Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

asante sana mkuu RealMan kumbe umeona na wewe kwamba bwana Ritz analeta bandiko halafu tena anakana, yaani anajichanganya mwenyewe...

halafu itakuwa vizuri kama bwana Ritz akijibu hayo maswali...

Kiongozi @@Ritz ndivyo alivyo, ni muungwana lakini asiyependa kukiri kinyume na msimamo wake wa awali!!
 
bwana Ritz, unajua ya kwamba hiyo habari ulikwisha ileta huko nyuma, tatizo lako bwana Ritz unaleta madude mazima mazima bila hata ya kuyachambua ona sasa umeipost hiyo habari hapo juu mara mbili hebu soma post yote hapo juu ipo mara mbili, lakini hiyo sio issue ngojea tuanze uchambuzi...

sasa mi nilidhani kwamba habari itakanusha ya kwamba ile operation ni ya uongo kumbe inasema Obama alidanganya kuhusiana na tarehe aliyokufa Osama yenyewe inasema ni tar 28 April halafu inakataa kuhusiana na kuzikwa baharini...

unajua bwana Ritz kipindi kile cha ile mission yaani Mei 2011, mwaka uliokuwa unafuata ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi wa USA sasa ile kitu ya kumuua Osama ilimuongezea sana credit rais Obama, sasa kama unavyosoma hapo kwenye hiyo post huyo jamaa anaesema hivyo na yeye alikuwa ni presidential candidate kama nimeelewa vizuri, we bwana Ritz unategemea nini hapo?

halafu ngojea nikupe vitu adimu lakini usiseme kutoka hollywood! unajua kwamba ile mission ilikuwa haijulikani na watu wengi! walikuwa wanajua baadhi tu, ndio maana tulikuja kutangaziwa baada ya Operation hiyo kufanyika pale Abbottabad kwamba ilikuwa ni hivyo... Baada ya Operation jaluo akawatangazia Wamarekani pamoja na Dunia ya kwamba Osama ameuawa baada ya Seal team six kupiga ile operation hapo Abbottabad...

Unajua hata wale seal team six walipiga tizi bila ya kujua wanaenda kupiga mission ipi halafu mwisho wa siku ndio wanaambiwa ni kwa ajili ya Osama...

nadhani hapo umenipata bwana Ritz...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa chuo,

Nimeileta mara ya pili ili kukuonye mganganyiko wa hii habari.

Mkuu wa chuo, mbona wewe umeishaleta bandiko moja zaidi ya mara mbili mie sijakukataza, umeishaleta bandiko la Dr Zawahiri mara ngapi?

Wakati nasoma bayana zako nilistuka pale niliposoma kuwa unanipa vitu adimu, mpaka namaliza kusoma post yako sikuona ivyo vitu adamu.
 
Last edited by a moderator:
okay, bwana Ritz tunaweza endelea bila ya tatizo...

nadhani hapo mwenyewe utakuwa umekwisha fanya ulinganifu, tatizo lako wewe bwana Ritz unaleta tu habari wala hakuna kutoa maoni yako, sasa wewe upo upande upi?

ukitumia mantiki nadhani umekwisha pima vizuri...
 
Last edited by a moderator:

Maslahi yapi mkuu? Funguka kidogo
 
kuna movie mpya imetoka mwaka huu inaitwa Zero Dark Thirty inaonyesha jinsi marekani walivyofatilia hadi kugundua na ilikuwaje hadi akakamatwa na kwann serikali ya pakistan hawakujua

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ntaitafuta niicheki maana spati picha
 
MIMI naamini Osama yupo hai
'
Pia,Naamini Osama hajawahi kuwa adui wa Marekani
'
Pia naamini Osama mpaka sasa anaishi Marekani
'
Tafadhalini,msiniulize nilikoyatolea haya,NI MIMI BINAFSI NDO NAAMINI HIVYO
'
It's better we keep it that way!

Mkuu bado unaamini hivyo!? au msimamo wako umebadilika!?
 
Kwa kifupi inaonyesha wewe unaielewa hii story kuliko mleta Uzi ila namshukuru Kwa kuanzisha wengine tukaelewa japo Kwa kiasi flani kuhusu mwanzo na kufeli Kwa Osama.thanks
 

Unataka kutuaminisha kwamba Osama hakuwa gaidi? Au hakua kiongozi wa al quaeda, au wewe al quaeda unawaelewaje ni chama cha siasa??
 
Ipo pia documentary ya BBC inaitwa BIN LADEN SHOOT TO KILL nzuri mno.Inaonesha hatua zote mpaka maiti ilivyopotezwa asije sehemu aliyozikwa pakageuzwa sehemu ya ibada.Yaani Osama akawa mkubwa akiwa amekufa kuliko alipokuwa hai.
 
Mkuu bado unaamini hivyo!? au msimamo wako umebadilika!?



Mkuu nimeona namna ulivyotifuana na hawa wagalatia! Jamaa ni wabishi sn! Km wake Wa Osama walithibitisha kuvamiwa na kuuwawa kwa Osama sembuse hawa watz wanaobisha kipuuzi?

Kuna jamaa mmoja eti anabisha kwamba hakuna mails za mawasiliano zilizofanywa na makechero Wa CIA zikimtaja Osama kwa jina lake! Huu ni upuuzi kwasababu hawajui Osama alipewa CODE Name na hawa makachero kutumia wakati wakiwa wanawasiliana ili watu Ata km watayaingilia Hayo mawasiliano hawawezi kujua Hiyo code name inamaanisha nini!

Mkuu FUHRER amechambua vzr sn ktk hili swala ila amepitiwa kugusia hili swala la code aliyopewa Osama ktk Hiyo hunting Bin Laden ingawa Nafahamu hili Jambo analifahamu ila hakuligusia maana intelligences Siku zote hutoa code name au no kwa wale watu wanaowasaka!

"Geronimo EKIA"
 
Last edited by a moderator:
Osama alikua na roho ya aina yake.
Alijua iko siku watamtia mkononi ndio maana hakujisumbua kujilimbikizia mimali.
Sasa angejilimbikizia angetumia wapi hizo Mali dada yangu wakati roho yake ilikuwa mdomoni mwa AK 47
 
Ni shida sana mkuu hawa jamaa ni wabishi sana, wanabisha bila hata ya evidence, wanakwambia ya kwamba eti Osama alikufa muda mrefu wengine hawaamini, sasa kama alikufa muda mrefu inakuwa vipi Pakistani wali mind baada ya kufanyika ile Operation Neptune Spear...

Pamoja na yule mke mwenyewe wa Osama kuthibibitisha ila bado watu wamezidi kuwa wabishi zaidi kule Abbottabad ile kitu ilithibitishwa, watu wanataka tuamini conspiracy theory za kwenye kahawa zaidi ya reality pamoja na fact
 



Mkuu we Acha tu! Hawa jamaa ni mapoyoyo sn!

Wake za Osama wamethibitisha mume wao kauwawa! Alafu eti wanabisha tu! Nimefatilia Hii mada kila post nimeona kuna shida sn kwa hawa watu na story zao za kwenye kahawa!


Waendelee kubisha mpk leo tuwape fact zingine km wanataka!
 

kuna watu wanadai wana video za tukio lakini hawataki kuzitoa sijui tuwaeleweje.
 
Ngojeni aje Faiza Foxy amtetee muislam mwenzake Osama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…