Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

Weee uwatishe wa huko huko, mi kwangu hela ya mwezi hupati hata ukizikiri uchi! Na wala hunifanyi chochote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu znauma jomoneeeh lol,
 
Great mind mzeee ..!! Sema ndo kupata mtu ambae yupo free kidogo...
Kuna jamaa angu yeye anachofanyaga anamtanguliza mtu kwa madalali..then jamaa akishapata info tu za nyumba basi kwisha kazi..anazunguka yeye kama yeye kwenye hzo nyumba..akipata anayoitaka ANALIPIA..hapo DALALI hawezi kujua kuwa jamaa alimtanguliza rafiki ake kupata connection
 
Hua naona raha sana nikimzima dalali. Sijawahi heshim makubaliano na dalali
 
Back
Top Bottom