Maisha ya ndoa

kama hujaoa wewe experience ya ndoa umeipata wapi???
Kama unavyosema MAISHA YA NDOA
sometime utumie akili
Kuna watu humu wanasimulia vita vya urusi na Ukraine experience sijui wanatoa wap.
 
Kuna watu humu wanasimulia vita vya urusi na Ukraine experience sijui wanatoa wap.
[emoji38][emoji38] unatakiwa uwahoji wakuelezee kwa kina maana wengi unakuta wanasimulia uongo
 
kama hujaoa wewe experience ya ndoa umeipata wapi???
Kama unavyosema MAISHA YA NDOA
sometime utumie akili
Wengine humu ni mawakili mkuu. Hawajaoa/kuolewa lakini wanasikiliza sana migogoro ya ndoa inayowahusu wateja wao.

Na kumbuka kwamba ukienda kwa Wakili ni lazima umwambie ukweli ili akusaidie. So Mawakili tuna siri nzito ingawa baadhi yetu hatumo ndoani.
 
Mtajie kabisa ni wat gani hasa wanasikiliza kesi za ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…