Maisha ya Wakenya rahisi sana, IST inauzwa KShs laki 6 tu

Maisha ya Wakenya rahisi sana, IST inauzwa KShs laki 6 tu

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Ndiyo! Laki 6 (sawa na TShs 12M) tu, lkn kwenye ile nchi uchwara kwa hela yao bei ya IST inafika milioni 20. Mtu akiwa na KShs milioni 100 anaweza kununua mabasi yote ya mikoani pale Magufuli stand.

Kile kinchi uchwara sijui kikoje? Hivi kina laana kweye hicho kinchi
 
Ndiyo! Laki 6 tu lkn kwenye ile nchi uchwara kwa hela yao bei ya IST inafika milioni 20. Mtu akiwa na KShs milioni 100 anaweza kununua mabasi yote ya mikoani pale Magufuli stand.

Kile kinchi uchwara sijui kikoje? Hivi kina laana kweye hicho kinchi
Sio kweli Kenya hawaruhusi magari yalio zidi miaka 10 na kuendelea IST nyingi modol zake ni kuuanzia 2001, kenya haziruhusiwe au unaongezewa kodi ya uchakavu ambao ni kubwa.
 
Kwhyo ww na akili zako kisoda unafikiri hyo 600K ya huko kuipata ni easy kama Bongo!? Yn ukiona mtu amenunua hyo IST ujue kasota km hku tu.
Tatizo kubwa wa Tanzania wengi hawana exposure ya nje ya nchi wapo wapo tu na CCM yao, kuna kijana ana miaka 50 ajawahi kuvuka mpaka wa nchi ila nimsomi kabisa, hilo limefanya watanzania wengi kua mbumbumbu.
 
Ndiyo! Laki 6 tu lkn kwenye ile nchi uchwara kwa hela yao bei ya IST inafika milioni 20. Mtu akiwa na KShs milioni 100 anaweza kununua mabasi yote ya mikoani pale Magufuli stand.

Kile kinchi uchwara sijui kikoje? Hivi kina laana kweye hicho kinchi
Huna akilii wewe,,,endeleenii kikimbiaa na masufuria kichwanii njaa itawauaa,,,chakula tuu mnashndwa kununua
 
Back
Top Bottom