Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Be safe,stay safe.
Nawa mikono kwa sabuni na maji tiririka.

#Corona inazuilika#
Sent from Carantine
 
Ok
 
Mfano wako bado unaendelea kuikosoa serikali,hata hivyo huwezi kuhalisha kosa Kwa kosa lingine,mfano wako wa mama muuza chungwa unaikumbusha serikali kwamba raia wake kila kada wanateseka.

Wakulima wanateseka,wafanyakazi wanateseka na halikadhalika wafanya biashara nao wanateseka tofauti hapa ni kiwango cha mateso.

Serikali inapeleka vijana shule wakimaliza masomo inawatelekeza.Wazizi nao wamehangaika kusomesha Watoto wao mwisho wa siku wanageuka mizigo.

Serikali inashauri vijana wajiajiri Wakati hawawawekei mazingira wezeshi.

Kwa awamu hii wapo vijana Wengi wenye degree mtaani wanafanya biashara hio ya chungwa unayoidharau,

Wakati shule zetu hazina walimu tunawaacha vijana wetu wenye taaluma Za Ualimu wanakaanga mihogo yakukaanga wanusuru maisha yao.
 
Mleta mada pole. Majibu mengi hapa ni poyoyo tu. Wenye akili zao wamekuelewa.

Hapo juu umezungumzia ahadi hewa na wengi wanajisahau kwamba marekebisho ya ajira na mishahara ni kitu kiko ndani ya sheria.
Labda basi wanataka tuwe kama korea Kaskazini. Kule kama mshahara hautoki hata miezi kibao lazima uende kazini na hata kama hakuna kazi unaenda kusain tu unakaa mpaka muda wa kazi uishe hata bila mshahara.
Nadhani wengi wakio komenti hapa wanatala hali hiyi.
Siku hizi JF ndio maana jamaa wengi wametoka comment za kijinga sana zimejaa.
 
Aiseee ni hatari sana,hali ni ngumu kweli kweli
 
Wengi wa waliocomment ni watu wenye wivu hawana mishe inawauma
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reasoning imepungua sana siku hizi,watu wamebaki kujibu hoja kwa mihemko na stori za kwenye kahawa.
 
HUU Upumbavu wa Karne Tena kiwango Cha lami. Ulisoma kwa mkopo ulijua kuwa utakwepa Deni?? NMB ulikopa kwa HIYARI yako leo wanakata Deni lao wamekuwa wabaya??!!!!

Nahisi pesa uliijua ukubwani, historia yako kusoma kwa mkopo na kukopa bank na kuja kulialia hapa jukwaani niwazi something goes wrong in your mind, Ni wazi kuwa You have poor financial status.

Anyway hayo matatizo yako bado hayajawa matatizo Kama unachodhani. Tatizo ni namna unavyoamua kuyatatua ndiyo panakufikisha hapo ulipo.
 
Tuacheni utani maisha ni magumu kotekote wenye ajira wanapitia magumu kama hayo,na wasiokuwa na ajira pia wanapitia magumu zaidi.

Kikubwa uzima tu, mengine tumuachie baba muumba mwenyewe.
Kikubwa uhai au sio
 

Huu mtazamo ni wa Kifukara sana. Mama anayetembeza machungwa kuwa na maisha ya chini zaidi yangu ndo me nina maisha mazuri!??

Umesahau mtoa mada ameweka makato formal yanayoonekana.. kuna makato informal kama kumtumia hela ndugu yangu ambaye ndo huyo Mama muuza machungwa etc.

Maisha ni magumu sana.
 
Sure, nidhanu ya fedha ndo inatakiwa tu hata km unapokea 10mil km hutumii vizuri bado ni shida. Mikopo iwe kwa malengo si kwa sababu unaweza kukopa. Wapo wenye mishahara midogo na wapo vizuri katika uwekezaji mdogo mdogo. Pesa huwa haitoshi muhimu kudhibiti matumizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…