Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

nikutafutie wapi unapatikana wapi au nikupateje? unaweza ukatupa brief kidogo kuhusiana na kilichomo ndani ya hiyo documentary, maana kuna watu wanasema ile operation ni ya uongo wanadai Osama alikufa muda mrefu na matatizo ya Figo...

je hiyo documentary inasemaje?

hiyo kitu niyakweli bin Laden alikufa kitambo ninayo ushahidi
 
We Jambo Tz unatafuta ligi mpya na Mkuu wa chuo !
Manake muheshimiwa haskii wala haoni kuhusu hao wanaopenda ku act movies!

We toa ushahidi mpaka asubuhi!
Sana saaana vidole vitauma tu kwa ku type! Mkuu wa chuo kaisha funga mjadala hapa! Walichosema na kuonyesha wale wazungu! Yeye kabeba mazima!

Na hali hii yeye tuko nae bongo!

Sasa we fikiria kama Mkuu wa chuo angekuwa ni mmoja ya wale waandishi wa habari waliokwenda ktk tukio baada ya inayosemekana operation kumalizika!!

Hapa angekaa mtu kweli!?

Cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Alimficha alimtoa wapi? huyo Al Kuwaiti yupo wapi?

CC; kahtaan,

Hapo pazuri hapo!
Sasa hivi atatokea mtu aliye muona huyo Al kuwaiti kule vingunguti! Halafu mkuu wa chuo ataomba ushahidi!

Teh teh teh teh!

Huyu Mkuu wa chuo naona anataka ligi mpyaa!
 
Last edited by a moderator:
hiyo kitu niyakweli bin Laden alikufa kitambo ninayo ushahidi
ukiweza kutuwekea huo ushaidi itakuwa vizuri sana, ili tuweze pima haya mambo na kufanya ulinganifu, tupo tunasubiri ushahidi wako mkuu...
 
We Jambo Tz unatafuta ligi mpya na Mkuu wa chuo !
Manake muheshimiwa haskii wala haoni kuhusu hao wanaopenda ku act movies!

We toa ushahidi mpaka asubuhi!
Sana saaana vidole vitauma tu kwa ku type! Mkuu wa chuo kaisha funga mjadala hapa! Walichosema na kuonyesha wale wazungu! Yeye kabeba mazima!

Na hali hii yeye tuko nae bongo!

Sasa we fikiria kama Mkuu wa chuo angekuwa ni mmoja ya wale waandishi wa habari waliokwenda ktk tukio baada ya inayosemekana operation kumalizika!!

Hapa angekaa mtu kweli!?

Cc Ritz
Hapo pazuri hapo!
Sasa hivi atatokea mtu aliye muona huyo Al kuwaiti kule vingunguti! Halafu mkuu wa chuo ataomba ushahidi!

Teh teh teh teh!

Huyu Mkuu wa chuo naona anataka ligi mpyaa!

tatizo lako bwana kahtaan unachukulia haya mambo ki movie movie, halafu sio kwamba nachukulia kitu mazima bila ya kutafakari...

wewe nafikiri utakuwa unachukulia zile stori zingine ambazo si rasmi mazima mazima...

Al Kuwaiti kuweza kukaa Vingunguti haiwezi kuwa jambo la ajabu vinginevyo iwepo ushahidi tu, Mbona Ahmed Ghailan aliweza ishi Zanzibar?

Lakini haijawahi ripotiwa kwamba aliwahi ishi Vingunguti, huo ni mfano tu usije chukua kama subject..
 
Last edited by a moderator:
ina maana kumficha mtu mpaka umtoe sehemu? Al Kuwaiti na yeye aliuliwa kwenye ile operation...

Mkuu wa chuo,

1) hebu tusimame kidogo hapa kwa Al Kuwaiti, ilikuwaje mpaka akamficha Osama kwenye hiyo nyumba walikutanaje?

2) Al Kuwaiti, unasema naye alikufa kwenye mapambano kwenye hiyo nyumba, naye alizikwa baharini au maiti yake ilitupwa?

3) Al Kuwaiti, na Osama walikuwa wanakaa nyumba moja?

Cc.. kahtaan,
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa chuo,

1) hebu tusimame kidogo hapa kwa Al Kuwaiti, ilikuwaje mpaka akamficha Osama kwenye hiyo nyumba walikutanaje?

Ritz,
Al Kuwaiti alikuwa ni mmoja ya watu ambao Osama aliwaamini sana hata hivyo habari za Al Kuwaiti ukipitia mabandiko ya mkuu FUHRER ameelezea ni jinsi gani walivyoweza kumpata Osama inaonekana kulikuwa na chain fulani mpaka kumfikia Osama ukweli unaanzia kwa yule mfungwa wa Guantamo kuna watu wameelezea alivyotishiwa kupelekwa hadi Saudia hadi kuhojiwa na maafisa wa CIA wenye asili ya Kiarabu kuna mtu ameelezea mpaka akapewa truth serum ndio jamaa akasema ukweli, akawaambia nyie mtafuteni jamaa mmoja anaitwa Al Kuwaiti ndio mnaweza mpata Osama, lakini bwana Ritz ukipitia mabandiko ya FUHRER utapata picha kamili... au mkuu RealMan anaweza ongeza hapa....

2) Al Kuwaiti, unasema naye alikufa kwenye mapambano kwenye hiyo nyumba, naye alizikwa baharini au maiti yake ilitupwa?
Inavyosemekana Al Kuwaiti na yeye alikufa kwenye hayo mapambano si jajua kama maiti yake ilitupwa au ilizikwaje lakini yeye Al Kuwaiti hakuzikwa baharini kama Osama Seal Team wenyewe waliondoka na Mwili wa Osama kwa sababu ile mission ilikuwa ni ya kumpata Osama hapa citation inahitajika zaidi... tujue zaidi...

3) Al Kuwaiti, na Osama walikuwa wanakaa nyumba moja?

Cc.. kahtaan,
Yeah, Al Kuwaiti na Osama inasemekana walikuwa wanakaa nyumba moja na inaweza ikawa hivyo kwa sababu Al Kuwaiti na yeye alikufa kwenye ile operation, wewe mwenyewe si umeona ile Nyumba na ramani pia umeona...
 
Last edited by a moderator:
Ritz,
Al Kuwaiti alikuwa ni mmoja ya watu ambao Osama aliwaamini sana hata hivyo habari za Al Kuwaiti ukipitia mabandiko ya mkuu FUHRER ameelezea ni jinsi gani walivyoweza kumpata Osama inaonekana kulikuwa na chain fulani mpaka kumfikia Osama ukweli unaanzia kwa yule mfungwa wa Guantamo kuna watu wameelezea alivyotishiwa kupelekwa hadi Saudia hadi kuhojiwa na maafisa wa CIA wenye asili ya Kiarabu kuna mtu ameelezea mpaka akapewa truth serum ndio jamaa akasema ukweli, akawaambia nyie mtafuteni jamaa mmoja anaitwa Al Kuwaiti ndio mnaweza mpata Osama, lakini bwana Ritz ukipitia mabandiko ya FUHRER utapata picha kamili... au mkuu RealMan anaweza ongeza hapa....

Inavyosemekana Al Kuwaiti na yeye alikufa kwenye hayo mapambano si jajua kama maiti yake ilitupwa au ilizikwaje lakini yeye Al Kuwaiti hakuzikwa baharini kama Osama Seal Team wenyewe waliondoka na Mwili wa Osama kwa sababu ile mission ilikuwa ni ya kumpata Osama hapa citation inahitajika zaidi... tujue zaidi...

Yeah, Al Kuwaiti na Osama inasemekana walikuwa wanakaa nyumba moja na inaweza ikawa hivyo kwa sababu Al Kuwaiti na yeye alikufa kwenye ile operation, wewe mwenyewe si umeona ile Nyumba na ramani pia umeona...

Sasa hapa ndio mparaganyiko unapoanza!

Unapotaka kumficha mtu mkubwa kama usama! na wakatokea kina RAMBO kufanya vitu vyao!
basi huyo mfichaji lzm ajulikane mwisho wake ni upi!!

Huwezi ukasema"SIJUI" halafu ikatosha kuwa ni jibu!! Na kama hilo ndio jibu pekee ulilonalo!! Basi ukitumia LOGIC HAPA! Utaona kuwa Hii stori ya AL KUWAITI ALIMFICHA USAMA! HAIINGII AKILINI KABISAA!!

Sasa Mkuu wa chuo , Hebu tufafanulie kidogo hapo<

1. Je hio nyumba alokutwa GENERAL USAMA! ilikuwa ni ya alkuwaiti??
2. je! Baada ya KINA RAMBO kumuua GENERAL USAMA! kulikuwa na mtu yyt aliye kamatwa nae humo ??au alikutwa peke yake??

NAKUOMBA MAJIBU YAKO YASIWE NA KAULI YA "NADHANI"!!!!

KWA SABABU KILA MTU ANAWEZA KUDHANI DHANI!!
karibu utupashe!!
 
hatima ya mfichaji na yeye aliuawa...

Sasa Mkuu wa chuo , Hebu tufafanulie kidogo hapo<

1. Je hio nyumba alokutwa GENERAL USAMA! ilikuwa ni ya alkuwaiti??
Yeah, ile nyumba ilikuwa ni ya Al Kuwaiti...
2. je! Baada ya KINA RAMBO kumuua GENERAL USAMA! kulikuwa na mtu yyt aliye kamatwa nae humo ??au alikutwa peke yake??

NAKUOMBA MAJIBU YAKO YASIWE NA KAULI YA "NADHANI"!!!!

KWA SABABU KILA MTU ANAWEZA KUDHANI DHANI!!
karibu utupashe!!
Waliouawa katika ile Operation Neptune Spear walikuwa ni wa nne ambao ni Osama,Khalid mtoto wa Osama, Al Kuwaiti, Ndugu wa Al Kuwaiti aitwae Abrar na Bushra mke wa Abra kwa hiyo moja kwa moja hapo utaona Osama alikuwa haishi peke yake kuna watu waliopona kwa mfano wake watatu 3 wa Osama na mke mmoja wa Al Kuwaiti na watu wengine ambao ni watoto watoto tu...

wakati ile Operation inaendeshwa sio kwamba walienda tu kana kwamba wanaenda kamata kuku bandani la hasha! Kwa mfano Al Kuwaiti alikuwa na kitu cha AK47 lakini hakuweza kukitumia kutokana na wale washikaji wa Seal Team Six walivyokuwa wamejipanga Al Kuwaiti alifyatua fyatua tu risasi...

Yeye General wako Usama hakuweza fanya kitu bwana kahtaan nadhani umenipata...
 
Last edited by a moderator:
Ritz,
Al Kuwaiti alikuwa ni mmoja ya watu ambao Osama aliwaamini sana hata hivyo habari za Al Kuwaiti ukipitia mabandiko ya mkuu FUHRER ameelezea ni jinsi gani walivyoweza kumpata Osama inaonekana kulikuwa na chain fulani mpaka kumfikia Osama ukweli unaanzia kwa yule mfungwa wa Guantamo kuna watu wameelezea alivyotishiwa kupelekwa hadi Saudia hadi kuhojiwa na maafisa wa CIA wenye asili ya Kiarabu kuna mtu ameelezea mpaka akapewa truth serum ndio jamaa akasema ukweli, akawaambia nyie mtafuteni jamaa mmoja anaitwa Al Kuwaiti ndio mnaweza mpata Osama, lakini bwana Ritz ukipitia mabandiko ya FUHRER utapata picha kamili... au mkuu RealMan anaweza ongeza hapa....

Inavyosemekana Al Kuwaiti na yeye alikufa kwenye hayo mapambano si jajua kama maiti yake ilitupwa au ilizikwaje lakini yeye Al Kuwaiti hakuzikwa baharini kama Osama Seal Team wenyewe waliondoka na Mwili wa Osama kwa sababu ile mission ilikuwa ni ya kumpata Osama hapa citation inahitajika zaidi... tujue zaidi...

Yeah, Al Kuwaiti na Osama inasemekana walikuwa wanakaa nyumba moja na inaweza ikawa hivyo kwa sababu Al Kuwaiti na yeye alikufa kwenye ile operation, wewe mwenyewe si umeona ile Nyumba na ramani pia umeona...
Mkuu wa chuo,

Hao wote ulionitajia nimeishapitia mabandiko yao yote ndiyo maana naendelea kudadavua baadhi ya hizi bayana zenu.
Al Kuwaiti alikuwa ni mmoja ya watu ambao Osama aliwaamini sana hata hivyo habari za Al Kuwaiti ukipitia mabandiko ya mkuu FUHRER ameelezea ni jinsi gani walivyoweza kumpata Osama inaonekana kulikuwa na chain fulani mpaka kumfikia Osama ukweli unaanzia kwa yule mfungwa wa Guantamo kuna watu wameelezea alivyotishiwa kupelekwa hadi Saudia hadi kuhojiwa na maafisa wa CIA wenye asili ya Kiarabu kuna mtu ameelezea mpaka akapewa truth serum ndio jamaa akasema ukweli, akawaambia nyie mtafuteni jamaa mmoja anaitwa Al Kuwaiti ndio mnaweza mpata Osama, lakini bwana Ritz ukipitia mabandiko ya FUHRER utapata picha kamili... au mkuu RealMan anaweza ongeza hapa....
Hizi ndiyo bayana zenu ambazo mnaziamini kuhusu Al-Kuwaiti, hebu sasa tuwasome Wamarekani wenyewe wanavyo muulezea huyu Al-Kuwaiti, kutoka shirika kubwa la habari la Marekani [abc News].
Little is known about al Kuwaiti, but interviews with neighbors, Pakistani officials and U.S. officials make clear that the Kuwaiti-born Pakistani was for several years the second most-wanted terrorist in the world, if only because the CIA had become convinced he could led them to the al Qaeda leader.
Bin Laden, al Kuwaiti, al Kuwaiti's brother, one of Bin Laden's sons and a woman were killed early Monday morning when a team of Navy SEALs conducted a covert raid at the compound where bin Laden was living.
Until eight months ago, when al Kuwaiti was spotted in Peshawar and tracked back to the compound, the CIA knew his identity, but not where he lived.
Mkuu wa chuo, soma vizuri hizo bold utaona kuna contradiction CIA wamemjua Al-Kuwaiti, baada ya kumuua, wewe unasema walielekezwa na mfungwa wa Guantamo, halafu kumbe kwa mujibu wa abc NEWS kulikuwa na maiti nyingi lakini cha ajabu hakuna hata moja ulionyeshwa achalia mbali mazishi yao.
Yeah, Al Kuwaiti na Osama inasemekana walikuwa wanakaa nyumba moja na inaweza ikawa hivyo kwa sababu Al Kuwaiti na yeye alikufa kwenye ile operation, wewe mwenyewe si umeona ile Nyumba na ramani pia umeona...
Hakuna picha yeyote inayo muonyesha huyo Al-Kuwaiti, kuwa anaishi na Osama kwenye hiyo nyumba zaidi ya hii picha ya Hoolywood ambayo unatuonyesha Gheto la Osama, teh teh teh,

According to the interrogation report, bin Laden lived in five safehouses and fathered four children - the two youngest born in a public hospital in Abbotabad. But investigators have only located the houses in Abbottabad and Haripur.

Mkuu wa chuo, angalia hapa hii picha ya Osama, tutumie akili zetu tu, mtu anayetafutwa dunia nzima anaangalia TV, anatumia Computer. kwa nini hawa wanaomtafuta wasitumie The Internet Protocol (IP) is the principal communications protocol in the Internet protocol suite for relaying datagrams across network boundaries. Its routing ....

Cc; kahtaan, THE BIG SHOW, gombesugu,
 
Mkuu wa chuo,

Hao wote ulionitajia nimeishapitia mabandiko yao yote ndiyo maana naendelea kudadavua baadhi ya hizi bayana zenu.

Hizi ndiyo bayana zenu ambazo mnaziamini kuhusu Al-Kuwaiti, hebu sasa tuwasome Wamarekani wenyewe wanavyo muulezea huyu Al-Kuwaiti, kutoka shirika kubwa la habari la Marekani [abc News].

Mkuu wa chuo, soma vizuri hizo bold utaona kuna contradiction CIA wamemjua Al-Kuwaiti, baada ya kumuua, wewe unasema walielekezwa na mfungwa wa Guantamo, halafu kumbe kwa mujibu wa abc NEWS kulikuwa na maiti nyingi lakini cha ajabu hakuna hata moja ulionyeshwa achalia mbali mazishi yao.

Hakuna picha yeyote inayo muonyesha huyo Al-Kuwaiti, kuwa anaishi na Osama kwenye hiyo nyumba zaidi ya hii picha ya Hoolywood ambayo unatuonyesha Gheto la Osama, teh teh teh,

According to the interrogation report, bin Laden lived in five safehouses and fathered four children - the two youngest born in a public hospital in Abbotabad. But investigators have only located the houses in Abbottabad and Haripur.

Cc; kahtaan, THE BIG SHOW, gombesugu,

mkuu Ritz umepiga ikulu!

teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Ungeanza kwa kuweka ushahidi kwanza!
yeah, ni kweli mkuu angeanza kuweka kwanza ushahidi tukauona au kama ana ushahidi wa vyeti vya ugonjwa wa Osama angeweka kwanza, au kama ana death certificate ya Osama ambayo ni tofauti inayoonyesha Osama alikufa muda mrefu tofauti na ile Operation angetuwekea tuuone ushahidi wowote...

Asije akawa kama yule jamaa Elungata na yeye alikuja hivi hivi mwishowe akatokomea hadi leo hii ajaonekana kwenye uzi lakini bado nasubiri ushahidi wake alio ahidi ataleta...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa chuo,

Hao wote ulionitajia nimeishapitia mabandiko yao yote ndiyo maana naendelea kudadavua baadhi ya hizi bayana zenu.

Hizi ndiyo bayana zenu ambazo mnaziamini kuhusu Al-Kuwaiti, hebu sasa tuwasome Wamarekani wenyewe wanavyo muulezea huyu Al-Kuwaiti, kutoka shirika kubwa la habari la Marekani [abc News].
bwana Ritz nimesoma bayana zako hebu sasa tuanze kuzichambua, ni kweli hebu tusome habari yote na sio nusu nusu kama uliyoleta hebu ipitie hiyo habari yote hapa chini
By MATTHEW COLE and NICK SCHIFRIN (@nickschifrin)
May 4, 2011

He was a man of many names. Arshad, Ahmed, Abu Ahmed to name a few. To his neighbors in Abbottabad, Pakistan, he was a friendly man from the country's tribal areas who worked as a money changer and built 12-foot walls to keep out the "many enemies" he'd acquired in the course of doing business.
What no one who lived near him in the sleepy, semi-rural enclave knew was that Arshad Khan was really al Qaeda operative Abu Ahmed al Kuwaiti, Osama bin Laden's most trusted courier, and his identity and location became the key to killing bin Laden.
Little is known about al Kuwaiti, but interviews with neighbors, Pakistani officials and U.S. officials make clear that the Kuwaiti-born Pakistani was for several years the second most-wanted terrorist in the world, if only because the CIA had become convinced he could led them to the al Qaeda leader.
Bin Laden, al Kuwaiti, al Kuwaiti's brother, one of Bin Laden's sons and a woman were killed early Monday morning when a team of Navy SEALs conducted a covert raid at the compound where bin Laden was living.
Until eight months ago, when al Kuwaiti was spotted in Peshawar and tracked back to the compound, the CIA knew his identity, but not where he lived.

One neighbor, who would only speak on the condition of anonymity for fear of retribution, told ABC News that he knew al Kuwaiti as Arshad Khan. He was a courteous, if not forthcoming, neighbor, heavyset by local standards, who could be seen driving his wife and children to town. The neighbor, who didn't own a car, said Arshad Khan often gave him rides into town.

"I would ask if I could have his mobile number," the neighbor said. "He said he didn't own a phone," and rarely answered other personal questions.
Even so, the neighbor said the man he knew as Arshad once explained that the compound's unusually high perimeter wall had been built because of the many enemies he'd acquired in the years he ran a money-changing business in Pakistan's Tribal Areas.
Al Kuwaiti was identified in 2003, U.S. officials said, as someone who would be trusted by bin Laden. He was Khalid Sheikh Mohammed's protege and later the man who delivered a promotion from bin Laden to Abu Faraj al Libi, the al Qaeda operative who replaced Mohammed as the organization's number three leader.

Al Kuwaiti was tracked to the Abbottabad compound in 2010, after which the CIA determined that a high value target, possibly bin Laden, was living behind its walls. The main building included a terrace enclosed by a high wall on an upper floor, leading analysts to speculate it could be used to conceal a very tall man. Bin Laden was at least 6'4".
As details emerged about the daily habits of al Kuwaiti, including trips to the local bakery and mosque, Pakistani officials have conducted raids and arrests of people connected in any way to bin Laden's courier or the compound in which both bin Laden and the courier lived.

Mkuu wa chuo, soma vizuri hizo bold utaona kuna contradiction CIA wamemjua Al-Kuwaiti, baada ya kumuua, wewe unasema walielekezwa na mfungwa wa Guantamo, halafu kumbe kwa mujibu wa abc NEWS kulikuwa na maiti nyingi lakini cha ajabu hakuna hata moja ulionyeshwa achalia mbali mazishi yao.
wapi imeelezwa kwamba walimjua Al Kuwait baada ya kumuua hebu soma haya maneno vizuri "the CIA knew his identity, but not where he lived. " inamaana kwamba CIA walijua identity yake lakini sio alipokuwa anaishi, hebu soma haya maneno kutoka kwenye hiyo habari yako ambayo umeileta nusu, nzima nimeileta hapo juu na haya ni baadhi ya maneno yaliyomo kwenye hiyo habari
Al Kuwaiti was identified in 2003, U.S. officials said, as someone who would be trusted by bin Laden. He was Khalid Sheikh Mohammed's protege and later the man who delivered a promotion from bin Laden to Abu Faraj al Libi, the al Qaeda operative who replaced Mohammed as the organization's number three leader.

Al Kuwaiti was tracked to the Abbottabad compound in 2010
nadhani hapo umeona kwamba walimtambua lini imeelezwa ni 2003, Al Kuwaiti was tracked to the Abbottabad compound in 2010, sasa itawezekanaje mtu wamtambue baada ya kumuua ambayo ilikuwa 2011 huyo huyo mtu wamtrack 2010 nadhani hapo umenipata bwana Ritz... halafu maiti sio kwamba zilikuwa nyingi imeelezwa kwamba watu waliokufa ni watano akiwemo na Osama, halafu kwanini waonyeshe hizo maiti nyingine? wakati target yao kubwa ilikuwa ni Osama, na ile Operation ilikuwa mahususi kwa ajili ya Osama bin Laden... ndio maana wenyewe waliondoka na maiti ya Osama hao wengine haikuwa target...
Hakuna picha yeyote inayo muonyesha huyo Al-Kuwaiti, kuwa anaishi na Osama kwenye hiyo nyumba zaidi ya hii picha ya Hoolywood ambayo unatuonyesha Gheto la Osama, teh teh teh,

According to the interrogation report, bin Laden lived in five safehouses and fathered four children - the two youngest born in a public hospital in Abbotabad. But investigators have only located the houses in Abbottabad and Haripur.
we umejuaje kwamba hii picha ni ya hollywood? vigezo vipi umetumia? unaweza thibitisha? we ulitaka Osama na Al Kuwaiti waonyeshwe wanapiga story pamoja wakishushia na kahawa ndio ungeamini?

Mkuu wa chuo, angalia hapa hii picha ya Osama, tutumie akili zetu tu, mtu anayetafutwa dunia nzima anaangalia TV, anatumia Computer. kwa nini hawa wanaomtafuta wasitumie The Internet Protocol (IP) is the principal communications protocol in the Internet protocol suite for relaying datagrams across network boundaries. Its routing ....

Cc; kahtaan, THE BIG SHOW, gombesugu,
hakuna mahali inaposema Osama alikuwa anatumia computer na internet kwa sababu Osama aliachana na matumizi ya computer na simu halafu kuangalia tv wanaweza waka mtrack vipi? Lakini CIA waliweza kunasa mawasiliano ya Al Kuwaiti pamoja kwamba walikuwa wakiharibu laini baada ya kutumia... Na alikuwa akienda umbali kuwasiliana, na Al Kuwaiti alikuwa akitumia Internet cafe, CIA waliweza kumtrack Al Kuwaiti...
 
Last edited by a moderator:
mkuu Ritz umepiga ikulu!

teh teh teh teh!
Ahlan wa Sahlan,
hebu jiburudishe na hii habari zawadi kwako bwana kahtaan kutoka BBC Swahili, huku tukisubiri bwana Ritz aje apige ikulu tena, habari hii hapa chini
[h=1]Wasifu: Osama bin Laden[/h]
Siku ambayo ndege zilizotekwa nyara ziligonga majengo ya World Trade Centre na makao ya wizara ya ulinzi ya Marekani, Pentagon, ni vitendo vilivyombadilisha Osama bin Laden kutoka mtu mdogo asiyejulikana na kumfanya kuwa mojawapo watu wanaotambulikana sana duniani.
110502143133_obama_bin_laden_01_466x262_afp_nocredit.jpg
Osama bin Laden, katika mojawapo ya picha enzi za uhai wake.

Lakini alipojaribu kuepuka juhudi za Marekani kumkamata aliendelea kuwa kitendawili. Mawasilianao yake na dunia yalikuwa zaidi kwa kanda za video kupitia kituo cha televisheni cha Al Jazeera.
Bofya SIKILIZA WASIFU WAKE
Bin Laden aliwahi kunukuliwa akisema: "Kile ambacho Marekani inakionja hivi leo ni kitu kidogo sana ikilinganishwa na kile ambacho tumekuwa tukikipata katika miongo kadhaa. Taifa letu limekabiliwa na hali hii ya kudhalilishwa na kudharaualiwa kwa zaidi ya miaka 80. Wanawe wanauwawa, damu yao inamwagwa, maeneo yake matakatifu yanahujumiwa na hayatawaliwi kwa mujibu wa amri zake Mwenyezi Mungu."
Osama bin Laden alizaliwa mwaka 1957 katika familia yenye utajiri mkubwa. Baba yake alianzisha kampuni kubwa ya ujenzi katika Saudi Arabia. Akiwa ni miongoni mwa ndugu 18 wa kiume, Osama aliwahi kufanya kazi katika biashara hiyo ya familia. Maisha yake yalianza kubadilika alipokuwa kijana pale Muungano wa Sovieti ulipoivamia Afghanistan.
Alipokwenda Aghanistan, Osama alikuwa kijana sana ambaye alitaka kujijengea umaarufu, katikati ya vita vitakatifu. Osama bin Laden alikaa kwa kipindi cha takriban miaka 10 nchini Afghanistan, na kuanzisha fungamano na wanaharakati wa siasa kali za kiislamu kote duniani.
Na baada ya majeshi yaliyovunjika moyo ya Sovieti kuondoka Afghanistan mnamo mwaka 1989. Osama bin Laden alirejea nyumbani Saudi Arabia. Mwaka mmoja baadaye alijitolea kumpa msaada wa kijeshi mfalme Fahad wakati Iraq ilipoivamia nchi jirani ya Kuwait. Lakini Osama alipatwa na mshtuko mkubwa pale Mfalme Fahad alipokataa toleo lake na badala yake kuigeukia Marekani.
Osama alinyaganywa uraia wa Saudi na akarejea Afghanistan ambayo wakati huo ikitawaliwa na Wataliban ambao alikubaliana nao kuhusu tafsiri ya uislamu.
Mnamo mwaka 1998 aliwahimiza waislamu wawauwe Wamarekani mkiwemo raia popote pale watakapowapata, kukafuatiwa mashambulio kadhaa ikiwa ni pamoja na dhidi ya balozi za Marekani katika Kenya na Tanzania na manowari ya USS Cole katika mwambao wa Yemen. Halafu shambulio la September 11, 2001.
110502142014_osama_bin_laden_compound_466x262_other_nocredit.jpg
Nyumba ya ghorofa ambamo bin Laden anaaminika alikutwa na kuuawa.

Osama bin Laden aliwasifu waliofanya shambulio hilo. Rais Bush akasema atasakwa apatikane akiwa hai au mfu.
Rais Bush alikunukuliwa kusema: "Sijui kama tutampata kesho au mwezi ujao au mwaka ujao. Lakini hapana shaka tutampata tu."
Ingawa Waislamu wengi walilaani vifo vya watu katika miji ya New York na Washington, Osama bin Laden alichukuliwa na wengi kuwa ni shujaa, aliyetetea haki za Wapalestina na kupinga nguvu za Marekani.
Alioa mke wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 17 na baadaye akawaoa wake wengine wanne. Osama bin Laden anaaminika kuacha watoto 17.
 
Last edited by a moderator:
bwana Ritz nimesoma bayana zako hebu sasa tuanze kuzichambua, ni kweli hebu tusome habari yote na sio nusu nusu kama uliyoleta hebu ipitie hiyo habari yote hapa chini

wapi imeelezwa kwamba walimjua Al Kuwait baada ya kumuua hebu soma haya maneno vizuri "the CIA knew his identity, but not where he lived. " inamaana kwamba CIA walijua identity yake lakini sio alipokuwa anaishi, hebu soma haya maneno kutoka kwenye hiyo habari yako ambayo umeileta nusu, nzima nimeileta hapo juu na haya ni baadhi ya maneno yaliyomo kwenye hiyo habari

nadhani hapo umeona kwamba walimtambua lini imeelezwa ni 2003, Al Kuwaiti was tracked to the Abbottabad compound in 2010, sasa itawezekanaje mtu wamtambue baada ya kumuua ambayo ilikuwa 2011 huyo huyo mtu wamtrack 2010 nadhani hapo umenipata bwana Ritz... halafu maiti sio kwamba zilikuwa nyingi imeelezwa kwamba watu waliokufa ni watano akiwemo na Osama, halafu kwanini waonyeshe hizo maiti nyingine? wakati target yao kubwa ilikuwa ni Osama, na ile Operation ilikuwa mahususi kwa ajili ya Osama bin Laden... ndio maana wenyewe waliondoka na maiti ya Osama hao wengine haikuwa target...

we umejuaje kwamba hii picha ni ya hollywood? vigezo vipi umetumia? unaweza thibitisha? we ulitaka Osama na Al Kuwaiti waonyeshwe wanapiga story pamoja wakishushia na kahawa ndio ungeamini?

hakuna mahali inaposema Osama alikuwa anatumia computer na internet kwa sababu Osama aliachana na matumizi ya computer na simu halafu kuangalia tv wanaweza waka mtrack vipi? Lakini CIA waliweza kunasa mawasiliano ya Al Kuwaiti pamoja kwamba walikuwa wakiharibu laini baada ya kutumia... Na alikuwa akienda umbali kuwasiliana, na Al Kuwaiti alikuwa akitumia Internet cafe, CIA waliweza kumtrack Al Kuwaiti...
Mkuu wa chuo,

Tatizo lako unataka kila mtu akubaliane na stori za kina Mathew Cole na mwenzake Nick Schifrin, hiyo habari yangu siyo ya kwao huko Marekani kwenyewe wanapigwa kila siku na hizi stori za ambazo hazina ushahidi, ni mie takuletea habari nzima kutoka kwa Wamarekani kuhusu. Al Kuwaiti.

Angalia hiyo picha ya Osama anaangalia TV pembeni kuna Computer, unaweza kutuambia mara ya mwisho alitumia lini.

Hivi wewe umejuaje kama walikufa watu watano unaweza kutupa ushahidi siyo maneno matupu.

Hicho chumba cha Osama ndiyo alikuwa akiishi na hao wake zake wote?

Hebu thibitisha kwa ushahidi wa picha au mazishi kuwa Al Kuwaiti alikufa pamoja na Osama.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa chuo,

Tatizo lako unataka kila mtu akubaliane na stori za kina Mathew Cole na mwenzake Nick Schifrin, hiyo habari yangu siyo ya kwao huko Marekani kwenyewe wanapigwa kila siku na hizi stori za ambazo hazina ushahidi, ni mie takuletea habari nzima kutoka kwa Wamarekani kuhusu. Al Kuwaiti....

Hizi ndiyo bayana zenu ambazo mnaziamini kuhusu Al-Kuwaiti, hebu sasa tuwasome Wamarekani wenyewe wanavyo muulezea huyu Al-Kuwaiti, kutoka shirika kubwa la habari la Marekani [abc News].

Mkuu Ritz hapo kwenye red naona kama unajichanganya...umejaribu kuleta habari ya wamarekani ili kujengea hoja yako lakini ghafla unasema unataka kila mtu akubali habari ya wamarekani....

Labda unijuze mtazamo wako:
1. je "general" Osama yu hai?
2. Kama yu hai yuko wapi kwa sasa?
3. Kama ameshakufa, alikufaje?

Nakushukuru
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa chuo,

Tatizo lako unataka kila mtu akubaliane na stori za kina Mathew Cole na mwenzake Nick Schifrin, hiyo habari yangu siyo ya kwao huko Marekani kwenyewe wanapigwa kila siku na hizi stori za ambazo hazina ushahidi, ni mie takuletea habari nzima kutoka kwa Wamarekani kuhusu. Al Kuwaiti.

Angalia hiyo picha ya Osama anaangalia TV pembeni kuna Computer, unaweza kutuambia mara ya mwisho alitumia lini.

Hivi wewe umejuaje kama walikufa watu watano unaweza kutupa ushahidi siyo maneno matupu.

Hicho chumba cha Osama ndiyo alikuwa akiishi na hao wake zake wote?

Hebu thibitisha kwa ushahidi wa picha au mazishi kuwa Al Kuwaiti alikufa pamoja na Osama.
tatizo lako bwana Ritz umeleta habari kwa ufupi toka abc news lakini unakana tena, mimi kukuletea habari yote ambayo wewe umechukua kakipande unakataa tena, kuhusiana na hao watu watano waliokufa hebu jaribu kupitia kale kakipande kako kutoka abc news uliokaleta mbona kanaelezea kwa uzuri kabisa....

halafu hakuna sehemu nilipoelezea Osama alikuwa anaishi gheto la chumba kimoja na wakeze, unajua kwamba bwana Ritz ile nyumba iliyokuwa pale Abbottabad ilikuwa na floor tatu iweje utuambie alikuwa anaishi gheto, yeye Osama alikuwa anaishi floor ya tatu...

Ile ilikuwa ni compound kubwa sio kama ka gheto...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz hapo kwenye red naona kama unajichanganya...umejaribu kuleta habari ya wamarekani ili kujengea hoja yako lakini ghafla unasema unataka kila mtu akubali habari ya wamarekani....

Labda unijuze mtazamo wako:
1. je "general" Osama yu hai?
2. Kama yu hai yuko wapi kwa sasa?
3. Kama ameshakufa, alikufaje?

Nakushukuru
asante sana mkuu RealMan kumbe umeona na wewe kwamba bwana Ritz analeta bandiko halafu tena anakana, yaani anajichanganya mwenyewe...

halafu itakuwa vizuri kama bwana Ritz akijibu hayo maswali...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom