Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

Okay ukiachana na hilo, Kwa hiyo Serikali inasubiri hiyo video ndio ichukue hatua!? Halafu wewe kama wewe unahitaji hiyo video ili iweje!? ni kweli tukio lilitokea...

Hivi unataka kusema ya kwamba haukuona, ile mihamala iliyotolewa kipindi kile, yale mawasiliano ya e mail, na zile transfer za yule dada wa Ujerumani, mpaka Zitto akaanza kummind Yericko Nyerere...
Naona unaamua kuongea, hao kina Zitto si ndio waliunda uasi kwenye chama, wakaja na lile kundi la kina Ben Saanane, Juliana Shonza, kwani ni wapi Mbowe amefanya hayo ndani ya chama, mpaka uzungumzie na Mbowe kuweza kulinganisha na huo mfano wako...
4. Ushahidi wa mwigulu ambao siuongelei ni upi huo? sijaona video ya mwigulu popote pale, naomba link tafadhali niione kisha ndio nijadili.
Wewe unang'ang'ania kwamba Chadema watoe huo ushahidi wao kama wanao, lakini haung'ang'anii Mwigulu atoe ule ushahidi wake kwamba ana ushahidi mpaka mbinguni, ni jinsi gani Chadema wanavyohusika na ugaidi... Mbona Lwakatare ameachiliwa halafu Mwigulu amebaki na huo Ushahidi wake, au hiyo sio Conspiracy theory!?
Unasema mahakama haijadili Video, lakini ni hiyo hiyo video ndio iliyptumika kumkamata Lwakatare...
Na kwanini hujiulizi ni huyo huyo Ludovick aliyeonekana kwenye tukio tena la Absalomu Kibanda... kwanini usijiulize Ludovick alikuwa na mission fulani ovu...
 

1. serikali inaendelea na uchunguzi, ila ikipata video genuine itasaidia katika uchunguzi we hudhani hivyo? na serikali haina mpango wa kuunda tume ya kimahakama ndio kusema hiyo video haitatolewa milele?
2. Mimi sikuona chochote valid wala cha muhimu zaidi ya theories na assumptions za zitto na ujerumani na TISS etc, lakini kama unaweza tafadhali tupia links hapa tujikumbushe.
3. Nimeuliza je ukiwa chadema unageuka adui wa usalama wa taifa? Zitto kuongea na usalama wa taifa kuna kosa gani? ni hilo tu. Ingekuwa zitto ni al-shabab hapo sawa, kwani chadema huwa kuna mipango ya kigaidi gaidi ambayo zitto anaweza kuvujishia usalama wa taifa, mpaka akiongea na zoka iwe ishu?
4. Tufanye hivi: lets say lwakatare hakukamatwa wala kushitakiwa, je wewe video ile umeielewaje? mpaka leo ukiulizwa mantiki yake utasema ni nini?
 
1. serikali inaendelea na uchunguzi, ila ikipata video genuine itasaidia katika uchunguzi we hudhani hivyo? na serikali haina mpango wa kuunda tume ya kimahakama ndio kusema hiyo video haitatolewa milele
Wewe unaamini kabisa ya kwamba serikali inaendelea na uchunguzi!? Watu waliokuwepo kwenye ule mkutano walikiri kabisa Polisi walikuwa wanawashambulia baada ya kuanza kumfukuzia aliyeripuwa... Serikali inatuhumiwa halafu tena yenyewe ianze kujichunguza!? Kwani yule kamanda Kamuhanda baada ya mauaji ya Mwangosi alifanywa nini!? tena yalitokea mbele yake kabisa, Serikali ilifanya nini zaidi ya kumpandisha cheo kwa kazi nzuri kwa mtazamo wa Serikali aliyoifanya...
2. Mimi sikuona chochote valid wala cha muhimu zaidi ya theories na assumptions za zitto na ujerumani na TISS etc, lakini kama unaweza tafadhali tupia links hapa tujikumbushe.


4. Tufanye hivi: lets say lwakatare hakukamatwa wala kushitakiwa, je wewe video ile umeielewaje? mpaka leo ukiulizwa mantiki yake utasema ni nini?
Mantiki ya Ludovick kurekodi ile video ili kwamba iweze kutumika kushusha Thamani ya Chadema Watanzania waiangalie visivyo, ijulikani ni chama kinachopanga njama sio... Zile Tshs 50.000/= alizopewa Ludovick na Mwigulu ni za nini!?
 

1. Nimesoma hiyo link yako lakini nashindwa kupambanua je huo ni uchunguzi wa chama au vipi? maana ninavyojua zitto kafukuzwa chama kwa misingi ya 'waraka' na sio hii document ndefu ya 'ujasusi'. je hii document nani author?
2. sikukuuliza sababu ya ludovick kurekodi, nimekuuliza sababu ya lwakatare kupanga ile mipango ya kuteka watu, je ilikuwa ni nini? Au ile huwa ni mipango ya kawaida kabisa ndani ya chadema ndio maana ludovick anashambuliwa?
 
1. Nimesoma hiyo link yako lakini nashindwa kupambanua je huo ni uchunguzi wa chama au vipi? maana ninavyojua zitto kafukuzwa chama kwa misingi ya 'waraka' na sio hii document ndefu ya 'ujasusi'. je hii document nani author?
Kwani wewe uliomba kitu gani!? kwani tumezungumzia Zitto alifukuzwa kwa ajili ya nini!? kuna ile link ya lile gazeti la Saed Kubenea ila naona Jamiiforums wameweka tu nyota nyota kwa hiyo inakuwa ni vigumu kuingia ile link ya pili...
2. sikukuuliza sababu ya ludovick kurekodi, nimekuuliza sababu ya lwakatare kupanga ile mipango ya kuteka watu, je ilikuwa ni nini? Au ile huwa ni mipango ya kawaida kabisa ndani ya chadema ndio maana ludovick anashambuliwa?
Kwani Lwakatare alikuwa anapanga ile mipango pamoja na nani!? Au alikuwa anajipangia mwenyewe!?
 

1. Chadema wenyewe wanasema hivi: Chadema yasema Zitto aliponzwa na waraka tu - Siasa - mwananchi.co.tz . Zitto hakufukuzwa kutokana na hizo conspiracies za ujerumani, crdb, zoka etc, why? Je hizo taarifa za zitto na zoka na kimei zilitoka chadema? Au ni watu walijitungia?

2. Kwa hiyo unakubali kuwa lwakatare alikuwa anapanga mipango ya kihalifu isipokuwa hakuwa peke yake sio?...sasa kwa nini chadema inamtetea, chadema kinafanya siasa za kutekana? Mimi sina shida ikiwa wote waliopanga mipango hiyo pamoja na lwakatare wakamatwe, swali langu ni kwa nini unaonekana kutetea siasa za kihalifu kama hizi?
 


Km ushahidi mnao Juu ya Lwakatale Pamoja Na CDM kuendesha siasa za kihalifu si mkifute chama? Mnasubiri nini Zaidi? Mbona ktk gazeti letu pendwa ----------- hamkusubiri kitu mkalipiga kufuli mpk Kesho halipo mnashindwa nini kuifuta CDM? Usifanye watu wajinga kwamba hawaelewi michezo michafu ifanywayo na CCM dhidi ya vyama vingine! Na mnabahati Hii ESCROW imetokea gazeti la ----------- liko jela vinginevyo lingewataja wote! Chezea Kubenea wewe?
 
 

Mkuu utadhani naangalia 24 na mission za Jack Baure ........!
 
Hivi kweli unaweza ukatunga fact!? vitu vinaelezewa unatolewa ushahidi na nambari za account pamoja na mihamala, namba za simu zote zinawekwa, Kwanini ule waraka ulifanywa wa siri!? na lile kundi la PM7 lengo lake lilikuwa ni nini!? hebu assume kwa mfano Ben Saanane asingewageuka ingekuwaje!? Halafu kitu kingine inamaana Kubenea alikuwa anajitungia tu!?

Ili isiwe ya kutungwa habari inatakiwa iweje!? Halafu kitu kingine ni nani aliyeongea habari za kufukuzwa kwa Zitto!? uliomba ushahidi unaletewa unasema ni wa kutunga...

Wewe kwa kile cheo cha Lwakatare ndani ya chama ulitaka chama kimtose ama!? Kwani Chadema ilikwisha mteka nani!? Au unataka ulete habari zile za Tesha kumwagiwa Tindikali!? Mwenyekiti wa Chadema USA River, Msafiri Mbwambo alichinjwa kama kuku zile picha zinahudhunisha sana halafu wale watuhumiwa waliotenda tukio wanatoroka mbele ya mikono ya Polisi inaishia hivyo hivyo hakuna hatua...

Halafu wewe unaisifia hiyo Serikali na Chama chake kwamba ni safi unaona ya kwamba Chadema ndio wanafanya siasa za Conspiracy, acha double standard ndugu... Matukio ya CCM ni mengi zaidi kuliko hao unaowaita wana siasa za kihalifu, Hebu wewe orodhesha siasa za kihalifu za Chadema, na mimi niorodheshe za CCM, Kina Highness Kiwia na Machemli Wabunge wamepigwa mapanga na hao mnaowaita green guards... kwani hatua gani ilichukuliwa baada ya kuvamiwa hivyo!?

Labda nikuulize, unadhani ni kwanini Lwakatare alikutwa hana hatia!?
 

punguza jazba mimi sio huyo unayemuongelea. jadili bila kuweka ushabiki wa vyama.
 

1. Ninavyojua mimi tuhuma zile hazikutolewa na chama na ndio maana zitto hakufukuzwa toka wakati huo (2010 kama sikosei) kwa kukihujumu chama (among other things), zile zilikuwa tuhuma zilizozagaa mitandaoni toka kwa idara isiyojulikana kabisa katika katiba ya chadema. Unaweza kunitajia japo afisa mmoja tu aliyesaini hiyo ripoti kwa niaba ya chadema? Zitto alikuja kufukuzwa kutokana na "waraka". Swali langu lilikuwa rahisi tu, je hizo tuhuma (ujerumani, zoka, kimei etc), zilitoka wapi? Mbona chadema kama chama hakijawahi kutoa tuhuma kama hizo.

2. Namba za simu, akaunti za benki etc, hivi vitu WEWE umevithibitishaje? Nikikupa namba za simu na bank accounts hapa na stori ndefu kuwa ni vya bwana Mbowe akipokea fedha toka kwa lowassa wewe utathibitisha vipi? Katika tuhuma zile mimi sikuona ushahidi wowote toka TCRA labda, au benki zenyewe, ....watu wenyewe waliotoa hizo tuhuma hawana hata majina!!!Kitu gani kinakufanya uwaamini?





3. kwa swala la lwakatare tunarudi pale pale. Chadema inafanya siasa za kutekana au la? Maana naona unakwepa kujibu hili. Nimekuomba unipe mtazamo wako kuhusu ile video. Je lwakatare pale alikuwa anaigiza? au video ile kwa maoni yako ni 'photoshop' (yule sio lwakatare, yale sio maneno yake..), hebu nipe chochote kile. Vinginevyo watanzania wana wasiwasi na watu kama nyie ambao hamtoi maelezo mbadala kuhusu video na wala hamuizungumzii kabisa lakini mnamtetea lwakatare+chadema.
Sijui kama chadema inatakiwa imtose lwakatare, labda ile video na yaliyomo ni sera ya chama ambayo watu tusio chadema hatuijui. Lakini kwa mtu asiye chadema angetegemea yafuatayo:
1. Chadema waseme video ile ni ya kutunga/feki/photoshop...jambo ambalo si vigumu kuthibitisha ukweli wake, so far hakuna mtu yoyote mwenye chembe ya shaka kuwa video ile ni feki, hata mtuhumiwa mwenyewe lwakatare hajadai kuwa video ni feki, na so far anayelaumiwa ni ludovick kwa kuivujisha.

2. Chadema wangejiweka kando na maudhui ya video ile kwa kusema kuwa chadema wao kama chama hawafanyi siasa za kutekana n.k, na uchunguzi juu ya lwakatare ungeanza mara moja ili kubaini mengineyo.

Cha ajabu chadema wanamlaumu ludovick kwa kuvujisha video!! Kwa nini raia tusishangae?

4. Sijawahi kusema serikali na chama chake kuwa ni safi, hizo hoja za machemli na kiwia kupigwa mapanga na unaodai kuwa ni green guard pamoja na siasa zingine zozote chafu za CCM bado hazihalalishi video ya lwakatare kwa vyovyote vile. Ungeleta na wewe video za green guard wanapanga kupiga watu mapanga na kumchinja mbwambo hapo ingekuwa sawa, ungeona kama mimi ningetetea CCM kwa hayo. Lakini huwezi kukosa maelezo ya video ya lwakatare akipanga mipango ya kigaidi halafu ukachepusha kwa kudai green guard walipiga watu mapanga...je una-admit kuwa chadema inafanya siasa za kigaidi gaidi kama zile?
 
Kwa mfano hizo tuhuma zingetoka Chadema, ndio ungeamini ni zakweli!? Habari za Zito zilianza kuchapishwa na Kubenea, kwani ni nani aliyejitokeza kupinga kati ya waliotuhumiwa!? zaidi ya kuanza kulalamikia mitandao ya simu tu... Kwa hiyo ikisainiwa na Chadema zinageuka zinakuwa za kweli!?

Labda nikuulize swali hivi habari ikichapishwa na gazeti la kiuchunguzi, Wewe utasema vipi ni ya uongo!? Unasema hukuona ushahidi wowote TCRA, je hao TCRA walikanusha!? Kwa maelezo hayo kwa maana nyingine unasema alionewa wivu tu...

Kitu cha kwanza je hizo namba za simu ni za uongo!? kitu cha pili, Zile account ni za uongo!? kitu cha tatu hiyo mihamala haikufanyika!?

Kwa aina yako ya kuwaza, ninaweza nikakuuliza, nipatie uthibitisho kwamba pale Lwakatare alikuwa hajifurahishi... Kitu kingine unasema inawezekana ile ilikuwa ni sera ya chama, ndio maana nilikuuliza pale Lwakatare alikuwa na kina nani!? Sera ya chama inaeleweka, inakuwa vipi useme video ya mtu ni sera ya chama...

Halafu kitu kingine, kwa mtindo wako wa uthibitisho na jinsi ulivyoniuliza mimi, Pale kuna uthibitisho au saini kwamba imekuwa ni video ya chadema!? halafu kwani chadema walisema wao wanahusika na hiyo video!? Unasema uchunguzi ungeanza mara moja, kwani kilichofanyika ni kipi!? Halafu unaniuliza chadema wanafanya siasa za kutekana, kwani chadema ilikwa wahi mteka nani!?
Wewe umeanza kusema chadema wana siasa za conspiracy, ulianza kuwaponda, sasa mimi nikawa nakuonyesha hao unaotaka wapewe ushahidi ili wafanye uchunguzi walivyo, sasa unaniomba video ya green guards wakipanga ndio uamini, we ni wa ajabu sana, nilitegemea ungejiuliza inawezekana vipi watuhumiwa waliochinja watoroke mikononi mwa polisi tena kiulaini bila purukushani!? halafu hilo sio tukio moja yapo mengi...

Unarudi unaniomba nikupe video ndio uamini... Nimekuuliza swali lakini naona hujalijibu, ni kwanini mahakama imeona Lwakatare hana hatia!? wakati wewe umeona ni gaidi!?
 

1. Unauliza nani amepinga: Zitto kabwe alipinga, Andrea cordes aliyetajwa naye alipinga, na John mnyika mtu wa habari za chadema naye akapinga hiyo taarifa kuwa HAIKUTOKA CHADEMA, HAINA UHUSIANO NA CHADEMA. Napata tabu kwa wewe kuamini taarifa ambayo CHADEMA WENYEWE HAWAITAMBUI! Na ambayo tuhuma zake zingetosha kumfukuza zitto kabwe toka 2010!

nadhani mjadala wa zitto na mapesa ya usalama wa taifa/zoka, ujerumani na kimei nimeumaliza, zote zilikuwa uzushi tu. Ila kuwa huru kuendelea kuamini vinginevyo.

2. Mkuu unakwepa swali rahisi sana. Wewe kama wewe video ile unaichukuliaje? ni hilo tu. Weka mahakama kando, niweke mimi kando, weka kando mambo mengine yote, WEWE KAMA WEWE video ile unaichukuliaje? ni igizo? ni kweli lwakatare alikuwa anataka kumteka msacky, ni vipi?
 
We wa ajabu sana, wapi nimesema hiyo habari imetoka chadema... kwa mfano chadema wangekubali, basi ndio inageuka kuwa kweli na wewe unaamini!? kwa hiyo yaani ile kupinga tu, basi ni tosha habari sio ya kweli!? kwa hiyo hata yale makanusho ambayo serikali huwa wanakanusha kila siku basi wewe moja kwa moja unaamini!?

Ngojea nikupe mfano, kwenye ile issue ya Escrow, Kafulila aliongelea ile issue ya misaada pamoja na MCC, Waziri wa fedha Sada akapinga kwa nguvu akakanusha, lakini leo hii tunaona Kafulila ndio alikuwa right... huo ni mfano tu usifanye subject...

Mimi ile video naichukulia kwa upana zaidi... ndio maana inatakiwa kujulikana alikuwa na kina nani wakati wanafanya hiyo video... Au alikuwa mwenyewe!?
 
punguza jazba mimi sio huyo unayemuongelea. jadili bila kuweka ushabiki wa vyama.


Mi sina jazba nakushangaa wewe unazusha habari za ajabu!

Hoja ni kwamba km CDM inaendesha siasa za kihalifu na ushahidi mnao kifuteni hicho chama!
 

Kwa sababu hakuwa na makosa
 

cia ni noma
 
Dunia ikipata watu wengi wenye akili kama osama itakuwa hatari zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…