lakini hela umechukua. Unalia nini na makato? Mimi naita hii ni dhihaka. Basic salary yako ipo vizuri kuliko watumishi wengi sana wa serikali. Wapo ambao hiyo take home yako ndio basic salary Yao na wapo ambao hiyo take home yako, nikubwa kuliko basic salary zao.
Tatizo watumishi wengi wa umma wanakopa pesa kufuata mkumbo. Hela ya mkopo anatumia ndani ya wiki au mwezi lakini makato anasota nayo miaka 4 mpaka 7. Hii ni hatari wakati mkopo haumuingizii hata shilingi tano.
Pia watumishi wa umma wengi hawana utaratibu wa kujiwekea akiba ili hata siku akipata shida ya ghafla badala ya kukopa anachukua akiba yake.
Watumishi wengi wanatakiwa wajiongezee kwa kuweka vyanzo vingine vya mapato.
Mkifanya mchezo mukistaafu au kufukuzwa kazi, huku mtaani mutateseka sana.
Tupe ideas basiTatizo la wafanyakazi wengi sio risk takers, 90% hawaamini kufanikiwa nje ya mshahara na hawataki kupata ushauri nje na watu wa kazi.
Kama kuna kundi ambalo lilipaswa kufanikiwa sana ktk ujasiriamali basi ni wafanyakazi wa serikali, mna dhamana ya kukopa bila kuweka nyumba, hivyo biashara yako haina stress kulinganisha na hawa wa kuweka nyumba rejesho kuzalishwa na biashara.
Kulingana na hiyo slip mtumishi huyo anaweza kopa mpaka 15m, hizi ukimpa mjasiriamali mzoefu zinazalisha kwa uchache 2m profit monthly. Tatizo hawafahamu haya.
Sent using Jamii Forums mobile app