Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwa kweli kuna mtu alihitaji msaada nikataka kumsaidia lakini uzi ukafutwa kabla sijamuulizaMaskini tukiomba misaada ya fedha, kazi tunaambiwa matapeli...makundi yote yapo humu
kabisaaaaa kabisaaa shida inakuja kwa mtu ambaye hajawahi kushika kitu Fulani kikubwa au akapata mafanikio fulani hapo awali ..na hajawahi kupata uzoefu wakukipoteza ..so siku ambayo atakuja kukipoteza ndio atajua kuwa haya nimambo ya kawaida tu ..na yanawezekana kwa yeyeto yule endapo akiamua kupambana vyema katika utafuatajiSana tu usidharau mtu ...
Maisha hayana formula,wengine tumepitia hali zotee mpk sasa sioni jipya nachukulia km challenge!zitaisha tu!
Haina haja ya kujikweza wala kudharau mtu
Hahahahaha pita tu kimya kimyami napita tu..teheee
HAHAAAAHiyo ni ya lodge mkuu haiwezi kutengua hoja za awali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaaa ndio kwanza nataka kununua baiskeli ..nimeanza kununua kengere na breki zake kwanza ...nadhani mpka mwezi wa 6 ndoto yangu ya kumiliki baiskeli itakuwa imeshatimia mkuu...
namuomba Mungu inshaallah
Hahahaha laptop ni moja ya achievement sio mchezoHAHAHAA UMENIKUMBUSHA MBALI MNOOO AISEEE KUNA JAMAA MMOJA KWENYE ULE UZI WA ANT FOREX ALIPOST LAPTOP YA DELL ETI ANAJINADI KUWA TANGU AANZE KUTRED AMEKUWA MTU MWENYE MAFANIKIO NA MOJA YA MAFANIKIO ALIYONAYO KAWEZA KUJINUNULIA LAPTOP YAKE MWENYEWE.baada ya hapo .....alichezea mitusi toka kwa the list mpaka alikoma
HAHAAAAA. JF BHANAA
umepotea mnooo aiseee...habariSisi wakulima mnatusahau sana japo tuna umuhimu sana [emoji18][emoji18].
nishalala lodge mbeya ina tv 43"[emoji2] [emoji2] [emoji2] usikariri mziguaHamna lodge ina TV kubwa hivyo. Kidoogo Hotel na bado sio ukubwa huo
Yes yes tuliuza sana na sisi askirimu, za ubuyu zilikuwa tamu sana [emoji1][emoji1]Ahsantee uswahilini huku fridge ni uwekezaji mkubwa haswaa[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] maana wengi hawana na ht km wanayo wengine wanaogopa kuyatumia kwny busnezz kisa linakula umeme haswaa nyumba za kupanga!!
hahahaaa hatari sana ungeza speed ya kiuno mkuu ..mpka smart akiwaona wanawake wengine ahisi kuwa niwanaume wenzie ...ukishindwa kwa viuno nitafute nikupeleke kwa mganga ...Hahahahaha mungu yumooo rafiki atakusaidiaa .. mimi maisha yangu ya kubustiwa tu nashukuru Smart911 ananisapoti sana namimi naonekanamo.. otherwise ni mchovu tu
hahaaaaHahahaha laptop ni moja ya achievement sio mchezo
Unataka kumpeleka mtoto wa watu kwenu Kasulu Kigoma akapikwe kwenye mavyungu kama mboga kisa nini?hahahaaa hatari sana ungeza speed ya kiuno mkuu ..mpka smart akiwaona wanawake wengine ahisi kuwa niwanaume wenzie ...ukishindwa kwa viuno nitafute nikupeleke kwa mganga ...
hahaaaaa mwaka huu mpka akuhonge UFUNGUO wa premio
hahaaa kwani wewe hutaki Gari ...au wajishebedua tu hapa....Unataka kumpeleka mtoto wa watu kwenu Kasulu Kigoma akapikwe kwenye mavyungu kama mboga kisa nini?
hahahaaa hatari sana ungeza speed ya kiuno mkuu ..mpka smart akiwaona wanawake wengine ahisi kuwa niwanaume wenzie ...ukishindwa kwa viuno nitafute nikupeleke kwa mganga ...
hahaaaaa mwaka huu mpka akuhonge UFUNGUO wa premio
subiri tu mambo mazuri yaja
subiri tu mambo mazuri yaja
subiri tu mambo mazuri yaja