Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Ungesema ugumu wake upo wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugumu au wepesi wa maisha huwa tofauti baina ya mtu na mtu kulingana na familia. Kipato hicho hicho kinaweza kuwa kinamfanya aone maisha magumu wakati mwingine kawaida. Hivyo si sahihi kusema maisha magumu ukaishia hapo ni sawa na kusema hatuna hela jambo ambalo si sahihi pia.
 
Nikiwa mkubwa nitatamani nilipwe kiasi kama hicho. [emoji39]
 

Labda tunashindwa kujua ugumu wa maisha ni nini. Kwangu mimi ugumu wa maisha ni state ya mtu kutokuweza kuaccess mahitaji fulani kwasababu ya either kipato chake au hali nyinginezo.

Mfano: Huyo unayesema ana nafuu na hiyo laki 4 still atakuwa na limitations kibao. Sema atajiadjust tu kuendana na hiyo income yake. Hapa haiondoi ukweli kuwa maisha kwake ni magumu.

Pia, mwingine anaweza kuwa ana hela za kutosha but akashindwa kuaccess huduma fulani either kwasababu ni mgonjwa au racial difference.. Huyu naye maisha kwake ni magumu.
 
Tuchukulie ugumu wa maisha kwa tafsiri ya kitaifa na kimataifa, kwamba ni hali ya kutoweza kukidhi mahitaji ya msingi ya binadamu (chakula, malazi, mavazi na "matibabu") chakula si lazima mlo kamili kila siku mana hata baadhi ya wenye maisha mazuri hawatimizi hilo.

Kwa tafsiri hiyo kuna mtumishi wa umma ambaye hawezi kukidhi hayo?.
 
ni upumbavu sana mtumishi kuishi maisha ya kulalamika na utetezi wako huu,unasema waokota makopo walijitakia,unauhakika kuwa familia zao zilikuwa zinaweza kuwasomesha??? kifupi watumishi wa umma hasa walimu hawataki kupitwa kitu,wanapenda maisha ya kujilinganisha despite their economic inabilities, mikopo ndo inawarudisha nyuma,unakuta mtu amekopa banks zaid ya moja kiasi kwamba per month anabakiwa na 250k,hasa hasa walimu,ukiangalia mkopo wake kafanyia nn huoni,walim ni kada inayopaswa kuteseka ili akili ziwarudi,upuuz mtupu,ndo maana ikifika tar 20 tu walimu wanajaa jukwaani na threads za mshahara wa mwezi huu bado????
 
Duh hii ndo JF ya kizazi kipya mtu anaandika usenge mpaka unashangaa kama wewe ulivyoandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nakukubali, huwa nashangaa sana unapoelezea matatizo yako then mtu anakuja anakulinganishia matatizo yako na ya mtu mwingine wakati tunatofautiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…