Yani hao anaowataja wanaigiza maisha ni wale aliokutana nao sababu kiuhalisia haiko hivyo humu.Sijaona alipoandika hivyo. Hebu niwekee hapa nami nionee.
Asipokuelewa kwa ulichoandika basi ana lake jambo.
Ila BAK inabidi na Emmy umfundishe kuandika gazeti sababu sio kwa gazeti hili. Lol
Binafsi naandika ukweli,sioni cha kudanganya na hapo wengine tunapunguza vingine kuepuka haya ya mleta Mada, mtoa Mada usipanic mkuu,km uko dar tuonane tule bata nakuja huko j5Cape Town Fish Market mimi naendaga kweli.
This counts 5% only of the total jf population, hata hivyo nimeandika katika exceptional paradigm.Acheni kufuatilia maisha ya watu hayawahusu. Pambaneni na hali zenu. Si kila mtu humu ni muongo wa kujikweza. Niliobahatika kuwafahamu humu ni watu bomba sana na wengine wana maisha mazuri sana kwa kuchakarika kwao kwenye elimu na biashara.
Mbona kuna wengi humu wanakuja kuomba misaada ya aina mbali mbali na wanasaidiwa!? Mbona hao hamuwasemi!?
Mambo ya Ngoswe mwachieni Ngoswe. Si kila mtu humu ni muongo au mtu wa kujikweza wengi wako kimya mpaka mpate bahati ya kufahamiana kwa karibu.
Wanaodanganya labda watotoBinafsi naandika ukweli,sioni cha kudanganya na hapo wengine tunapunguza vingine kuepuka haya ya mleta Mada, mtoa Mada usipanic mkuu,km uko dar tuonane tule bata nakuja huko j5
Yani hao anaowataja wanaigiza maisha ni wale aliokutana nao sababu kiuhalisia haiko hivyo humu.
Tuseme sample yake ikafikia kuhitimisha hivyo ni wale aliohakiki wanaishi fake kweli
Sawa BAKHaihusu kitu kukutana na mtu kisha kuja kumnanga humu. Watanzania tubadilike!!! Kabla hujafa hujaumbika KAMWE tusifanye dharau dhidi ya wale waliopigika kimaisha. Ukijaaliwa basi ni kumshukuru Mwenyezi Mungu badala ya kufanya dhihaka dhidi ya wale wanaotaabika kimaisha.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3]JamiiForums original haifiki Huko mikoani, Hicho mnachotumia Huko ni version ya mwaka 1952
Hahaha ,kweli watoto ,hata yy atakua mtotoWanaodanganya labda watoto
Ni Mwl by professional hakuna asiejua proud to be me,myself &I also nakaa uswazi japo sijapangaaa
Sina gari natumia Tz eleven!!
Hivi kuna mtu anaweza akaona aibu kutaja ye ni mwalimu? Nahisi kati ya fani ninazo ziheshimu ni fani ya ualimu na afya.Ni Mwl by professional hakuna asiejua proud to be me,myself &I also nakaa uswazi japo sijapangaaa
Sina gari natumia Tz eleven!!
Kabisa yaani kuna watu wanasifa hizo za kujikweza haswaaaAlichoshindwa kuelewa mtoa mada ni kwamba. Kwenye jamii yoyote hao aliowataja wapo. Wapo watu wana sifa zote humu alizozitaja na kweli ndo maisha yao halisi hawaigizi. Na wapo watu sio maisha yao wanaigiza. Kwenye mitandao yote tunao hao watu. Sio humu tu.
Wanataka tujitangaze tukose vijana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa majimama tujitangaze? Gaiiii
Ahsanteeee kwa marekebisho lugha ya wenyewe hii imekuja na meli ya malkiaMwalimu by ‘profession’. Siyo by ‘professional’.
Anaeamini nae mtotoHahaha ,kweli watoto ,hata yy atakua mtoto