Maisha ya ndoa yana raha sana

Maisha ya ndoa yana raha sana

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Sioni haja ya kuangalia dosari za ndoa,al muradi sie ni binadamu,karaha na shida zitatokea tu,lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa maisha ya ndoa yama raha sana,fikiria una mwenza wako kwa shida na raha,kila kitu mnafanya pamoja na hata kunyanduana mnagusanisha viungo vyenu mwa mwili,dah raha sana
 
Usitupange mkuu

Kuoa hatuoi na mbususu tunachakata daily na watoto tunamiliki

#ndoa ni utapeli
 
Ngojaa gejee zilizorundikanaa zikwishee ,utajua ndoa nii......seen more
 
Sioni haja ya kuangalia dosari za ndoa,al muradi sie ni binadamu,karaha na shida zitatokea tu,lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa maisha ya ndoa yama raha sana,fikiria una mwenza wako kwa shida na raha,kila kitu mnafanya pamoja na hata kunyanduana mnagusanisha viungo vyenu mwa mwili,dah raha sana
Je, unajua ni kwa nini wahenga walisema "Familiarity breeds contempt?" Yani ukimzoea mtu sana hatimaye mnadharauliana. Huyo mwana ndoa mwenzako; mwanzoni ni kweli mnagusanisha viungo ..... Lakini baada ya muda mtazoeana na hapo ndipo shida ya madharau inapoanzia. Dharau ikikua na kuongezeka sana ndipo bisibisi, mateke, mapanga kutenganisha kichwa na kiwiliwili, kufunga mlango na kumwaga petroli n.k. kunatamalaki -wanandoa wamechokana.kila mmoja amemkinai mwenzake na kujisikia kichefuchefu kuwa pamoja naye zaidi. Hapo ni timbwili kwa kwenda mbele... Au ww hujayasikia matukio hayo miongoni mwa wanandoa? Bro; Ingia kwenye ndoa halafu tuone kama hutokuja haraka sana kubadilisha kichwa cha habari kama ulivyokileta hapa.
 
Mimi na ndoa 2 na tunapitia shida pia lakini tuna raha kuliko kawaida hivyo ukijenga msingi mzuri matatizo yakitokea mnaingea na yanaisha
 
Back
Top Bottom