ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,305
Hapo kwenye bold, akili ya mvivu hiyo, solution unaona ni kukaa kushukuru mungu, umepata chakula siku imeisha? Watu mkapime akili huyu mungu mnampaisha sana wakati hawasaidii chochote, nenda fanya kazi kama huajiriki fungua biashara yako mwenyewe hata kama ni kuanza kubeba mizigo unapanda. We kaa unashukuru sasa kwa huyo mungu wako utakufa hujafaidi chochote dunianiNa sisi ambao hatujaajiriwa tunaozunguka na bahasha kwa zaidi ya miaka mi4 tutasemaje [emoji35][emoji35][emoji35]
Kikubwa ni kumshukuru mungu kidogo ulicho nacho maisha yanatembea chakula kinapatikana baas.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwenye kujiajiri na biashara ndio usiseme, kwa siku unaweza unauza cement mifuko 3. Halafu faida ya mfuko mmoja ni 500, mabati hayatoki nondo hazitoki yaani watu hawajengi sijui wenzangu wa hardware biashara mnaionaje.[emoji16][emoji16][emoji16].
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la watu wanafanya biashara kwa mazoea...yaan kama alianzisha biashara 2010 anaifanya kwa kutumia mbinu za mwaka huo huo....time inabadilika na mambo yanapobadilika wealth change hands...asipojifunza mbinu mpya atalialia kama huyu mtumishi wa serikali...Kama unabiashara mbaya hivyo kwa nini unaendelea kuifanya? Kisa umesikia flani anauza cement na wewe unajaribu kuuza? Saturated market watu wengi mnafanya kitu kilekile. Huwezi kaa ukafikiria kuja na biashara mpya? Umasikini wengi hua mnajitakia wenyewe sababu hamshughulishi akili. Nakushauri jitahidi kusoma kitabu angalau kipya kila wiki au kila mwezi ikishindikana kuhusu biashara utaona unachofanya ni ujinga mtupu, expand akili yako uondoe umasikini
Hapo kwenye bold, akili ya mvivu hiyo, solution unaona ni kukaa kushukuru mungu, umepata chakula siku imeisha? Watu mkapime akili huyu mungu mnampaisha sana wakati hawasaidii chochote, nenda fanya kazi kama huajiriki fungua biashara yako mwenyewe hata kama ni kuanza kubeba mizigo unapanda. We kaa unashukuru sasa kwa huyo mungu wako utakufa hujafaidi chochote duniani
Ni degree, diploma au certificate?13 now
.. Ni aibu.
Na hapo najiona na bahati.. Kuna wenzangu wako chini Huko. Mfumo wa madaraja hauko uniform. Kuna mambo ya ajabu sana.
Waoneni tu walimu wanaenda kazini na kurudi.
Million? Kajiajiri uitafute mwenyewe! Hata maarifa ya kujiajiri huna mpaka uajiriwe!Tuwe wakweli mishahara serikalini ni midogo,just imagine graduate mzima baada ya kukaa miaka chungu nzima darasani na msoto wrote ule anakuja kulipwa chini ya million mmoja! Kweli?
Kwani kuajiriwa kunazuia mtu kujiajiri? Au unaongea bila kuwa na uelewa wowote?Million? Kajiajiri uitafute mwenyewe! Hata maarifa ya kujiajiri huna mpaka uajiriwe!
Maisha ya wafanyakazi sio magumu Kama unavyojaribu kuelezea. Wanauhakika wa chakula Lakini Hawana Uhakika wa anasa.
Mtazame mama mwenye watoto wanne Anaelea watoto wake peke yake kwa kutembeza machungwa, akikusikia ataona unamdhihaki Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaambiwa work as you earn(WAE) mkuu!!Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.
Tunaishi ka gidigidi.
Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.
Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.
Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.
View attachment 1401545
Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.
Mleta mada niko kinyume na wewe, badala ya mungu kuingilia Kati Kwa watumishi hebu awaangalie angalau vijana wanaoishi kwa kuokota chupa za maji na kwenda kuuza sh 100 @kg, acheni kukimbilia mikopo ili mnunue Noah ili mtese mjini, nyie wanachama wa CWT wengi wenu akili ya kunguni, mnavuta mikopo kabla hamjawa na plans za maana na hela Ya mkopo, matokeo yake mkikatwa mnaona mshahara mdogo, mimi nashauri mungu ahangaike na kada zingine kwanza
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.
Tunaishi ka gidigidi.
Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.
Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.
Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.
View attachment 1401545
Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.
Huyo Mama anayetembeza machungwa ananitegemea mimi mambo yawe mazuri ili badala ya kukopa machungwa ninunue kapu zima.
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.
Tunaishi ka gidigidi.
Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.
Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.
Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.
View attachment 1401545
Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.
ASANTE kwa maneno mazuriMaisha ya wafanyakazi sio magumu Kama unavyojaribu kuelezea. Wanauhakika wa chakula Lakini Hawana Uhakika wa anasa.
Mtazame mama mwenye watoto wanne Anaelea watoto wake peke yake kwa kutembeza machungwa, akikusikia ataona unamdhihaki Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salary slip huwa zinatoka na tarehe ya mwisho wa mwezi.
Watumishi wanashangaza sana. wanamuachaje mtu anayewaua kupitia HESLB?hilo kato linaumiza sanaHadi huruma
Jr[emoji769]
Unachosahau ni kwamba huyu dada amesota miaka na miaka akilala njaa kule chuoni, akitembea umbali mrefu kwa miguu kuelekea kipindini, sometimes akiftari darasani mwezi wa ramadhani ili asikose kipindi darasani, sometimes wengine wakiuza utu wao ili wale, ili tu siku moja awe na ajira.
Mnakera sana mnaomlaumu eti alipochukua pesa ya heslb alifikiria nini. Hao waokota chupa za maji wengi wao (sio wote) walijitakia.
Kuna mtu eti anasema amuangalie mama mwenye watoto wanne, tunajuaje huyu dada hana hao watoto wanne wanaomtegemea?
All in all pole sana dada yangu na wadau wote mnaopitia magumu. Mungu yu pamoja nanyi