Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 791
- 1,852
Noma sana inahitaji uvumilivu sanaAjabu wewe ukijishtukia wenzako ndio wanakushangaa, yani wao hakuna kinachowashtua, Kiufupi ili uweze kucop nao lazima kuna mshipa fulani kwenye ubongo uukate.
By the way ndio mitaa iliyotulea.....Migo Migo stand up!
WeeeMnatoka vijijini kwenu huko mnakuja dar halafu mnalia lia tu
Uchoyo wenu huko sisi tunashea hadi wake sio ndala tu
Buza hawakucheleweshiDaresalamaaaaa Kuna watoto wazuriiiiii na ni mabingwa wakuamishaaa alooooooo🥰🥰🥰🥰
Ila ndo vile kuvumilia tu uswazi kuna watu vichwa vyao havina aibu kabisa! Mtu haoni aibu hata kukuonjea mboga jikoniNdo raha ya maisha hiyo...unataka wote tuishi masaki jamani...utapata wapi vya kienyeji
dahIla ndo vile kuvumilia tu uswazi kuna watu vichwa vyao havina aibu kabisa! Mtu haoni aibu hata kukuonjea mboga jikoni
ChaiIla ndo vile kuvumilia tu uswazi kuna watu vichwa vyao havina aibu kabisa! Mtu haoni aibu hata kukuonjea mboga jikoni
Wee hualpajui uswazChai
Ila ndo vile kuvumilia tu uswazi kuna watu vichwa vyao havina aibu kabisa! Mtu haoni aibu hata kukuonjea mboga jikoni
Kama wapi?Wee hualpajui uswaz