Maisha ya mwanamke huanza akiwa na miaka 18, Maisha ya mwanaume huanza akiwa na miaka 28

Maisha ya mwanamke huanza akiwa na miaka 18, Maisha ya mwanaume huanza akiwa na miaka 28

Ninajaribu kutathmini na huu umri wangu kwanini niko level ambazo si zangu.au mtoa uzi umekunywa mzinga?
 
If that's the case basi Mimi ndo kwanza nina miaka miwili maishani😂
 
Mi niko na 28 na naona nimechelewa sana
 
I can say its not a biological truth but more of social observation and psychological commentary. Mwanamke mwenye miaka kumi na nane mara nyingi huonekana kama mtu ambae yupo kwenye peaky.
nifanye uchambuzi kidogo.
1. MWANAMKE MWENYE 18
Very Attractive, Emotional matured, anaonekana kama mtu kamili, she experience attention. I can say anakuwa kwenye peaky kwa sababu for many cultures women are valued by their beauty, na kwa kipindi hiki ndio uzuri huwa unajitokeza kwa kiwango chote.
By society’s standards, a woman’s prime starts early. At 18, she’s at peak sexual market value , youthful, attractive, fertile, and socially desirable. She doesn’t need money or status to be noticed; looks and youth do the heavy lifting. Her “life” in terms of social power, dating,attention vinaaanzia hapa.
MWANAMKE MWENZE 28
uzuri unapungua na hiki ndio kilikuwa kinampa status. Jinsi anakuwa mkubwa attractiveness inapungua, value yake inashuka. Maana the more umri unaongezeka ndivyo thamani inapungua sokoni.
3. MWANAUME MWENYE 18
Havutii, unmatured, mara nyingi broke, hana status, no career, yupo yupo tu! wengine kwanza huwa wapo puberty hata cologne unakuta hazijui.
4. Men at 28
Career, matured, confident, status, physique...hapa ndio dume huwa linaanza kutimia sasa.


Chukua picha ya mwanamke alipokuwa na 18 alivyokuwa mzuri pisi ya kwenda compare akiwa 28 anaanza kuzeeka. Chukua picha ya mwanaume mwenye 18 alivyokuwa kituko compare na nakiwa kwenye twenties and thirties or forties na mda mwingine hadi 50s compare!
 
Wenye jinsia tata chukua 18+28 gawa kwa 2!

Hivyo huanza na 23yrs 😁
 
Back
Top Bottom