Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Ile Ina title ya Leo nime kutana na mshikaji wangu, can't recall lakini ali geuka muuza unga.Shukran sana kwa compliment,mkuu.
Hiyo stori ya "unga" ni ipi? Niliandika Mimi?
Ile Ina title ya Leo nime kutana na mshikaji wangu, can't recall lakini ali geuka muuza unga.Shukran sana kwa compliment,mkuu.
Hiyo stori ya "unga" ni ipi? Niliandika Mimi?
Huko hakuna uhuni, muulize Kunguru wa Manzese akupe story za kina yesu pale manzese tip top.Mchiriku ulipokufa na uhuni umepungua Dar.
Mwanzo uliopoanza muziki wa singeli lkitaka kuja na uhuni wa mchiriku,ila madogo waliposwitch na kuimba singeli yenye Radha ikaleta ustaarabu.
Umesema makempu umenikumbusha Enzi hizo za kina jenerali Rupozi,Baba Isaya,wazee wa seven survival na ile kempu yao pale mtoni mtongani.
Life is fleeting.
Ok, nimekumbuka.Ile Ina title ya Leo nime kutana na mshikaji wangu, can't recall lakini ali geuka muuza unga.
Sawa haina shida mkuu.Ok, nimekumbuka.
Hiyo stori ililetaga shida kidogo hapa jf nakumbuka. Sitaki kuongea zaidi na Wala sitaki kuukumbuka huo Uzi.