Kuna jamaa angu yeye anachofanyaga anamtanguliza mtu kwa madalali..then jamaa akishapata info tu za nyumba basi kwisha kazi..anazunguka yeye kama yeye kwenye hzo nyumba..akipata anayoitaka ANALIPIA..hapo DALALI hawezi kujua kuwa jamaa alimtanguliza rafiki ake kupata connection