Maisha ya ndoa anayo pitia ndugu yangu ni mateso, je amelogwa?

Aseee ni matokeo ya kukurupuka kuowa bila kupeana muda wa kuchunguzana,Mim na mke wangu mwaka wa 4 sasa naishi nae Tu sijafunga ndoa wala mahari bado nasoma ramani km atanifaa nisajili mazima
Mkuu mwaka wa nne unamsoma mtoto wa watu alafu siku akikukosea jambo Moja unasema hafai kuwa mke..!! Sema labda bado hujakaa vizuri kifedha lakini sio kumsomaaa...
 
Mwambie, katika kosa ambapo hatakiwi kurudia, MMWANAUME HAENDAGI KUISHI KWA MWANAMKE, ILA MWANAMKE HUHAMA ALIKO KWENDA KWA MWANAUME.
 
Mambo kama haya ndo unakuja kuskia mume amuua mkewe. Maana jamaa stress anazopitia halafu ukizingatia bado Ana deni la miaka mi5 mbele. Anaweza kuamua bora wakose wote tu
 
Mwambie, katika kosa ambapo hatakiwi kurudia, MMWANAUME HAENDAGI KUISHI KWA MWANAMKE, ILA MWANAMKE HUHAMA ALIKO KWENDA KWA MWANAUME.
Kuna mwanamke alikuwa na Kiwanja chake akanishauri tujenge hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nikasema bora nipange maisha yangu yote wanawake achana nao kabisaa siku mnagombana anaweza kwambia ukiweza Beba nyumba yako uendee.. Hata kumwambia tuuze sikumshauri angehisi labda mi tapeli..
 

KADI YA CHAMA YA CHAUMMA UNAYO?
TUANZIE HAPO KWANZA.
 
Aisee mpe pole sana.

Asiogope kuanza na moja ama chini ya moja.
Afanye kila liwezekanalo auze hiko kiwanja.

Ila mkumbushe tuu haitapita miaka milili atakuja kumuomba msamaha, na kwa vile wana ndoa basi atarajie kurudiana tena.

Huyu ndie kiumbe aitwae mwanamke.
Wako watu wengi wanawake wanalilia ndoa usiku kucha mchana kutwa,wachungaji na waganga wameneemeka na wanawake wanaotafuta ndoa, achilia mbali hao watafutao ndoa , kuna wengi pia wanaomba hata pakupata pa kujishikiza hata kua mke wa pili ama wa tatu lakini wanakosa.
Lakini wengine ndio Kama hawa wako na ndoa lakini wanatamani wasiwe nao.

Mwenyezi Mungu Mtukufu awape hekima watoto wetu wa kike na kuwaepusha mbali na athari za kizazi hiki.
 
Hili la mkopo lina weza kubadilika kuanzia tarehe 29 Oct 2020. Mpe kura yako Lissu hapo 28 October 2020.
 
Ndugu unasubiri nini hapo?
Ondoka hapo, nenda kaanze maisha upya.
Mbona fresh tu. Wewe ni mwanaume na mwanaume halisi haogopi changamoto za hapa na pale za kimaisha.

Usikazane kuwaza umepoteza nini ili kuijenga hiyo ndoa, waza ni kiasi gani unapoteza sasa na utakipoteza zaidi kwa kuendelea kukaa hapo.
 
Yaani hata sielewi kwa nini aendelee kubaki hapo. Atoke aingie mtaani ni mwalimu wa secondary aanzishe tuition classes au atafute wazazi ambao watoto hawafanyi vizuri awapange tuition majumbani mpaka kieleweke. Mbona ametoka fresh tu?
 
Ndoa zinahitaji ubabe, inaelekea huyo mwanamke hujawah hata kumuwasha Kofi yasingefikia huko!
Mke wa ndoa akuendeshe hivyo wewe mwanaume una zaidi ya matatizo!
tena mwalim wa shule ya msingi ? sasa ungeowa mwanasheria au afande si ungelazwa barazani kabisa!
 
Ha ha ha eti invoices zote anazokutupia mezani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]

We jamaa napenda uandishi wako, inaonekana we ni storyteller mzuri sana na chai kibao[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]

cariha
 
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]
 
Kama yuko dar ,atafute pa kukaa halafu aanze upya.Kama yuko mbez kwa Musuguli aje nimuhifadhi miez mitatu bure bila kodi baada ya hapo akaanze upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…