Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kila kitu kinaandikwa, hata makubaliano ya Mdomo Ni mazuri Kama ya maandishi. Kumbuka Dalali anafanya kazi halali, kujua kuwa Kuna Chumba sehemu, siyo kazi ndogo, Kuna hitaji connection. Kama mlikubaliana kuwa utampa Kodi ya mwezi, akikupeleka sehemu husika, ukigeuka inakuwa dhuluma Kama dhuluma, zingine,Huyo alikua bwege tu kuna mahali waliandikishiana kua ntakupa kiasi flani
Utapeli ni hulka ya mtu yeyote anaweza kuwa tapeliHizo ni story tu dalali wenyewe matapeli,ukienda police mabatini kesi kibao za madalali wa mlimani city kuuzia watu magari kwa utapeli
Hawezi kukufanya kitu wewe mteja bali mwenye nyumba itabidi amlipe dalaliHabarini wakuu poleni na majukumu. Ttwende kwenye mada.
1. Unatafuta chumba/kiwanja, ukaingia Jamiiforums ukaona tangazo la dalali na ametaja eneo na bei.
Sasa kuepuka kumlipa ile 10%
Kwakuwa unafahamu lile eneo wewe unaenda unaulizia mwenyewe na ukalipa direct kwa mwenye mali.
Je, hiyo ni sawa?
2. Unatafuta chumba cha kupanga ukampata dalali ana chumba kizuri tu na ukakipenda. Bwana dalali akakupeleka kukiona hicho chumba ila mteja ukadai hujakipenda, ukampa elfu 10 yake ya kukuzungusha.
Baada ya muda ukarudi ukaongea na mwenye nyumba direct ukamlipa kodi yake. Hapa ukawa umeruka kumpa dalali kodi ya mwezi mmoja.
Swali kwa wadau (dalali na wateja)
1. Je, ni sawa mteja kumzunguka kutumia mbinu hizo?
2. Je, huyu dalali akigundua kuwa umemzunguka atakufanya nini, kuna sheria au taratibu zozote?
Wadau (dalali na mteja) waliowahi kufanya hivi.
Share na sisi tafadhilini.
Mnaona udalali kazi rahisi mimi kwangu hela utatoa na makofi utachukua kabla kazi tunakubaliana kabisa na ma landlords wanaelewa kabisa kodi ya mwezi ya kwangu
wewe haueleweki wewe ni manzi?Kumbe wewe kaka una dharau hivi.
Nilikua nina mpango nikutafute unicheki nyumba nimeogopa aisee
Mimi wakati napanga nishawapiga Changa la macho madalali wote watatu katika nyumba zote Tatu nilizopanga kwenye mikoa miwili tofautiHabarini wakuu poleni na majukumu. Ttwende kwenye mada.
1. Unatafuta chumba/kiwanja, ukaingia Jamiiforums ukaona tangazo la dalali na ametaja eneo na bei.
Sasa kuepuka kumlipa ile 10%
Kwakuwa unafahamu lile eneo wewe unaenda unaulizia mwenyewe na ukalipa direct kwa mwenye mali.
Je, hiyo ni sawa?
2. Unatafuta chumba cha kupanga ukampata dalali ana chumba kizuri tu na ukakipenda. Bwana dalali akakupeleka kukiona hicho chumba ila mteja ukadai hujakipenda, ukampa elfu 10 yake ya kukuzungusha.
Baada ya muda ukarudi ukaongea na mwenye nyumba direct ukamlipa kodi yake. Hapa ukawa umeruka kumpa dalali kodi ya mwezi mmoja.
Swali kwa wadau (dalali na wateja)
1. Je, ni sawa mteja kumzunguka kutumia mbinu hizo?
2. Je, huyu dalali akigundua kuwa umemzunguka atakufanya nini, kuna sheria au taratibu zozote?
Wadau (dalali na mteja) waliowahi kufanya hivi.
Share na sisi tafadhilini.
Nishalipaga sana madalali hzo 400k sinaga mda wakusumbuana na watu coz naheshimu kazi za watu cha msingi nipate kitu moyo unapenda,ukinitafutia nyumba Kali Kama we dalali naweza hata kukuongeza hela kwny hyo ya mwezi.Ingekuwa ni wewe unaoneshwa nyumba tu na dalali kwa kodi ya laki 4 kwa mwezi ungetoa kodi na kumlipa hio hela au unatoa povu tu?
Hamnaga hela ya mchezo wewe, pelekesha njaa za kimaku! Unaongea shit kichoko wakati unategea hela za wanaume wanaofight kulipa kodi!
Walimkamata kwa kosa lipi? huyo dalali amesajiliwa kufanya hyo kazi ya udalali? ana ofisi ya kufanyia hyo kazi ya udalali?
Usikiuke makubaliano haya siku moja. Ulikuwa na shida ukasaidiwa. Sasa unastarehe, unadhulumu. Kumbuka huyo aliishapangia matumizi kipato hicho. Siku zote unapofanya jambololote kwa mtu yoyote, jiweke katika nafasi yakeHabarini wakuu poleni na majukumu. Ttwende kwenye mada.