Maisha ya Temeke: Uhuni, defender za polisi hadi kunusurika kuuawa kisa mwanamke

Nifundishe kung fu bro SH
Hakika umeusoma Uzi wote,uzi ulikosa wachangiaji ila Kuna watu wameufukua Leo.

Kung Fu sasa hivi nimekuwa mzembe sana baada ya majukumu kuwa mengi,nimeota hadi kitambi.

But,once a soldier always a soldier. Siwezi kusahau vyote,njoo nikufundishe ninavyovikumbuka.
 
Nimeusoma na nimeupenda japo nilichelewa kuuona..!!

Nakuja si bado unaishi Tmk?
 
Nimeusoma na nimeupenda japo nilichelewa kuuona..!!

Nakuja si bado unaishi Tmk?
Hiyo ilikuwa zamani kidogo lakini.

Now siishi Temeke. Ila ukinihitaji utanipata,Temeke ni kwetu.
 
😁😁😁
 
Mimi nimesoma mwanzo mwisho nikakasirika kwa nini umeisha....
Halafu huyo askari Tyson aliyekuja Arusha miaka hiyo alikuwa Mfupi fupi ana tatoo!? Huku Arusha alikuja kuwa anaitwa Ninja
 
Kwetu huko. Tulicheza sana mnanda wa kina Midoke na Juma Mpogo.
 
Maisha ya watoto wa Temeke kama ulivyoyaelezea ni ukweli mtupu...
Lakini wewe kuwa ndani ya hayo maisha ni chai tupu......
 
Temeke, mitaa ya magangwe.
Ila siku hiyo nimetoka Ikwirir, gari yangu imeharibikia huko, nikapanda basi na nikafika mtaa wa Sudan saa 4 usiku.
Miaka hiyo giza totoro.
Ile basi limeniteremsha, hakuna daladala wala watu mtaani. Nikaanza kute,bea kuelekea kwenywe mwanga karibu na hospitali ya Temeke, ambapo kuna kituo vile vile cha daladala.

Mara nikaona vijana wawili, mmoja mbele yangu na mwingine nyuma yangu .
Nimaongeza mwendo, wa mbele akapunguza mwendo na wa nyuma akaongeza mwendo maradufu.

Walichokusa hawajui wale vijana ni kwamba nilikuwa na mguu wa kuku, haraka nikautoa na kukoki.
Hizo mbio walizotoa kujisalimisha zilinishangaza.
Mara daladala ikatokea nikapanda kujiondoa sehemu ya hatari.
 
Mkuu unaweza kukuta afande ni mchovu tu ila watu wameshajenga hofu kwake
 
Maisha ya watoto wa Temeke kama ulivyoyaelezea ni ukweli mtupu...
Lakini wewe kuwa ndani ya hayo maisha ni chai tupu......
Sasa si uonyeshe hiyo chai ipo wapi,mkuu.

Mbona kama umeingia na wivu wakati haya yalikuwa ni maisha ya zamani tu.
 
Ahahaha,mguu wa kuku ulikuokoa.

Wengine watasems hii ni chai.
 
Wahuni kutoka tandika, bombom, gogo vivu minazi mirefu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…