Marhabaaa....Allah ana majaaliwa yake..mie kanjalia huo..inshallah namshukuru..nijalie khali yakoTicha shikamoo,mwanya huo,mmmh
Safi kabisaMarhabaaa....Allah ana majaaliwa yake..mie kanjalia huo..inshallah namshukuru..nijalie khali yako
Itoshe kusema kuwa sitamani lifestyle ya MTU na anavyomiliki ila huwa natamani sana kutimiza ndoto zangu, niliyoleta humu ni hoja za kuhusisha baadhi ya members wenye kuguswa na premises above!
Ukisoma na kutumia vizuri akili kunielewa nadhani hautaona tatizo mkuu
Maada haina tatizo ila tatizo ni mleta uzi ndo nimejaribu kufikiria kuwa anatembelea jukwaa gani analo kutana na haya majigambo ya watuItoshe kusema kuwa sitamani lifestyle ya MTU na anavyomiliki ila huwa natamani sana kutimiza ndoto zangu, niliyoleta humu ni hoja za kuhusisha baadhi ya members wenye kuguswa na premises above!
Ukisoma na kutumia vizuri akili kunielewa nadhani hautaona tatizo mkuu
Hahaaa. Siwezi kukupita kimya kimya rafiki.Rafiki nimekuona umebonyeza dole gumba sema bado nasoma huu uzi pale no. 2 kipengele i na ii
Hahahaa mtoa uzi hatupendiWanataka tujitangaze tukose vijana [emoji23][emoji23][emoji23]
Na wote wamekutana na chiu zenye harufu na hawachukuagi kabisa wadada wa uswahiliniNa wote wana mihogo hamna mwenye kibamia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wote wamekutana na chiu zenye harufu na hawachukuagi kabisa wadada wa uswahilini
Hahah!! Sawa rafiki tupo pa1Hahaaa. Siwezi kukupita kimya kimya rafiki.
Ila sio kwa misamiati hiyo rafiki. Lol.
HahahahhhahJamiiForums original haifiki Huko mikoani, Hicho mnachotumia Huko ni version ya mwaka 1952
Nipo sikonge,mm askari polisiNipo Tabora kijiji cha Ifucha. kama yupo member asongee pm fasta...
Safi sana, askirimu zinafaida nzuri...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] warembo wangu wawili wote nawalipia ada ya private nikiwaambia watu hawaamini km sina sapoti ht ya mzazi mwenzangu kumbe zile karanga na askirimu zoote sikosi faida ya elf 30 per day nalipa vicoba yangu yanaenda yaleee !!
Biashara usizolipia kodi zina faida kiasi chetu sisi kwa kweli