Maisha ya ndoa

Maisha ya ndoa

Wengine humu ni mawakili mkuu. Hawajaoa/kuolewa lakini wanasikiliza sana migogoro ya ndoa inayowahusu wateja wao.

Na kumbuka kwamba ukienda kwa Wakili ni lazima umwambie ukweli ili akusaidie. So Mawakili tuna siri nzito ingawa baadhi yetu hatumo ndoani.
Ni kweli sikati mkuu umeongea point... lakini uyo dogo sio wakili vidole vyake vimemuwasha tu kaamua kuanzisha thread.
 
Mawakili

Mahakimu

Majaji

Maafisa Ustawi wa Jamii n.k

Ingawa kwa upande wa Majaji wengi wao wamo ndoani, ingawa wapo ambao wameachana na wenza wao pia.
Ila hao wote n last choice baaada ya ustawi wa jamii kushindwa kupata suruhu ndio shaur linapewa referral
 
Hapa nakaziaaaa,mama yangu alikuwa anamheshim Sana baba yangu,nami nimeiga lkn rfk yngu mama yake alikuwa anamdharau baba take nae kaiga anamdharau mmewe,Sasa mmewe mnyakyusa jmn anapigwaaa mpk KERO Ila yule dada kujirekebisha kashindwa kbisa
Mungu Huwa haweki wakorofi wawili pamoja labda ujiongeze.
Mwanamke mkorofi unyooshwa na mwanamke primitives yule wa neno moja la pili ngumi,teke huyu ndie anaweza kata mdomo mchafu wa mke.
 
Pana binti mtaani alikua ni mkorofi mbabe hatari akaolewa na jamaa akileta ukorofi kipigo, akienda kwao anafatwa anawaambia wakwe zake si mlishindwa hapa atanyooka tu hamtaki nirudishieni mahari yangu huyu ni mke wangu nimemuoa halali haya ni yangu niachieni.
Mwanamke kanyooka kaacha mdomo na ubabe katulia tuli analea zake watoto wake wawili na mme wake.
 
Ndoa ni photocopy jinsi kila mmoja alivyomuona baba na mama yake walivyoishi,so usioe bila kuchunguza asili yao.
ni kweli, kama mama anaishi hovyo na mume wake watoto wanakopi. Kama mama ni single mother wa kujitakia kuishi bila mume hata watoto wake nao wataishi maisha yao
 
ni kweli, kama mama anaishi hovyo na mume wake watoto wanakopi. Kama mama ni single mother wa kujitakia kuishi bila mume hata watoto wake nao wataishi maisha yao
Wanakuwa katika the same spirit
 
Mungu Huwa haweki wakorofi wawili pamoja labda ujiongeze.
Mwanamke mkorofi unyooshwa na mwanamke primitives yule wa neno moja la pili ngumi,teke huyu ndie anaweza kata mdomo mchafu wa mke.
SEMA yule dada Ana asili ya wehu....kutoka hataki,kutii hataki anaishia kupigwa km mbwa mwizi
 
Back
Top Bottom