Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nimeuliza tu ndoa,za sasa zipojeUnataka sponsor au mume?
NiambieKuna ndoa naifahamu tumekula ubwabwa dec2022 leo iko mahututi, labda shida nyingine ni visamvu kama mtoa mada mmoja alivyolalamika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ndoa naifahamu tumekula ubwabwa dec2022 leo iko mahututi, labda shida nyingine ni visamvu kama mtoa mada mmoja alivyolalamika
Wewe unataka kimada au mkeUnataka sponsor au mume?
Mimi wala sikuambi wewe nipe hela tu ukishiwa naficha siri wala sichepukiNilioa 2020 tukakaa miaka miwili tukachana,ndoa ni gereza tosha,ukichelewa kurudi home unaambiwa ulikuwa kwa Malaya zako,ukiwahi unaambiwa leo naona hujapita kwa Malaya zako,huu ujinga storudia
Hapana, usiungane na hawa timu kataa ndoa. Ndoa inatuchangamsha akili wanaume na vile vile inatujenga kuweza kuishi popote. Ukiwa na ndoa hata kwenye kitanda chenye misumari badala ya godoro unaweza kulala!!Nilioa 2020 tukakaa miaka miwili tukachana,ndoa ni gereza tosha,ukichelewa kurudi home unaambiwa ulikuwa kwa Malaya zako,ukiwahi unaambiwa leo naona hujapita kwa Malaya zako,huu ujinga storudia



Maisha ya ndoa hayana formula, ni wwe kutafuta formula yako uitumie utakavyo!!Ngoja waje tusome ushauri ila nadhani wachache wanaopigana na kuuana sio mifano tosha ya kusema ndoa zinashida
Wapo ambao wako almost heaven wanafurahia ndoa
Kama umeshidwa kujibu swali dogo kama hilo,basi wwe endelea ni mishe zako, Ndoa siyo type yako!!Mie nimeuliza tu ndoa,za sasa zipoje
😀😀😀😀Nilioa 2020 tukakaa miaka miwili tukachana,ndoa ni gereza tosha,ukichelewa kurudi home unaambiwa ulikuwa kwa Malaya zako,ukiwahi unaambiwa leo naona hujapita kwa Malaya zako,huu ujinga storudia
Kwa dunia ya sasa ndoa haina maana kwa mwanaume, labda mwanamke ndie anaweza kunufaika na ndoa maana kuna masilahi yake yanalindwa kisheria akiwa ndoani.Hapana, usiungane na hawa timu kataa ndoa. Ndoa inatuchangamsha akili wanaume na vile vile inatujenga kuweza kuishi popote. Ukiwa na ndoa hata kwenye kitanda chenye misumari badala ya godoro unaweza kulala!!![]()
Hamna mwanamke wa hivyo sasahivi,yaani usiombe siyo rahisMimi wala sikuambi wewe nipe hela tu ukishiwa naficha siri wala sichepuki
HakikaNafasi ya kuwa single uliyo ipata kuwa makini usije kuichezea🤔
Japokuwa sipo katika miaka uliyotaja, lakini yawezekana ukapata mawili matatu.Unajua kuwa maisha ya kuwa single ni magumu, hivyo tunahitaji kuwa na maisha ya wawili, tupate watoto na tujenge familia.
Kwa wale walioolewa kuanzia mwaka 2020 hadi 2023, maisha ya ndoa yakoje? Visa vipo vingi; wengine wameuana, wameachana na wengine wanaishi pamoja kwa sababu fulani.
Naomba, kama umeoa au kuolewa, utoe ushauri.
Asali tupu Ni kujipimia tuuUnajua kuwa maisha ya kuwa single ni magumu, hivyo tunahitaji kuwa na maisha ya wawili, tupate watoto na tujenge familia.
Kwa wale walioolewa kuanzia mwaka 2020 hadi 2023, maisha ya ndoa yakoje? Visa vipo vingi; wengine wameuana, wameachana na wengine wanaishi pamoja kwa sababu fulani.
Naomba, kama umeoa au kuolewa, utoe ushauri.
Oa ndio jambo jemaMi home waliacha kunisisitiza. Wamebaki masnitch wa kazini.
Unakuta mtu ananisisitiza nioe wakati kila mtu anajua yeye na mume wake wamezinguana na wanakaa sehemu tofauti ila Dar hii hii.
Wapi wameandikaOa ndio jambo jema