HahahUzuri wadada wa uswahili ukizoeana nao kirafiki. ,SIKU ukimwambia u umebanwa .....chap anaileta unaichapa kisela......
umenikumbusha Kuna mhuni alikua na demu wake wanaongea dilishan nlipo panga asa nikafunua pazia niangalie Nan yupo dilishan alichoniambia et ushamba2 sura Kama chup nkabak nacheka2 asa mtu wapo dirishan kwangu na bado wananitusiMaisha ya uswahilini ukiwa mgeni huwezi kuelewa wanaishi au wanatania.
Umekaa zako tu vizuri chumbani kwako unasikia inje dirishani kwako minong'ono ya watu wakitongozana laivu
Hujakaa vizuri unaona wapita njia wanapita barazani kwenu hawana hata habari wanakatiza tu popote njia
Unabandika maharage yako inje bila hata aibu unakuta jirani kashayaipua akichota mkaa akakolezee kwake!
Ukiwa unajiandaa kufua paap jirani utaona kashadamka mapema kaanika nguo zake kwenye kamba yako na wala haulizi
Ukiacha malapa inje unakuta jirani kashayavaa na yamekatika na wala usitegemee kuombwa msamaha
Yaaani uswahili maisha yake ni ya kipekee yanahitaji moyo tu kwakweli
umenikumbusha Kuna mhuni alikua na demu wake wanaongea dilishan nlipo panga asa nikafunua pazia niangalie Nan yupo dilishan alichoniambia et ushamba2 sura Kama chup nkabak nacheka2 asa mtu wapo dirishan kwangu na bado wananitusi
Ungewafanyia vurugu..😂umenikumbusha Kuna mhuni alikua na demu wake wanaongea dilishan nlipo panga asa nikafunua pazia niangalie Nan yupo dilishan alichoniambia et ushamba2 sura Kama chup nkabak nacheka2 asa mtu wapo dirishan kwangu na bado wananitusi
Wengine hata mapenz wanafanyia madirishan kwa watuUngewafanyia vurugu..😂