Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

Hapa dar es salaam hakuna sehemu ambaya hakuna uswahilini hakuna.naalafu watu humu na drama sana wenyewe kukaa uswahilini ya kimara ubungo na mbezi wanaona wako ushuani[emoji16]
Sahihi kabisaa
 
Kwa hapa dar ukiondoa upanga, obey, masaki, posta, mikochen, mbezi beach, ununio, kinondoni,,,, je ni maeneo gan ambayo ni middle class ambapo ni pazuri kuishi?

NB, :isiwe kimara, tegeta, & tabata.
Toa mikocheni Kuna mikocheni B weee uswahilini balaaa,ununio sijui kule Kuna wale wazawa mpk mbezi beach Ina uswazi na nyumba za hovyoo
Dar ni masaki ,upanga,posta na obey toa pale polisi kota
 
Khahahahaha!,inabidi nicheke.maana 90% ya familia zipo uswahilini.we jifanye matawi ya juu.
Usijifiche mkuu,hakuna anayekujua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uishie darasa la.3, uwe na nyumba mbovu, uwe na watoto wadogo wengi!; ukitaka kujua hesabu yao asubùhi hesabu vifungu vya mavi!; awe mchawi wa kienyeji, awe na majungu na mmbeya, awe na wake wengj, awe na mshipa......
Mavi sio kweli bwana weee...uswazi ya wapi hyooo!!!
 
Miguu ya kuku mitatu na supu yake ugali wa kutosha pipo zinashiba..[emoji23][emoji23] uswazi Raha sana
Mnooo...miguu ya kuku ,utumbo,udambwi dambwi km wote supu ya mapupu 200
 
Dah na nasikiaga ni wazur kweli hila hawatki show off ww mnunulie chips na miguu ya kuku bas
Aiseeh nishawai tolewa nje kidizaini hiyo mkuu mpaka Leo huwa najiuliza kale kamanzi kalinidharau kwalipi hasa?😂😂😂
 
Toa mikocheni Kuna mikocheni B weee uswahilini balaaa,ununio sijui kule Kuna wale wazawa mpk mbezi beach Ina uswazi na nyumba za hovyoo
Dar ni masaki ,upanga,posta na obey toa pale polisi kota
Block K Mbezi Beach waswahili washaondolewa imejengwa shule ya sekondari.

Block Nzima hakuna waswahili
 
Back
Top Bottom