RealMan
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,367
- 1,394
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okay, bwana Ritz tunaweza endelea bila ya tatizo...Mkuu wa chuo,
Nimeileta mara ya pili ili kukuonye mganganyiko wa hii habari.
Mkuu wa chuo, mbona wewe umeishaleta bandiko moja zaidi ya mara mbili mie sijakukataza, umeishaleta bandiko la Dr Zawahiri mara ngapi?
Wakati nasoma bayana zako nilistuka pale niliposoma kuwa unanipa vitu adimu, mpaka namaliza kusoma post yako sikuona ivyo vitu adamu.
hao ndugu yangu ni wazee wenye mawazo finyu na si wasomi wa vitabu wala kufatilia yanayojiri duniani , kumbuka ilifika wakati baadhi ya waislam walimuona osama ni mkombozi wa dini ya kiislam lakini kumbe si kweli , yeye alikuwa anapambana kwa maslahi yake binafsi .
kuna movie mpya imetoka mwaka huu inaitwa Zero Dark Thirty inaonyesha jinsi marekani walivyofatilia hadi kugundua na ilikuwaje hadi akakamatwa na kwann serikali ya pakistan hawakujua
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wewe usiyeamini tuletee unayoiamini
MIMI naamini Osama yupo hai
'
Pia,Naamini Osama hajawahi kuwa adui wa Marekani
'
Pia naamini Osama mpaka sasa anaishi Marekani
'
Tafadhalini,msiniulize nilikoyatolea haya,NI MIMI BINAFSI NDO NAAMINI HIVYO
'
It's better we keep it that way!
Mie nauliza
1 ni speech gani ya Osama aliyokubali kwa matamshi yake kuwa anahusika na 9/11.
2 Bush alitangaza zawadi nono kwa atakaye toa taarifa/kumkamata Osama dead o alive.
Iweje ipangwe mission ya kumuua na kumzikia baharini eti wamefuata sheria za kislam,muislam gani aliezikwa au kazika baharini?
Zaidi ya firauni aliekufa majini na akarudishwa ufukweni kwa uwezo wa mwenyezi mungu ili awe fundisho kwa bin adam.
Naombeni majibu?
TISS wazee wa kukaa baa na tambo mingi zisizo na msingi. hawa CIA ndio wanapiga kazi
Mkuu bado unaamini hivyo!? au msimamo wako umebadilika!?
Sasa angejilimbikizia angetumia wapi hizo Mali dada yangu wakati roho yake ilikuwa mdomoni mwa AK 47Osama alikua na roho ya aina yake.
Alijua iko siku watamtia mkononi ndio maana hakujisumbua kujilimbikizia mimali.
Ni shida sana mkuu hawa jamaa ni wabishi sana, wanabisha bila hata ya evidence, wanakwambia ya kwamba eti Osama alikufa muda mrefu wengine hawaamini, sasa kama alikufa muda mrefu inakuwa vipi Pakistani wali mind baada ya kufanyika ile Operation Neptune Spear...Mkuu nimeona namna ulivyotifuana na hawa wagalatia! Jamaa ni wabishi sn! Km wake Wa Osama walithibitisha kuvamiwa na kuuwawa kwa Osama sembuse hawa watz wanaobisha kipuuzi?
Kuna jamaa mmoja eti anabisha kwamba hakuna mails za mawasiliano zilizofanywa na makechero Wa CIA zikimtaja Osama kwa jina lake! Huu ni upuuzi kwasababu hawajui Osama alipewa CODE Name na hawa makachero kutumia wakati wakiwa wanawasiliana ili watu Ata km watayaingilia Hayo mawasiliano hawawezi kujua Hiyo code name inamaanisha nini!
Mkuu FUHRER amechambua vzr sn ktk hili swala ila amepitiwa kugusia hili swala la code aliyopewa Osama ktk Hiyo hunting Bin Laden ingawa Nafahamu hili Jambo analifahamu ila hakuligusia maana intelligences Siku zote hutoa code name au no kwa wale watu wanaowasaka!
"Geronimo EKIA"
Ni shida sana mkuu hawa jamaa ni wabishi sana, wanabisha bila hata ya evidence, wanakwambia ya kwamba eti Osama alikufa muda mrefu wengine hawaamini, sasa kama alikufa muda mrefu inakuwa vipi Pakistani wali mind baada ya kufanyika ile Operation Neptune Spear...
Pamoja na yule mke mwenyewe wa Osama kuthibibitisha ila bado watu wamezidi kuwa wabishi zaidi kule Abbottabad ile kitu ilithibitishwa, watu wanataka tuamini conspiracy theory za kwenye kahawa zaidi ya reality pamoja na fact
sasa hivi naona hali imetulia baada ya huyu jamaa kuuawa, kuna jamaa mmoja ndio sasa hivi amechukua nafasi ya Osama anaitwa Zawahir lakini hakuna kitu...
Al Qaeda kwa sasa hawafanyi milipuko ya kijinga kijinga
hapo ndipo ninapowakubali CIA wanapiga shughuli zao bila hata intelligence ya Pakistan kushtuka...
CIA hawa ndio wanajua kazi sio kama TISS ya Tanzania ni ya kijinga sana...
wenyewe wanachojua ni kung'oa watu kucha na meno badala ya kulinda raia...
Bomu limelipuka Arusha lakini hadi leo hii ni ubabaishaji mtupu yaani hawa TISS hakuna kitu...
CIA hawa jamaa ni noma...