Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

osm bn l.jpg
hiyo picha ya juu Osama bin Laden enzi za uhai wake
os n l.jpg
hiyo nyumba ya ghorofa ndio alikuwa anaishi Osama kabla ya hajakamatwa...
 
Mungu ametupa akili kwa ajili ya kufikiri na kupima mambo hiyo ndiyo tofauti yetu na wanyama.
Osama bin Laden ambaye alikuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda aliuliwa kwa kupigwa risasi ya jicho la kushoto baada ya kukataa kujisalimisha kwa majeshi ya Marekani.

Rais wa Marekani, Barack Obama pamoja na maafisa wake wa ulinzi na CIA walilifuatilia shambulizi la kumuua Osama bin Laden LIVE kupitia video zilizokuwa zikirekodiwa kwa kutumia video kamera zilizowekwa kwenye helmet za makomandoo wa Marekani walioivamia nyumba ya Osama.
Hivyo mimi kuuliza wewe, mpenzi msomaji, kwa msingi gani unaamini kweli kilichotokea? Kutoka Telegraph Uingereza: barua pepe walikuwa iliyotolewa na Pentagon baada ya uhuru wa habari ombi na Associated Press, lakini walikuwa sana redacted. Wao wazi kwamba mazishi ilikuwa hivyo siri kwamba hakuna hata mmoja wa wafanyakazi juu ya USS Carl Vinson alishuhudia mazishi katika bahari. Wao alithibitisha kile utawala alisema katika muda kwamba mila za Kiislamu walikuwa aliona.
Picha za tukio hilo zilizotolewa na televisheni ya ABC zilionyesha damu zikiwa zimetapakaa kwenye chumba ambacho Osama bin Laden alikuwemo.

Osama aliuliwa kwa kupigwa risasi kwenye jicho lake la kushoto. Maiti yake ilichukuliwa na kupelekwa kwenye kambi ya jeshi la Marekani nchini Afghanistan.
Hakuna mashahidi, hakuna maiti, photos hakuna, hakuna rekodi redio, kuna chochote cha kuthibitisha hilo hasa kilichotokea. Hata barua iliyotajwa katika hadithi chini ya kubeba hakuna kuwaeleza ya jina la Osama Bin Laden,
Baada ya vipimo vya DNA kuthibitisha kwa asilimia 99 kuwa mtu waliyemuua alikuwa ni Osama bin Laden baada ya kulinganishwa na vipimo vya DNA vya ndugu zake, maiti yake ilizikwa baharini baada ya Saudi Arabia na nchi zingine kuukataa mwili wake.
Pentagon pia alisema hakuweza kupata yoyote cheti cha kifo, ripoti ya uchunguzi wa maiti au matokeo ya vipimo vya DNA kwa kitambulisho Bin Laden, au vifaa yoyote ya kabla ya uvamizi wa kujadili jinsi serikali ilipanga kuondoa mwili bin Laden kama yeye waliuawa.
Wamarekani wameendelea kushangilia kuuliwa kwa Osama bin Laden ambaye alikuwa ndiye mtu aliyekuwa akitafutwa sana kuliko watu wote duniani.

Kiongozi wa Hamas katika ukanda wa Gazza, Ismail Haniyeh akiongelea kuuliwa kwa bin Laden alisema kuwa kuuliwa kwa bin Laden ni muendelezo wa umwagaji damu za Waarabu na waislamu unaofanywa na Marekani.

"Tunalaani kuuliwa kwa shujaa mtukufu wa Waarabu, Osama bin Laden na tunamuomba Mwenyezimungu amrehemu na kumweka mahali pema pamoja na waja wake wema", alisema kiongozi huyo wa Hamas.
Utawala wa Bush alituonyesha ushahidi wa Saddam Hussein na wanawe. Utawala wa Obama ina alituonyesha chochote. Kwa wote tunajua, wao wangeweza kuangalia sehemu ya Winnie ya Pooh-katika "chumba vita". Hii ni kwa nini shughuli mihuri na utambulisho wa familia wamekuwa kuathirika. Sasa kwa kuwa NTEB ni kuwasababishia ukweli, nini ijayo.
 
Mungu ametupa akili kwa ajili ya kufikiri hiyo ndiyo tofauti yetu sisi na wanyama, mwenye ufahamu ajisomee hii.

[h=2] Osama Bin Laden Pronounced Dead…For the Ninth Time[/h]
When Obama pronounced Osama Bin Laden dead in a televised announcement heard round the world last night, he was at least the ninth major head of state or high-ranking government official to have done so.
Given Bin Laden's documented kidney problems and consequent need for dialysis, government officials, heads of state and counterterrorism experts have repeatedly opined that Osama Bin Laden has in fact been dead for some time. These assertions are based on Bin Laden's failing health in late 2001 and visible signs of his deteriorating condition, as well as actual reports of his death from the same time frame.
In July of 2001, Osama Bin Laden was flown to the American Hospital in Dubai for kidney treatment. According to French intelligence sources, he was there met by the local CIA attache. When the agent bragged about his encounter to friends later, he was promptly recalled to Washington.
On the eve of September 11, Osama Bin Laden was staying in a Pakistani military hospital under the watchful eye of Pakistan's ISI, the Pakistani equivalent of the CIA with deep ties to the American intelligence community.
In October 2001, Bin Laden appeared in a videotape wearing army fatigues and Islamic headdress, looking visibly pale and gaunt. In December of 2001, another videotape was released, this time showing a seriously ill Bin Laden who was seemingly unable to move his left arm.
Then on December 26, 2001, Fox News reported on a Pakistan Observer story that the Afghan Taliban had officially pronounced Osama Bin Laden dead earlier that month. According to the report, he was buried less than 24 hours later in an unmarked grave in accordance with Wahabbist Sunni practices.
What followed was a string of pronouncements from officials affirming what was already obvious: supposedly living in caves and bunkers in the mountainous pass between Afghanistan and Pakistan, Osama would have been deprived of the dialysis equipment that he required to live.
On January 18, 2002, Pakistani President Pervez Musharraf announced quite bluntly: "I think now, frankly, he is dead."
On July 17, 2002, the then-head of counterterrorism at the FBI, Dale Watson, told a conference of law enforcement officials that "I
obldec2001.jpg
Osama Bin Laden in December 2001

personally think he [Bin Laden] is probably not with us anymore," before carefully adding that "I have no evidence to support that."
In October 2002, Afghan President Hamid Karzai told CNN that "I would come to believe that [Bin Laden] probably is dead."
In November 2005, Senator Harry Reid revealed that he was told Osama may have died in the Pakistani earthquake of October that year.
In September 2006, French intelligence leaked a report suggesting Osama had died in Pakistan.
On November 2, 2007, former Pakistani Prime Minister Benazir Bhutto told Al-Jazeera's David Frost that Omar Sheikh had killed Osama Bin Laden.
In March 2009, former US foreign intelligence officer and professor of international relations at Boston University Angelo Codevilla stated: "All the evidence suggests Elvis Presley is more alive today than Osama Bin Laden."
In May 2009, Pakistani President Asif Ali Zardari confirmed that his "counterparts in the American intelligence agencies" hadn't heard anything from Bin Laden in seven years and confirmed "I don't think he's alive."
Now in 2011, President Obama has added himself to the mix of people in positions of authority who have pronounced Osama Bin Laden dead. Some might charge that none of the previous reports had any credibility, but as it is now emerging that Osama's body was buried at sea less than 12 hours after his death with no opportunity for any independent corroboration of his identity, the same question of credibility has to be leveled at this latest charge. To this point, the only evidence we have been provided that Osama Bin Laden was killed yesterday are some images on tv of a burning compound and the word of the man currently occupying the oval office.
But given that an informed consensus has formed around the opinion that Bin Laden died long ago due to kidney failure, will the people of America hold their President to the highest standard in presenting evidence that the person killed was actually Osama Bin Laden, and that he actually died in the way described, or will this pronouncement go unquestioned like so many other deaths in the never ending war of terror?
Stay tuned for more on this story as it develops…
 
Mingu ametupa akili kwa ajili ya kufikili na kupima mambo hiyo ndiyo tofauti yetu na wanyama.
Ni kweli usemayo japokuwa umekosea kutamka lakini nimekuelewa...
Hivyo mimi kuuliza wewe, mpenzi msomaji, kwa msingi gani unaamini kweli kilichotokea? Kutoka Telegraph Uingereza: barua pepe walikuwa iliyotolewa na Pentagon baada ya uhuru wa habari ombi na Associated Press, lakini walikuwa sana redacted. Wao wazi kwamba mazishi ilikuwa hivyo siri kwamba hakuna hata mmoja wa wafanyakazi juu ya USS Carl Vinson alishuhudia mazishi katika bahari. Wao alithibitisha kile utawala alisema katika muda kwamba mila za Kiislamu walikuwa aliona.
Duh! hichi kiswahili ulichotumia sidhani hata kama wewe mwenyewe umejielewa, lakini nadhani utakuwa ume translate kutoka kingereza kwenda kiswahili inaweza kuwa kwenye google... kwa hiyo kwa kifupi hapo hujaeleweka
Hakuna mashahidi, hakuna maiti, photos hakuna, hakuna rekodi redio, kuna chochote cha kuthibitisha hilo hasa kilichotokea. Hata barua iliyotajwa katika hadithi chini ya kubeba hakuna kuwaeleza ya jina la Osama Bin Laden,
acha uongo.. hebu chukua hichi kipande hapa chini
MAREKANI inaamini kuwa vita vya kukabiliana na ugaidi vimepata mafanikio baada ya kuuawa kwa kiongozi wa kundi la Al-Qaeda, Osama bin Laden aliyeuawa Mosi, 2011 nchini Pakistan.
Hivi karibuni askari aliyefyatua risasi na kumuua kiongozi huyo alifanya mahojiano na mwandishi mmoja wa habari kuelezea namna operesheni hiyo ilivyofanikiwa.
Katika mfululizo wa simulizi hiyo leo mwandishi George Njogopa anapitia sehemu ya mwisho ambayo inamulika upande wa maisha yake binafsi.
Kulikuwa na furaha na shangwe kila kona ya Marekani na duniani kote. Mhalifu wa kimataifa alikuwa ameondoshwa kwenye uso wa dunia.

Askari aliyefyatua risasi na kumaliza uhai wa Osama alikuwa tayari amerejea nyumbani.
Rais Barack Obama aliingia kwenye rekodi mpya kwa kuwa kiongozi aliyefanikisha kuangusha ngome muhimu ya mtandao wa Al-Qaeda.

Baadhi ya askari wa Marekani waliopiga kambi katika mji wa Jalalabad nchini Pakistan waliambatana na askari mlenga shabaha kurejea nyumbani.
Askari huyo anasema kuwa, “Tulivyomaliza operesheni yetu tukarejea nyumbani kuendelea na majukumu mengine. Nakumbuka nilivyoondoka Jalalabad nilirejea moja kwa moja kwenye kituo cha vikosi vya majini na kuendelea na shughuli nilizopangiwa.”
Askari huyu ambaye ndiye aliyekuwa mtu wa mwisho kumwona Osama wakati akiwa hai kabla hajammiminia risasi mbili za usoni amesema sasa anaishi maisha ya upweke tofauti na miaka ya nyuma.
Anasema kuwa wakati akiwa katika operesheni nchini Pakistan mkewe pamoja na watoto wake waliishi maisha ya mahangaiko na wakati mwingine walilazimika kuhama mji mmoja hadi mwingine wakihofia pengine wangevamiwa na makundi yenye uhusiano na vikundi vya kigaidi.
“Wakati nikiwa Jalalabad niliwaambia watoto wangu kutosema chochote kwa marafiki zao kuhusiana na kazi yangu hasa baada ya kujulikana kuwa mimi ndiye niliyemuua Osama.
Nakumbuka wakati fulani mke wangu aliwafuata maofisa wa CIA akitaka kubadilisha jina na apelekwe katika mji mwingine kwa hofu kuwa pengine angevamiwa na watu wasiojulikana.
Hata hivyo jaribio lake hilo halikufaulu na baadaye akaamua kuondoka na kwenda kuishi katika mji mwingine akiwa na watoto. Askari huyo anasema kuwa muda mwingi aliotumia jeshini ulimfanya apoteze upendo wa karibu na familia yake jambo lililosababisha kuvunjika kwa ndoa yake.
Wakati akizungumza katika mahojiano maalumu na mwandishi mmoja wa habari, mke wa askari huyo alieleza sababu za kuachana na mumewe ambaye alikuwa ameishi naye kwa zaidi miaka 10.
“Sikupenda kuendelea kuishi maisha ya hofu… halafu isitoshe muda mwingi nilikuwa mpweke na mwenzangu mara zote alikuwa kwenye safari za mbali.

“Hata hivyo, siwezi kusema simpendi hapana, bado tunawasiliana na jambo kubwa ni hawa watoto wetu tungependa kuona wanaendelea kupata uangalizi wa karibu kutoka pande zote mbili. Nimefurahi kuona sasa niko peke yangu lakini bado tunawasiliana kwa karibu na mwenzangu,” alisema mama huyo.
Mama huyo ambaye hata hivyo hakutaka jina lake kuchapishwa hadharani, hivi sasa anaishi Milwaukee ambako anajishughulisha na kazi za hapa na pale kwa ajili ya kuendesha maisha yake.
Akizungumzia maisha yake baada ya kurejea toka kwenye operesheni nchini Pakistan, askari huyo anasema kuwa, aliendelea kuishi maisha ya furaha na amani huku akipata pongezi toka kwa ndugu na marafiki zake kutokana na kitendo cha kishujaa cha kuondosha maisha ya Osama.
Lakini hata hivyo bado anakumbuka jinsi operesheni ya kusambaratisha ngome ya Osama ilivyoendeshwa.

“Unajua mie ndiye niliyekuwa wa mtu wa mwisho kumwona Osama wakati akiwa bado hai. Baada ya hapo askari wote waliokuja baada yangu walikuta mwili umelala sakafuni ndiyo maana walipiga risasi za ovyo ovyo tu.
“Nakwambia ile operesheni ilifanikiwa kwa mazingira ya ajabu sana, kwani wakati tunakwenda kuvamia nyumba yake tulikuwa bado tuna mashaka mengi kama kweli hesabu zetu zilikuwa sahihi au la.
“Wakati fulani nakumbuka tukiwa bado angani lakini tumekaribia eneo la tukio tuliulizana je, tulipue kwa bomu ama twende kwa kutumia uvamizi wa ardhini.Tulishauriana kwa muda kidogo lakini baadaye tukafikia uamuzi wa pamoja kwenda kwa kutumia mashambulizi ya ardhini kwani tulikuwa tayari tumejifua vya kutosha.
“Nakumbuka pia wakati tunatoka Washington kuelekea Pakistan tulikuwa tumegawanywa kwa makundi. Kuna wale waliokuwa kitengo cha CIA, makomandoo, walenga shabaha na wengine katika idara za kawaida. Pia nakumbuka tulikuwa tumeambatana na mbwa wawili ambao walitusaidia kwa kiwango kikubwa wakati tulipoendesha upekuzi katika nyumba ya Osama baada ya kufanikiwa kumzingira na kumuua.
Akirejelea kwenye maisha yake baada ya kurejea nyumbani askari huyo anasema kuwa aliendelea kulitumikia jeshi hilo kwa miaka mingine 12 na baadaye ilipofika mwaka 2011 alistaafu na kurejea kwenye maisha ya uraiani.
“ Nimelitumikia jeshi kwa miaka mingi lakini ilipofika mwaka 2012 nikaamua kustaafu na kurejea kwenye maisha ya uraiani. Maisha ya jeshi kwa kweli yalikuwa na mikikimikiki mingi sana, lakini hata hivyo namshukuru Mungu niliingia salama na nimetoka salama pia.”
Anasema kuwa jambo linaloendelea kusalia kichwani mwake ni kuwa mazingira yaliyomsukuma kuingia jeshini ndiyo hayohayo yaliyomponza wakati akiwa jeshini.
Pamoja na ufahari mkubwa alionao wa kuondosha uhai wa aliyekuwa adui mkubwa wa Marekani, Osama bin Laden lakini anasema kuwa alijikuta akitengana na mkeo kutokana kile alichokieleza kuwa uhusiano wa mbali uliosababishwa na asili ya kazi yake.
Kwa upande mwingine anasema kuwa, “Jambo jingine linaloendelea kunivunja moyo ni kupuuzwa na Serikali. Unajua wakati mwingine hizi kazi hazina shukrani kabisa. Hebu fikiria mie ndiye niliyekuwa mstari wa mbele na kufanikisha kumuua yule gaidi nambari moja, lakini sijawahi kupewa nishani yoyote ama barua ya shukrani… nadhani hilo ndilo ninaloniumiza sana moyo.”
Anasema kuwa pamoja na kwamba sheria na taratibu za uajiri zinazuia kutoa hadharani baadhi ya taarifa zinazohusu utendaji wa jeshi lakini hata hivyo amedhamiria kutunga kitabu kitachoelezea jumla ya mambo ili dunia ipate kujua .
“Nafahamu kuna baadhi ya taarifa ni classified (maalumu) hazipaswi kutolewa hadharani mpaka itakapoamuliwa ifanywe hivyo, lakini mimi na rafiki yangu tupo kwenye mpango wa kuandika kitabu ambacho nadhani kitatoa picha nzima itakayoelezea uzoefu wangu jeshini na kwa kiasi operesheni ya kusambaratisha ngome ya Osama,” alieleza.

Chanzo: Mwananchi, gazeti.
Pentagon pia alisema hakuweza kupata yoyote cheti cha kifo, ripoti ya uchunguzi wa maiti au matokeo ya vipimo vya DNA kwa kitambulisho Bin Laden, au vifaa yoyote ya kabla ya uvamizi wa kujadili jinsi serikali ilipanga kuondoa mwili bin Laden kama yeye waliuawa.
Hebu soma hicho kiswahili umeelewa nini sasa hapo kwa kweli mimi hapo sijakuelewa nadhani pia na wewe hapo hujajielewa, unaweza nifafanulia zaidi... au ukaandika kwa uzuri zaidi na mimi bila ya hiyana nitakujibu tu...
Utawala wa Bush alituonyesha ushahidi wa Saddam Hussein na wanawe. Utawala wa Obama ina alituonyesha chochote. Kwa wote tunajua, wao wangeweza kuangalia sehemu ya Winnie ya Pooh-katika "chumba vita". Hii ni kwa nini shughuli mihuri na utambulisho wa familia wamekuwa kuathirika. Sasa kwa kuwa NTEB ni kuwasababishia ukweli, nini ijayo.
Japokuwa kiswahili ni kibovu lakini nimekuelewa hebu angalia hapa chini ni kwanini hawaku expose mwili sababu ni hizi hapa chini zimetolewa
Rais Obama amesema picha za mwili wa Osama huenda zikachochea chuki
Rais Barack Obama ameamua kuwa picha za Osama Bin Laden, aliyeuwawa siku ya jumatatu, zisichapishwe.
Maafisa wa Marekani wamekuwa wakijadili iwapo wachapishe picha za mwili wa Bin Laden kukabili habari za uongo kuwa hakuuawa.
Lakini Bw Obama anaamini kuwa picha hizo huenda zikazua hisia kali akisema, '' sisi hatutaki kuonyesha picha hizi kama kikombe cha kujivunia cha kumwonyesha kila mtu."
Kiongozi huyo wa al- Qaeda alipigwa risasi katika uvamizi jumatatu iliyopita na vikozi maalum vya Marekani, Kaskazini mwa Pakistan.
Mwandishi wa BBC mjini Washington amesema kuwa rais Obama ameamua wazi kuwa kutoa picha hizo hazina thamani yeyote kwani huenda ikatishia maisha ya raia.
Bw Obama amefichua uamuzi huo wakati wa mahojiano na kituo cha televisheni cha CBS.
Uamuzi huo ulifikiwa wakati maafisa wa Marekani walianza kuchunguza habari kwenye kompyuta, simu za rununu na vifaa vingine vya kuhifadhi habari ambavyo vilipatikana wakati wa uvamizi huo katika eneo la Abbottabad, ambapo Bin Laden alikuwa amejificha.
Mwanasheria mkuu wa Marekani Eric Holder amesema serikali hiyo inatarajia kuongeza majina mengine kwenye orodha ya magaidi wanaotakikana na Marekani, kufuatia habari walizopata katika nyumba ya Bin Laden.
Laini mbili za simu na euro 500 ($745; £450) zilipatikana zime shonelewa kwenye nguo ya Bin Laden, kana kwamba angehitajika kutoroka kwa haraka.
Wakosoaji wameelezea wasiwasi wao kuhusu uhalali wa oparesheni hiyo, baada ya Marekani kubadilisha maelezo kuhusiana na kuuwawa wa Bin Laden akiwa ajajihami kwa silaha.
 
Mungu ametupa akili kwa ajili ya kufikiri hiyo ndiyo tofauti yetu sisi na wanyama, mwenye ufahamu ajisomee hii.

Osama Bin Laden Pronounced Dead…For the Ninth Time
Inaonekana unaamini labda Osama bado yupo au alifariki muda mrefu labda kwa maradhi ya figo sio kwa ile operation nadhani utakuwa unafikiri hivyo kati ya hayo mawili...
kwakua eti ameshatangazwa kwa mara tisa amekufa...
sasa ngoja nikuulize swali kwani Rais wa Marekani amekwisha tangaza mara ngapi Osama amekufa awe Bush au Obama?
Tafakari hilo maana kama unavyosema Mungu ametupa akili kwa ajili ya kufikiri, hebu itumie kweli kwa ajili ya kufikiri...
haya mwenye ufahamu ajisomee hii...
Peshawar, Pakistan - 23/05/2012. Muuguzi ambaye alitoa uchunguzi wa kisayansi -DNA za aliyekuwa kiongozi mkuu wa kundi la Al Qaeda amehukumiwa kwend jela miaka 33.​
Shakeel Afridi amakutwa na hatia ya kuhusika katika kufanya uhaini kwa kutoa habari za kisayansi ambazo nikinyume na sheria ya Pakistan​
Mwezi January waziri wa ulinzi wa Marakani Leon Panetta alisibitisha kwa kusema " Afridi amekuwa mfanyakazi wa idara ya upelelezi ya Marekani CIA kwa kutoa habari za kisayansi DNA ili kumjua na kumtambua aliyekuwa kiongozi wa kundi la Al Qaeda Osama bin Laden."​
Shakeer Afridi alikuwa muuguzi wa kuheshimiwa na likamatwa wiki mbili baada ya kifo cha Osama bin Laden kufanywa na jeshi maalumu la Marekani.​
kwa bandiko hilo juu watu wako huko Pakistan wanaongelea hilo...
wewe ambaye upo hapo Kariakoo unapinga je tumwamini nani wewe wa kusikia kwenye vijiwe vya kahawa au tu search zaidi na kujenga hoja?
 
Ni kweli usemayo japokuwa umekosea kutamka lakini nimekuelewa...

Duh! hichi kiswahili ulichotumia sidhani hata kama wewe mwenyewe umejielewa, lakini nadhani utakuwa ume translate kutoka kingereza kwenda kiswahili inaweza kuwa kwenye google... kwa hiyo kwa kifupi hapo hujaeleweka
acha uongo.. hebu chukua hichi kipande hapa chini

Hebu soma hicho kiswahili umeelewa nini sasa hapo kwa kweli mimi hapo sijakuelewa nadhani pia na wewe hapo hujajielewa, unaweza nifafanulia zaidi... au ukaandika kwa uzuri zaidi na mimi bila ya hiyana nitakujibu tu...

Japokuwa kiswahili ni kibovu lakini nimekuelewa hebu angalia hapa chini ni kwanini hawaku expose mwili sababu ni hizi hapa chini zimetolewa

Teh teh teh, kwa hiyo mimi kuleta habari za kina Hamid Karzai, Pervez Musharraf, Fox News kuwa walitangaza Osama kaishakufa naonekana muongo wewe ndiyo mkweli na hizo copy and paste za kina Chuck Norris na Fred Wiliamson.

Hebu msome vizuri Mkuu kahtaan, ushauri wake.

Wewe unameza mazima hautaki hata kuishughulisha akili yako kuhoji hizo story za kina Rambo na John Travota.

Endelea kuamini unachoamini lakini unapopewa habari ambazo azikuvutii usiseme uongo au mwenzetu unafanya kazi CIA.
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana unaamini labda Osama bado yupo au alifariki muda mrefu labda kwa maradhi ya figo sio kwa ile operation nadhani utakuwa unafikiri hivyo kati ya hayo mawili...
kwakua eti ameshatangazwa kwa mara tisa amekufa...
sasa ngoja nikuulize swali kwani Rais wa Marekani amekwisha tangaza mara ngapi Osama amekufa awe Bush au Obama?
Tafakari hilo maana kama unavyosema Mungu ametupa akili kwa ajili ya kufikiri, hebu itumie kweli kwa ajili ya kufikiri...
haya mwenye ufahamu ajisomee hii...

kwa bandiko hilo juu watu wako huko Pakistan wanaongelea hilo...
wewe ambaye upo hapo Kariakoo unapinga je tumwamini nani wewe wa kusikia kwenye vijiwe vya kahawa au tu search zaidi na kujenga hoja?
Siyo mimi ninaye hoji ni Wamerekani wenyewe wanaihoji serikali yao kupitia "The Corbett report" pamoja na vyombo vyao vya habari.

Cha kuchekesha wewe ambaye upo Rombo hautaki kusikia hizo habari wewe umeganda na Pakistan kuwa Osama alikuwa anavaa kofia za cow boy kujificha, halafu nyumbani kwake alikuwa anashamba la mchicha teh teh teh.

FaizaFoxy.
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh, kwa hiyo mimi kuleta habari za kina Hamid Karzai, Pervez Musharraf, Fox News kuwa walitangaza Osama kaishakufa naonekana muongo wewe ndiyo mkweli.

Hebu msome vizuri Mkuu kahtaan, ushauri wake.

Wewe unameza mazima hautaki hata kuishughulisha akili yako kuhoji hizo story za kina Rambo na John Travota.

Endelea kuamini unachoamini lakini unapopewa habari ambazo azikuvutii usiseme uongo au mwenzetu unafanya kazi CIA.
kwani hizo zote walizotangaza ipi ilithibitishwa na Rais wa USA? Opinion yako ni ipi? iwe story za kina Rambo au John Travota... Issue ni kwamba hayo mambo yametendeka...
 
Siyo mimi ninaye hoji ni Wamerekani wenyewe wanaihoji serikali yao kupitia "The Corbett report" pamoja na vyombo vyao vya habari.

Cha kuchekesha wewe ambaye upo Rombo hautaki kusikia hizo habari wewe umeganda na Pakistan kuwa Osama alikuwa anavaa kofia za cow boy kujificha, halafu nyumbani kwake alikuwa anashamba la mchicha teh teh teh.

FaizaFoxy.
sasa hizo story zingine unaongeza chumvi mimi nimeongelea mambo ya mchicha na wapi nimesema alikuwa anavaa cowboy akiwa nyumbani?
chukua hiyo hapo chini uendelee kuburudisha ubongo wako... sio kuburudisha na stori za kahawa tu pata na hizi
[h=3]Tangu kuuawa kwa kiongozi wa Kundi la Al-Qaeda Osama bin Laden kumekuwa na fununu nyingi zinazoeleeza mazingira ya kifo chake pamoja na ujumla wa maisha yake wakati akiwa mafichoni. Katika mfulilizo wa makala haya, Mwandishi George Njogopa amepitia simulizi za askari aliyemuua kiongozi huyo kama alivyozungumza na mwandishi mmoja wa habari nchini Marekani.[/h] [h=3][/h] [h=3]Akiwa mtu mwenye tabasamu na ucheshi wa mbali, askari (jina linahifadhiwa) anatoa maelekezo kwa mwandishi wa habari aliyetaka kujua historia ya maisha yake jeshini. Ndani ya mgahawa uliofurika watu waliochangamka kwa vinywaji, askari mwanamaji anaanza kueleza namna alivyojiunga na Jeshi la Wanamaji la Marekani hadi kufikia nafasi ya kuwa mlenga shahaba mkuu.[/h] [h=3][/h] [h=3]Anasema anakumbuka kile kilichomsukuma kuchukua uamuzi wa kujiunga na jeshi ni kama sehemu ya hasira iliyomkumba baada ya kuachwa na mpenzi wake al iyedumu naye kwa kipindi kirefu.[/h] [h=3][/h] [h=3]"Unajua tukio la kuachwa na mpenzi wangu lilinivunja moyo sana… na ndiyo nikachukua uamuzi kwenda jeshini.[/h] [h=3][/h] [h=3]Anasema kuwa siku yake ya kwanza alipokwenda kuomba kazi anakumbuka alimwambia ofisa mmoja wa jeshi kuwa alikuja hapo kuomba kazi ya kulenga shahaba (sniper).[/h] [h=3][/h] [h=3]"Pale nilimkuta askari mfukuzi, mkufunzi akaniuliza unataka nini… nikamwambia nataka kuwa mlenga shahaha, lakini yeye akaniambia kuwa tayari walikuwa na walenga shabaha.[/h] [h=3][/h] [h=3]Hata hivyo alifaulu kuandikishwa na baadaye kupelekwa kwenye mafunzo yaliyimwongezea ujuzi wa kazi na hatimaye kuungana na vikosi vya wanajeshi wa maji vilivyosafiri sehemu mbalimbali duniani. Kama ilivyo kwa askari wengi wanamaji, askari huyu alishiriki kwenye operesheni mbalimbali za kijeshi ikiwemo zile zilizohusu katika nchi za Afghanistan na Iraq.[/h] [h=3][/h] [h=3]Anasema operesheni yake kubwa ya kijeshi ilikuwa nchini Afghanistan ambako vikosi vya Marekani vilivamia katika eneo hilo katika kile kilichoelezwa na kukabiliana na utawala wa Taliban ambao ulitajwa kuwa na ushirikiano wa karibu na Kundi la Kigaidi la Al-Qaeda.[/h] [h=3][/h] [h=3]"Uzoefu mkubwa wa kijeshi niliupata wakati nikiwa Afghanistan ambako nakumbuka nilishiriki kikamilifu kukabiliana na wanamgambo wa Taliban. Tulipofaulu kuwafurusha wanamgambo hao tuliendelea kubakia nchini huko kuimarisha hali ya usalama na kusaidiana na wananchi wa eneo lile kurejesha hali ya usalama.[/h] [h=3][/h] [h=3]"Kichwa changu kilikuwa tayari kimeshazoea mizinga na makombora, maana wakati mwingine umekaa sehemu ghafla unasikia kombora linavurumishwa mbele yako… Ghala nyuma unasikia mlio wa bunduki.. Kusema kweli nilijifunza mengi wakati nikiwa Afganistan.[/h] [h=3][/h] [h=3]Wakati huo Marekani ilianzisha operesheni za kukabiliana na Kundi la Al-Qaeda ambalo lililodaiwa kutekeleza tukio la kigaida katika majengo yake mjini New York na Washington.[/h] [h=3][/h] [h=3]Shabaha ya Marekani ilikuwa kukabiliana na kiongozi wa kundi hilo, Osama bin Laden ambaye wakati huo ilisemekana amejichimbia mafichoni katika Milima ya Afghanistan.[/h] [h=3][/h] [h=3]Marekani haikuishia kuingia kijeshi nchini Afghanistan pia iliivamia Iraq na hatimaye kuuangusha utawala wa Saadam Husen aliyekuwa akiongoza Chama cha Baath ambacho kilikuwa na uhusiano pia na baadhi ya makundi ya kigaidi.[/h]
[h=3]Anakumbuka kuwa jinsi alivyorejea nyumbani Marekani na kisha kuungana na wanamaji wenzio ambao waliunda kikundi cha wataalamu wachache walikuwa na shabaha ya kuleta mageuzi ya utendaji ndani ya vikosi vya wanamaji hasa kwa kutumia uzoefu waliopata wakati wakiwa kwenye operesheni za kijeshi katika nchi za kigeni.[/h]
[h=3]"Unajua ukishajiingiza kwenye mambo haya ya kulenga shabaha hujali tena lolote, wewe unachoona ni kwamba umeletwa duniani kwa kazi maalumu na hiyo kazi lazima uitekeleze kwa wakati uliopangwa," anasema askari huyo akimwelezea mwandishi mmoja wa habari namna alivyoshiriki kwenye kikosi maalumu kilichoshiriki kwenye operesheni ya iliyofanikisha kuuawa kwa kiongozi wa Kundi la Al-Qaeda, Osama bin Laden.[/h]
[h=3]Kwa masharti ya kutotajwa jina wala kuonyeshwa picha yake, askari huyo anasema kuwa, "Tulipomaliza kazi nchini Afghanistan tulirudi nyumbani na kuendelea na mazoezi yetu ya kuogelea katika Ufukwe wa Miami. Tukiwa kule ghafla tukapata taarifa baadhi yetu tulihitajika kwenda Virginia kwa ajili ya kazi maalumu.[/h]
[h=3]"Kusema kweli hatukujua nini tunachokwenda kukifanya maana tulielezwa kuwa kuna kazi ya dharura. Wengi wetu tukabaki tunahisi labda tunataka kupelekwa Libya, wengine wakasema labda tutaenda Japan kukabiliana na athari za kimazingira baada ya tetemeko kubwa la ardhi kulikumba taifa hilo.[/h]
[h=3]Katika siku ya kwanza tulivyopata taarifa, kusema kweli walitudanganya. Tulizungushwa maeneo mbalimbali na kila mara maofisa wetu walikuwa wakitupa maelezo ya kutia matumaini wakisema kuwa tusiwe na wasiwasi tutaarifiwa punde kwani kulikuwa hakuna jambo lolote la kutisha."[/h]
[h=3]Anasema kuwa baada ya kukaa kwa siku kadhaa walipelekwa moja kwa moja hadi yaliko makao makuu ya upelelezi CIA, ambako walipokewa na maofisa wa ngazi juu aliyewagawanya kwenye vitengo bila kuwapa maelekezo yoyote.[/h]
[h=3]"Wakati tunakwenda tuliambiwa tungekutana na Waziri wa Ulinzi, maofisa wa ngazi za juu wa jeshi pamoja na wataalamu wengine wa kijeshi. Tulipata hisia jambo tulioloitiwa huko huenda likawa kubwa. Tulipofika pale tulikusanywa kwenye chumba kimoja na baada ya muda alitokeza mwanamke mmoja ambaye kwa sura alionekana kuwa mtu jasiri na mwenye kuelewa kile anachokizungumza.[/h]
[h=3]"Tuliona tumeletewa televisheni..vifaa vya kivita na pembeni kulikuwa na ramani kubwa ambayo hata hivyo ilifunikiwa na kitambaa . Hatukujua kile kilichokuwa kinaendelea. Yule mwanamke aliposimama ndipo pumzi ikatushuka," Anaelezea kuwa walipatiwa maelekezo kuhusiana na sehemu ambayo inasadikika Kiongozi wa Al-Qaeda, Osama bin Laden ndiyo ilikuwa makazi yake.[/h]
[h=3]"Yule askari wa kike akiwa katika hali ya kujiamini, alituonyesha ramani na kutufafanulia shabaha ya kuitwa kwenye chumba kile. Nilishtuka lakini kadiri nilivyomtazama yule askari niliamini kile alichokuwa akikisema. Tulionyeshwa nyumba moja ambayo iko pekee yake katika eneo la Abbottabad.[/h]
[h=3]Baada ya hapo tukaingia kwenye mazoezi makali tukijifunza namna ya kuingia kwenye nyumba ile na namna tukavyoweza kumudu purukushani zozote zinazoweza kujitokeza.[/h]
[h=3]Mafunzo yetu yalidumu kwa muda wa wiki kadhaa na kisha tulipangiwa siku ya kuondoka kuelekea Pakistan.[/h] [h=3]Anasema kuwa msafara wa kuelekea Pakistan alianzia nchini Ujerumani walikoweka kituo na kisha kuruka moja kwa moja hadi nchini Pakistan kupitia eneo la Jalalabad.[/h] [h=3][/h] [h=3]"Unajua wakati tunakatiza anga ya Pakistan niliingiwa na hofu sana pengine vikosi vya pale vingeilenga ndege zetu na kuzitungua maana kulikuwa hakuna taarifa zozote kwa Serikali ya Pakistan kuwa Majeshi ya Marekani yalikuwa yakiingia nchini humo.[/h] [h=3][/h] [h=3]Tulipita eneo lile na hatimaye kufika Abbottabad. Tulikuwa tumejipanga vya kutosha. Msafara wetu ulikuwa na helikopta, ndege za kivita pamoja na vifaru kukabili hali yoyote korofi ambayo ingejitokeza.[/h] [h=3][/h] [h=3]Nilishangaa kuona kile nilichoonyeshwa kwenye picha za satelaiti wakati nikiwa kwenye mazoezi Marekani ndicho nilichokishudia pale.[/h] [h=3][/h] [h=3]Tulishuka kwenye helikopta haraka na kisha kuizingira nyumba mara moja. Kuna wengine walitanda juu ya paa, wengine madirishani na wengi walikuwa angani kwenye helikopta.[/h] [h=3][/h] [h=3]Tulipofika mlangoni tulikuta tundu la risasi, tukashtuka kidogo, nikamwambia mwezangu acha woga hebu twende, nikasukuma mlango hadi ndani.[/h] [h=3][/h] [h=3]Wakati kabla hatujaingia ndani tulisikia sauti ikiita bla, blab la,,, kumbe ilikuwa sauti ya mmoja wa walinzi wa Osama ambaye alikuwa amevalia fulana nyeupe na pajama nyeupe pia.[/h] [h=3][/h] [h=3]Tulimdhibiti na kupanda hadi ghorofa ya pili ambako tuliwakuta kina mama wakiwa wanahangaika na kupiga kelele.[/h] [h=3][/h] [h=3]Hatukutaka kuwadhuru tuliwaweka chini ya ulinzi, nami nikaendelea kupanda juu hadi ghorofa ya tatu.[/h] [h=3][/h] [h=3]"Nilipofika chumba cha juu nilimwona mtu mmoja mrefu kupita wote, ndevu zake alikuwa ameonyoa kiasi. Alikuwa ameweka mikono yake begani kwa mwanamke mmoja ambaye baadaye nilikuja kugundua alikuwa mkewe Jamal.[/h] [h=3][/h] [h=3]Nadhani alikuwa anafanya vile kama njia mojawapo wa kujikinga. Alikuwa amevalia kofia na kuendelea kuzunguka huku na kule na yule mwanamke.[/h] [h=3][/h] [h=3]Nakumbuka alikuwa mwembamba. Pembeni yake kulikuwa na silaha aina ya AK 47, ambayo baadaye aliishika mkononi.[/h] [h=3]Binafsi sikutaka kupoteza muda, nilinyanyua bunduki yangu na kumiminia risasi mbili usoni na kisha nikamshudia namna alivyoanguka chini na kukata roho. Sikujali kama amekufa ala nilimmiminia risasi nyingine moja.[/h]
 
sasa hizo story zingine unaongeza chumvi mimi nimeongelea mambo ya mchicha na wapi nimesema alikuwa anavaa cowboy akiwa nyumbani?
chukua hiyo hapo chini uendelee kuburudisha ubongo wako... sio kuburudisha na stori za kahawa tu pata na hizi

Unadhani kuna mtu anapingana na haya masimulizi ya kina Willy Gamba na Elvis Musiba, tatizo upeo wa kupambanua mambo.
 
Unadhani kuna mtu anapingana na haya masimulizi ya kina Willy Gamba na Elvis Musiba, tatizo upeo wa kupambanua mambo.
Unafikiri kidogo na utabakia hivyo hivyo...
Tatizo wewe unaona kama riwaya...
No matter masimulizi ya kina Willy Gamba na Elvis Musiba, the issue ni kwamba mission has been accomplished successfully...

Basi na wewe na kupa wasaa wakuleta story za vijiwe vya kahawa tuzichambue hizo hizo sasa unadhani utafanyaje ndio ulizonazo hizo...

Lakini kama haupingani nazo ni vyema pia...
 
kuna novel nyingi kumhusu osama ziliandikwa haraka sana baada ya osama kuuliwa ili kuchuma pesa,huyo jamaa huyo jamaa ufafanuzi wake unaweza kuwa ameutoa kwenye finction novel.licha ya kutoweka link pia hataki kutuambia huyo mwana wa mfalume ni nani aliekua akimfinance bin laden,na alikufa lini ili tufanye search,na uzuri watoto wa marehemu king saud bin abdila aziz wanajulikana na mmojawapo ndo king abdullah wa saud.

Unawafahamu hawa ma-prince wa Saudi Arabia
1. PrinceAhmed bin Salman bin Abdul Aziz
2. PrinceSultan bin Faisal bin Turki bin Abdallah al Saud
3. PrinceFahd bin Turki bin Saud al-kabir
Hawa wote ni watoto wa Mfalme wa Saudi Arabia ambaowalikufa ndani ya wiki moja miezi mine tokea kukamatwa kwa Abu Zubaydar. Wakwanza alikufa kwa heart Attack tar 22/7/2002. Wa pili alikufa kwa ajali yagari siku moja baada ya kufa wa kwanza tar 23/7/2002 akiwa anaenda kwenye msibawa prince Ahmed. Mwili wake ulikutwa kwenye ajali mkono ukiwa umenyoosha kidole kimeelekeamacca. Wa tatu alikufa jangwani akiwa amepotea na alikutwa amekufa kwa kiukaribu na gari alilokuwa nalo huku simu yake ikiwa inafanyakazi na ina networktar 30/7/2002. Zipo report nyingi kwenye mtandao lakini kuna moja ya pdfanayetaka aicheki imeandikwa{ (9/11: 3000 Americans for Three Saudi Princes)New details about the troubling omission of Saudi Arabia’s wealthy from 9/11commission Report}
 
Attachments

Anyway, kwa aina ya uandishi wako unaonyesha kuwaunataka ubishi na sio kujua haya mimi nimeyapata wapi. Kuna mtu huko juu kaposthabari za KSM, Al Kuwait na wengine kazitoa kwenye article za New York Times naNBC, lakini hizo ni baadhi tu ya sources ambazo unaweza kuchukua ilahazijaonyesha details ya mambo yalivyokuwa yanaenda kama nilivyoandika mimihapo juu. Source kubwa ya habari nilizoandika mimi hapo juu ni interview zilizofanywana maafiza wa CIA wenyewe pamoja na maagenti wa CIA waliokuwa field na kwenyeInterrogation. Kuna kamati ya ulinzi na usalama ya congress huwa inakuwabriefed na watu wa CIA na FBI mwenendo mzima wa hali ya usalama marekani,tafuta hizo report, kuna kamati iliyoundwa kuchunguza uteswaji wa wafungwakwenye gereza la Abu ghraid Iraq tafuta report zake. Mimi ninazo hizo reportzote na interview zake kwenye video clips nazitumia kwenye masomo yangu,(usiniulize nasomea nini)

ok mkuu nimekuelewa ila samahani kama nimekukwaza ila hilo nililobold halikuwa lengo langu!! nimeshindwa kuendelea kusoma maana umeanza na mashambulizi wakati sikuwa na intention ya kuanzisha ubishi ila njilikuwa interested na report kama unadhani kuzificha hizo report na kuja na mutsari ndicho sahihi its ok! ila dont take it personal kila lakheri mkuu!!!
 
Hivi kule Mbagala Osama alikuwa anaishi maeneo gani kabla hajarudi Afghanistan?
 
Hivi kule Mbagala Osama alikuwa anaishi maeneo gani kabla hajarudi Afghanistan?
Osama hakuwahi kuishi Mbagala na haijawahi kuripotiwa kwamba aliwahi ishi Mbagala

Vinginevyo kama unayo report ya Osama kuishi Mbagala basi iweke pamoja na vithibitisho kabla hajarudi Afghanistan
 
sasa hizo story zingine unaongeza chumvi mimi nimeongelea mambo ya mchicha na wapi nimesema alikuwa anavaa cowboy akiwa nyumbani?
chukua hiyo hapo chini uendelee kuburudisha ubongo wako... sio kuburudisha na stori za kahawa tu pata na hizi

Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!
 
Unawafahamu hawa ma-prince wa Saudi Arabia
1. PrinceAhmed bin Salman bin Abdul Aziz
2. PrinceSultan bin Faisal bin Turki bin Abdallah al Saud
3. PrinceFahd bin Turki bin Saud al-kabir
Hawa wote ni watoto wa Mfalme wa Saudi Arabia ambaowalikufa ndani ya wiki moja miezi mine tokea kukamatwa kwa Abu Zubaydar. Wakwanza alikufa kwa heart Attack tar 22/7/2002. Wa pili alikufa kwa ajali yagari siku moja baada ya kufa wa kwanza tar 23/7/2002 akiwa anaenda kwenye msibawa prince Ahmed. Mwili wake ulikutwa kwenye ajali mkono ukiwa umenyoosha kidole kimeelekeamacca. Wa tatu alikufa jangwani akiwa amepotea na alikutwa amekufa kwa kiukaribu na gari alilokuwa nalo huku simu yake ikiwa inafanyakazi na ina networktar 30/7/2002. Zipo report nyingi kwenye mtandao lakini kuna moja ya pdfanayetaka aicheki imeandikwa{ (9/11: 3000 Americans for Three Saudi Princes)New details about the troubling omission of Saudi Arabia's wealthy from 9/11commission Report}
FUHRER hii makitu ndo bongo yangu inapenda sio story za kwenye gahawa, asante mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Mungu ametupa akili kwa ajili ya kufikiri na kupima mambo hiyo ndiyo tofauti yetu na wanyama.

Hivyo mimi kuuliza wewe, mpenzi msomaji, kwa msingi gani unaamini kweli kilichotokea? Kutoka Telegraph Uingereza: barua pepe walikuwa iliyotolewa na Pentagon baada ya uhuru wa habari ombi na Associated Press, lakini walikuwa sana redacted. Wao wazi kwamba mazishi ilikuwa hivyo siri kwamba hakuna hata mmoja wa wafanyakazi juu ya USS Carl Vinson alishuhudia mazishi katika bahari. Wao alithibitisha kile utawala alisema katika muda kwamba mila za Kiislamu walikuwa aliona.

Hakuna mashahidi, hakuna maiti, photos hakuna, hakuna rekodi redio, kuna chochote cha kuthibitisha hilo hasa kilichotokea. Hata barua iliyotajwa katika hadithi chini ya kubeba hakuna kuwaeleza ya jina la Osama Bin Laden,

Pentagon pia alisema hakuweza kupata yoyote cheti cha kifo, ripoti ya uchunguzi wa maiti au matokeo ya vipimo vya DNA kwa kitambulisho Bin Laden, au vifaa yoyote ya kabla ya uvamizi wa kujadili jinsi serikali ilipanga kuondoa mwili bin Laden kama yeye waliuawa.

Utawala wa Bush alituonyesha ushahidi wa Saddam Hussein na wanawe. Utawala wa Obama ina alituonyesha chochote. Kwa wote tunajua, wao wangeweza kuangalia sehemu ya Winnie ya Pooh-katika "chumba vita". Hii ni kwa nini shughuli mihuri na utambulisho wa familia wamekuwa kuathirika. Sasa kwa kuwa NTEB ni kuwasababishia ukweli, nini ijayo.

sijaelewa chochote hapa
 
Osama hakuwahi kuishi Mbagala na haijawahi kuripotiwa kwamba aliwahi ishi Mbagala

Vinginevyo kama unayo report ya Osama kuishi Mbagala basi iweke pamoja na vithibitisho kabla hajarudi Afghanistan

Mkuu nilikuwa nafurahisha wana jamvini.
 
FUHRER hii makitu ndo bongo yangu inapenda sio story za kwenye gahawa, asante mkuu!

Sasa na we RealMan mi nilidhani jina lako linafanana na tabia zako!
Kumbe hamna lolote!
We mtu akuandikie alicho kiona kwenye gazeti la sani!
Halafu we unaskia raaaaaha!
Na kumsifia juu!

Be real ma man! For real!
Not following the croud!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom