Maisha ya ndoa yana raha sana

Maisha ya ndoa yana raha sana

Moto gani,upo wapi,na ameuwasha nani ,na je we uliwahi kuona au kuuyumia hata kwa kuchemshia maboga?
Ndio maana mimi naamini wewe huna akili.

kwani akili zako zipo wapi? Aliziweka nani? Umewahi kuzishika? Umewahi kuziona?
 
Mimi na ndoa 2 na tunapitia shida pia lakini tuna raha kuliko kawaida hivyo ukijenga msingi mzuri matatizo yakitokea mnaingea na yanaisha
Kwa hiyo ili uwe na raha ni conditional i.e. kuna vigezo. Kimojawapo cha vigezo ni sharti ujenge msingi mzuri.
 
Sioni haja ya kuangalia dosari za ndoa,al muradi sie ni binadamu,karaha na shida zitatokea tu,lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa maisha ya ndoa yama raha sana,fikiria una mwenza wako kwa shida na raha,kila kitu mnafanya pamoja na hata kunyanduana mnagusanisha viungo vyenu mwa mwili,dah raha sana
naunga mkono hoja ukimpata mwenza sahihi ndoa ina faida kwa wanandoa na familia,jamii,hata katika ibada mambo ya kiroho,hata kijamii.

Natabiri utapingwa na wafuasi wanachama wa KATAA NDOA na kampeni yao ya kataa ndoa.
 
Ikikupenda... Ndoa ikikukataa ni shida. nikae pembenii😀 mambo yanawenyewe haya
 
Kwani babu Grahams anasemaje?
Naungana na mtoa mada, maisha ya Ndoa yamejaa raha

Imagine unatoka kwenye mahangaiko ya kutafuta hela, umekosa lakini ukirudi nyumbani Mkeo anakupa Faraja na maneno ya matumaini kwamba Mume wangu, Leo umekosa ila kesho utapata zaidi

Umetoka Kazini umechoka, lakini Mkeo anakupeleka bafuni kukuogesha kabla hajakuuliza lile swali unakula ndiyo ule ama utakula baada ya kula 😜

Vijana oeni ili mfurahie Dunia kama Babu zenu hapa 🤗
 
Babu ulipata mke, sahivi urudi home huna kitu mfukoni utaeleweka🤗🤗ngumu sana kwa sasa
 
Na ukimaliza kunyandua anakufuta
 
Babu ulipata mke, sahivi urudi home huna kitu mfukoni utaeleweka🤗🤗ngumu sana kwa sasa
Kwa kweli ni jambo la kumshukuru Mungu, Bibi zenu walikuwa wafariji na wenye kujielewa sana

Ndiyo maana hadi tumezeeka pamoja 🤗
 
Naungana na mtoa mada, maisha ya Ndoa yamejaa raha

Imagine unatoka kwenye mahangaiko ya kutafuta hela, umekosa lakini ukirudi nyumbani Mkeo anakupa Faraja na maneno ya matumaini kwamba Mume wangu, Leo umekosa ila kesho utapata zaidi

Umetoka Kazini umechoka, lakini Mkeo anakupeleka bafuni kukuogesha kabla hajakuuliza lile swali unakula ndiyo ule ama utakula baada ya kula 😜

Vijana oeni ili mfurahie Dunia kama Babu zenu hapa 🤗
Babuuuuuuuuuuu🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom