Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naonaga n km kazi ya watu wavivu hivi na maneno mengi sana yakumfurahisha mtejaUdalali ni kazi kama zingine. Heshimu makubaliano.
Kweli kabisa yaani dalali anakula asilimia zaidi ya 50 ya mali yako ni ujinga bora utangaze bei ya biashara yako kwenye mitandao aisee weka namba mtu aje mwenyewe.dalali uza chako ndo uone uchungu
Vitu vya hivi ndio vinafanyaga madalali wanachukiwa. Mwenye Mali kaibiwa na mnunuzi kaibiwa na wote mwizi wenu mnamjua!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kujua umuhimu wa dalali tafuta wewe mwenyewe wateja uione shughuli/
sasa basi imetokea kuna kitu unataka uuze kwa laki 1, ukatafuta wateja lakini hujapata.
kazi umempa dalali sasa, dalali kapata mteja mwenye laki 5
Mkuu natamani siku moja ukutane na Mimi bhana nione hizo fujo unazotambia humu unazifanya vipi ?Hiyo imetokea juzi dalali mwenzangu ameonyeshwa nyumba na dalali mwengine dalali mm nikipata mteja hapa JF nikampgie yule dalali mwenzangu ambaye nafanya naye kazi tukauza nyumba tunagawana mtu bee.
Mteja alivyolipia nyumba akunitafuta tena kunijulisha kwamba amefanikisha maana mm nikipata mteja nampgia agent (jamaangu) anaenda kuuza nyumba harafu usiku tunakutana bar kufanya mgawo kifupi tunaaminiana sana.
Ss yule dalali wa 3 tuliyemzunguka na aliyemuonyesha mshikaji nyumba akapeleka mteja anakuta Mali ishauzwa akapagawa akaanza msako kwa madalali akupata jibu ikabidi amtaiti amdai mteja ,mteja ikabidi anipigie mm ,hapo ikabidi niende kuongea na madalali wenzangu akiwamo yule tuliyemzunguka,kumbe kihistoria aluwahi kutuzunguka xo kesi ikaishia hapo tukampiga Castle Lite with a bite mbili akatulia ila vinginevyo mteja angelipa hela ya udalali mara mbili.
Mkuu acha kujenga hoja dhaifu kiasi hiki unauliza suala la kujiskia kwenye issue ya uhalali au haki ?Very simple, imagine wewe ndio dalali, ukifanyiwa hivyo utajisikia powa? If yes, then go on, if not basi tenda wema
Hahahaha hahahahaMkuu acha kujenga hoja dhaifu kiasi hiki unauliza suala la kujiskia kwenye issue ya uhalali au haki ?
Ujue hata mwizi akinyang'anywa Mali aliyoiba hajiskii poa ? Issue si anajiskia vipi , issue Ni je hiyo anayotaka kuchukua kwa mteja Ni halali ?
Dalali siyo sawa na Tapeli, lakini dalali naweza mlinganisha na tapeliShida walio wengi wamekaa kumponda dalali wanasahau mada kuu ya mjadala.
Swali ni je ni sawa kumzunguuka dalali???
na vipi kuna utaratibu wowote kisheria endapo ukinaunguuka dalali???
Achaneni na maswala ya kuita mara tapeli mara nini
Mkuu unapiga wadada wewe .Mnaona udalali kazi rahisi mimi kwangu hela utatoa na makofi utachukua kabla kazi tunakubaliana kabisa na ma landlords wanaelewa kabisa kodi ya mwezi ya kwangu
Acha mikwara kima ww yaani dalali unamtafuta mwenyewe unampa kazi akutafutie nyumba ya kupanga na hela ya mwezi mmoja ya kumpa unakubali then ukishaiona nyumba ubadilike dogo utaolewa mjini hapa ushamba peleka kwenu kijijini huku watu wanatumia akili tu wala sio miguvu kulukunduMkuu unapiga wadada wewe .
Nakuhakikishia kuwa hujawahi kukutana dhoruba ya watu jeuri wewe. Utaacha udalali siku ukikutana na dhahama .
Kama landlord anaelewa si akupe hiyo hela au agome kuchukua hela yangu . Ntawageuzia kibao wote siku mkikutana na mtu Kama Mimi. Nakuhakikishia utaacha huu ujinga unaotambia hapa
Kwa hii post yako nakuhakikishia humu ushapoteza wateja!Hii post ilitakiwa uitumie positively kuwavutia wateja na sio haya majigambo uliyoweka humu!Kama unahisi madalali wanafanya kazi rahisi yaani spoon feeders kwa nn utafute dalali akusadie ,tafuta nyumba mwenyewe we jamaa wa ajabu kweli kwani umekatazwa kutafuta pambana kama unaona 200k yako ni big ishu hizo akili za kimasikini mwnye hela hata awazi ,ndio maana binafsi siku hizi mtu akinipigia sim anataka nyumba ya kupanga nikiona anaanza kulia Lia mara ooh 20k au 50k ya service charge sina Nina dusiko namjibu jeuri namuuliza boss unataka nyumba ya 100M harafu hauna 50k ya maji twende site are you serious naachana naye au nampgia dalali mwnzng mmoja njaa njaaa sana namwambia Kuna mteja kimeo njoo upige naye kazi.
Sasa hizo akili Kama hazikusaidii kuelewa kuwa hiyo Kodi ya mwezi mmoja sio lazima kutolewa ndo watu Kama Mimi tunatumia nguvu kukufundisha adabu .Acha mikwara kima ww yaani dalali unamtafuta mwenyewe unampa kazi akutafutie nyumba ya kupanga na hela ya mwezi mmoja ya kumpa unakubali then ukishaiona nyumba ubadilike dogo utaolewa mjini hapa ushamba peleka kwenu kijijini huku watu wanatumia akili tu wala sio miguvu kulukundu
Sent by Dalali-Mzoefu
Acha mikwara kima ww yaani dalali unamtafuta mwenyewe unampa kazi akutafutie nyumba ya kupanga na hela ya mwezi mmoja ya kumpa unakubali then ukishaiona nyumba ubadilike dogo utaolewa mjini hapa ushamba peleka kwenu kijijini huku watu wanatumia akili tu wala sio miguvu kulukundu
Sent by Dalali-Mzoefu
Una ny**e ? Kwani dalali unamtafuta ww au anakutafuta listen kama hutaki utata usiingie katika kazi za watu udalali ni kazi halali soon serikali itatutambua nationwide na tutakuwa rasmiBro acha utapeli. Kulalia jasho la wanaume wenzio bila kutumia nguvu yoyote qmamae zenu madalali mnakera sana!
Halogwi anapewa makavu mtoto wa kike badala ya kwenda kumkaangia bahasha wake anakuja kuingia kwenye battle za wanaumeWatakuroga
Halogwi anapewa makavu mtoto wa kike badala ya kwenda kumkaangia bahasha wake anakuja kuingia kwenye battle za wanaume
Mimi nikimpa kazi dalali namlipa pale napokuwa nafanya hiyo biashara. Habar za kuzungukia maeneo/nyumba hiyo inakuwa juu yake.Nao kuna muda wana kaupumbavu fulani umempa kabisa specifications za chumba /nyumba unayotaka na anakuhakikishia kabisa anayo unaenda kuangalia hata haifananii kibaya zaidi anavyoisifia sasa utadhani ataishi yeye ili mradi tu akupige hela ya udalali ndio maana wanazungukwa.