Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe mchango wako ni upi kwenye mada hii?Shida walio wengi wamekaa kumponda dalali wanasahau mada kuu ya mjadala.
Swali ni je ni sawa kumzunguuka dalali???
na vipi kuna utaratibu wowote kisheria endapo ukinaunguuka dalali???
Achaneni na maswala ya kuita mara tapeli mara nini
Wabongo sisi kwenye biashara yoyote Ile tuko longolongo sana, unaweza kumfanyia connection mtu siku mambo yakiwa fire jamaa anapewa mzigo, Wakat wa kukupa wewe chko hapo ndiyo MtitiKama unahisi madalali wanafanya kazi rahisi yaani spoon feeders kwa nn utafute dalali akusadie ,tafuta nyumba mwenyewe we jamaa wa ajabu kweli kwani umekatazwa kutafuta pambana kama unaona 200k yako ni big ishu hizo akili za kimasikini mwnye hela hata awazi ,ndio maana binafsi siku hizi mtu akinipigia sim anataka nyumba ya kupanga nikiona anaanza kulia Lia mara ooh 20k au 50k ya service charge sina Nina dusiko namjibu jeuri namuuliza boss unataka nyumba ya 100M harafu hauna 50k ya maji twende site are you serious naachana naye au nampgia dalali mwnzng mmoja njaa njaaa sana namwambia Kuna mteja kimeo njoo upige naye kazi.
Kuenda na wimbo wa swali Ni kazi Sana. Hapa tayari watu wanajadili nje ya wimbo wa swali.Shida walio wengi wamekaa kumponda dalali wanasahau mada kuu ya mjadala.
Swali ni je ni sawa kumzunguuka dalali???
na vipi kuna utaratibu wowote kisheria endapo ukinaunguuka dalali???
Achaneni na maswala ya kuita mara tapeli mara nini
Ingekuwa ni wewe unaoneshwa nyumba tu na dalali kwa kodi ya laki 4 kwa mwezi ungetoa kodi na kumlipa hio hela au unatoa povu tu?Kama unahisi madalali wanafanya kazi rahisi yaani spoon feeders kwa nn utafute dalali akusadie ,tafuta nyumba mwenyewe we jamaa wa ajabu kweli kwani umekatazwa kutafuta pambana kama unaona 200k yako ni big ishu hizo akili za kimasikini mwnye hela hata awazi ,ndio maana binafsi siku hizi mtu akinipigia sim anataka nyumba ya kupanga nikiona anaanza kulia Lia mara ooh 20k au 50k ya service charge sina Nina dusiko namjibu jeuri namuuliza boss unataka nyumba ya 100M harafu hauna 50k ya maji twende site are you serious naachana naye au nampgia dalali mwnzng mmoja njaa njaaa sana namwambia Kuna mteja kimeo njoo upige naye kazi.
Achana na mshamba huyo, anavimba wakati njaa kali!🤣🤣🤣Kumbe wewe kaka una dharau hivi.
Nilikua nina mpango nikutafute unicheki nyumba nimeogopa aisee
Ingekuwa ni wewe unaoneshwa nyumba tu na dalali kwa kodi ya laki 4 kwa mwezi ungetoa kodi na kumlipa hio hela au unatoa povu tu?
Hamnaga hela ya mchezo wewe, pelekesha njaa za kimaku! Unaongea shit kichoko wakati unategea hela za wanaume wanaofight kulipa kodi!
Nyumba nikitaka ni dalali atatafuta ila huo ujinga hakuna!Basi tafuta mwenyewe usisumbue watu
Udalali upo tangu enzi za mitume watu ndo kazi zao punguza dharau kama unataka nyumba ya kupanga ingia mtaani itafute
Madalali hiyo 10000 kumi unachukua ya nini?unamtembeza mtu kwenye nyumba mbovu wakati amekupa condition za nyumba ipi anataka..acha mpigwe tu mnakua na vitambi hata kodi za serikali hamlipiHabarini wakuu poleni na majukumu. Ttwende kwenye mada.
1. Unatafuta chumba/kiwanja, ukaingia Jamiiforums ukaona tangazo la dalali na ametaja eneo na bei.
Sasa kuepuka kumlipa ile 10%
Kwakuwa unafahamu lile eneo wewe unaenda unaulizia mwenyewe na ukalipa direct kwa mwenye mali.
Je, hiyo ni sawa?
2. Unatafuta chumba cha kupanga ukampata dalali ana chumba kizuri tu na ukakipenda. Bwana dalali akakupeleka kukiona hicho chumba ila mteja ukadai hujakipenda, ukampa elfu 10 yake ya kukuzungusha.
Baada ya muda ukarudi ukaongea na mwenye nyumba direct ukamlipa kodi yake. Hapa ukawa umeruka kumpa dalali kodi ya mwezi mmoja.
Swali kwa wadau (dalali na wateja)
1. Je, ni sawa mteja kumzunguka kutumia mbinu hizo?
2. Je, huyu dalali akigundua kuwa umemzunguka atakufanya nini, kuna sheria au taratibu zozote?
Wadau (dalali na mteja) waliowahi kufanya hivi.
Share na sisi tafadhilini.
Nyumba nikitaka ni dalali atatafuta ila huo ujinga hakuna!
Huyo alikua bwege tu kuna mahali waliandikishiana kua ntakupa kiasi flaniAnakupeleka polisi na utailipa polis, kuna rafik yang mmoja alimzunguka dalali alivojua akaenda polis jamaa yang akakamatwa akaambiwa alipe hela ya udalal na ya polis
Hizo ni story tu dalali wenyewe matapeli,ukienda police mabatini kesi kibao za madalali wa mlimani city kuuzia watu magari kwa utapeliHuyo umemkuta dalal mpole, ungekutana na mtata mbona ungeenda kuitoa polisi, yeye atasema yeye ndio kakuleta hapo means bila yeye usingepajua hapo, napolis wakuda utaitoa tu hela
Ndio utaratibu ila huo utaratibu ni wakati umeletwa na dalali...kama umeweza kukutana na mwenye nyumba bila dalali ni vizuri, ila wenye nyumba nao wanapiga ya dalali [emoji23]Mfano kwenye chumba...dalali anataka kodi ya mwezi mmoja. Hivi hizo sheria wamebuni wao au vip?
Weeeeeeee unasemaje wewe??? Unipige jiandae kushonwa nyuzi kadhaa.Mnaona udalali kazi rahisi mimi kwangu hela utatoa na makofi utachukua kabla kazi tunakubaliana kabisa na ma landlords wanaelewa kabisa kodi ya mwezi ya kwangu
Mijitu mnakaa mnadiss kazi za watu kwangu unakula mitama ya nguvu halafu ukahadithieWeeeeeeee unasemaje wewe??? Unipige jiandae kushonwa nyuzi kadhaa.
Nanihakikishe sehemu inayoonekana ili uwe unasimulia kwa kila mtu.