Hiyo ni ya lodge mkuu haiwezi kutengua hoja za awali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji38] [emoji38] Sina Tv ya chogo mkuu[emoji13] [emoji13]
Hiyo ndio hoja yako niliyoweza kuijibu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125] View attachment 710461
Mmh. Leo umeamua kumwaga busara zako. LolHaihusu kitu kukutana na mtu kisha kuja kumnanga humu. Watanzania tubadilike!!! Kabla hujafa hujaumbika KAMWE tusifanye dharau dhidi ya wale waliopigika kimaisha. Ukijaaliwa basi ni kumshukuru Mwenyezi Mungu badala ya kufanya dhihaka dhidi ya wale wanaotaabika kimaisha.
Hamna lodge ina TV kubwa hivyo. Kidoogo Hotel na bado sio ukubwa huoHiyo ni ya lodge mkuu haiwezi kutengua hoja za awali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sana tu usidharau mtu ...
Maisha hayana formula,wengine tumepitia hali zotee mpk sasa sioni jipya nachukulia km challenge!zitaisha tu!
Haina haja ya kujikweza wala kudharau mtu
Nauza juice,askirimu,karanga na ubuyu daily nikipigaga mahesabu faida yangu kwa siku wala siachi aiseeehhh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] asikuambie mtu maisha yanasonga mradi sifanyi dhambi we nichekeee yangu yanasongaHata mimi najiuliza...kwani kuwa mwalimu kuna ubaya?
Mtu hata awe kuli, mbeba zege, mpiga debe wa daladala, na kadhalika, madhali anajipatia riziki yake halali, binafsi sioni tatizo kabisa.
Kazi ni kazi tu. Na kazi yoyote iliyo halali haimpunguzii mtu utu wake.
Mtu hawi bora zaidi ya mwenzake kisa tu ana kazi flani.
Angalia vizuri mkuu, hivi kuna lodge gani wanaweka Azamtv, Dstv? Kwahiyo kila siku naishi lodge?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Hiyo ni ya lodge mkuu haiwezi kutengua hoja za awali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mimi najiuliza...kwani kuwa mwalimu kuna ubaya?
Mtu hata awe kuli, mbeba zege, mpiga debe wa daladala, na kadhalika, madhali anajipatia riziki yake halali, binafsi sioni tatizo kabisa.
Kazi ni kazi tu. Na kazi yoyote iliyo halali haimpunguzii mtu utu wake.
Mtu hawi bora zaidi ya mwenzake kisa tu ana kazi flani.
Uko sawa kabisaa kakaa!!maisha hayaa!acha tu!wengine mifano ni sisi wenyewee!!!Acha kabisa maisha ni habari nyingine kabisa. Nimewaona watu walikuwa wakiishi maisha ya kifahari sana bahati mbaya wakatetereka. Ukijaaliwa ni kushukuru tu na kuomba muumba wetu aendelee kukujalia na si kuwananga wale wanaotaabika kwa namna moja au nyingine. KARMA IS A BITCH.
Nauza juice,askirimu,karanga na ubuyu daily nikipigaga mahesabu faida yangu kwa siku wala siachi aiseeehhh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] asikuambie mtu maisha yanasonga mradi sifanyi dhambi we nichekeee yangu yanasonga
Ahsante for the assist, nilishangaa Samsung 32 lodge?[emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Hamna lodge ina TV kubwa hivyo. Kidoogo Hotel na bado sio ukubwa huo
Mie sijambo kabisa namshukuru Allah. Usijali kikiiva ntakuita uje tujichane.
Hahahaa. Yaandae tu mie nasubiri. [emoji12] [emoji12]
Hahahaaa hilo jina Basi Haya lilitokana na nini? Najua ni kamji flani kako njia panda ya kwenda UnunioNjoo tule mbuzi hapa basihaya
Okay nimekuelewa mkuu, ni yako, enhee gari liko wapi!? Tuma picha[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Angalia vizuri mkuu, hivi kuna lodge gani wanaweka Azamtv, Dstv? Kwahiyo kila siku naishi lodge?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125] View attachment 710481
Labda lodge za nje ila sio hapa Tz. Bora angesema hotelAhsante for the assist, nilishangaa Samsung 32 lodge?[emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]