Efendi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 314
- 438
Madalali ni brand kubwa lazima uwatafute wapo kila sector ila wanabadilika majina kama nyweleJibaba zima na nywele makalioni unasubiri mwanaume mwenzio ahenye weeee ajenge nyumba kisha wewe ule pesa ya bila jasho qbabako madalali aisee mnakera!
Mpaka kwenye football wapo wanaitwa maagent kwenye Hisa wanaitwa mabroker sema wabongo ujamaa umewaharibu sana mmezoea kulilia dezo dezo dunia ya kibepari hii madalali ni sector muhimu ipo tangu dunia iumbwe na itaendelea kuwepo
Najivunia kuwa Dalali