Maandiko
Senior Member
- Jan 24, 2020
- 159
- 181
Mkuu tusaidie .je kubadilika kwa tafsiri ya udalali kulingana na mazingira kunabadili maana ya udalali ?Nadhani wengi hawajui maana ya dalali Ni Nini? Dalali Ni mtu anayesimama kwa niaba ya mwenye nyumba, mwenye mazao, mwenye bidhaa flani (middle men ) Ila tafsiri hubadilika katika kila sector lakini kitu Ni kilekile
Mfano Wale watu tigo pesa na M pesa tunaweza kuwaita madalali sio ? Sasa niambie Nani huwa anawalipa ? Mteja au yule aliyewapa kazi ?
Kwanini Hawa wanaojifanya wamiliki wa vyumba hawalipwi na hao malandlord ? (Simply Ni kwamba hao Ni wahuni tu ndo maana hata huyo aliyewapa kazi ya kutafta wateja anawatelekeza)