Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
wanatuchokoza makusudi kabisa hawa jamaa wa 254Huyo alifikiri 600k ni 600k Tz na Ke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanatuchokoza makusudi kabisa hawa jamaa wa 254Huyo alifikiri 600k ni 600k Tz na Ke.
na kuna watu wamekupa likes kabisa..Tatizo kubwa wa Tanzania wengi hawana exposure ya nje ya nchi wapo wapo tu na CCM yao, kuna kijana ana miaka 50 ajawahi kuvuka mpaka wa nchi ila nimsomi kabisa, hilo limefanya watanzania wengi kua mbumbumbu.
Miaka 50 uyo ni kijana?Tatizo kubwa wa Tanzania wengi hawana exposure ya nje ya nchi wapo wapo tu na CCM yao, kuna kijana ana miaka 50 ajawahi kuvuka mpaka wa nchi ila nimsomi kabisa, hilo limefanya watanzania wengi kua mbumbumbu.
Labda useme thamani ya hela yetu ipo chini lakini sio kusema Kenya wana maisha rahisi. Unaweza kuta kuipata iyo laki 6 yao ukiwa kenya shughuli yake ni ngumu kuliko kuipata milioni 10 ya hapa hapa bongoNdiyo! Laki 6 (sawa na TShs 12M) tu, lkn kwenye ile nchi uchwara kwa hela yao bei ya IST inafika milioni 20. Mtu akiwa na KShs milioni 100 anaweza kununua mabasi yote ya mikoani pale Magufuli stand.
Kile kinchi uchwara sijui kikoje? Hivi kina laana kweye hicho kinchi