Brightly
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 391
- 623
Mwalimu Kenya analipwa Kshs 28,000Unaijua mishahara ya Wakenya? Pesa ngumu sana kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu Kenya analipwa Kshs 28,000Unaijua mishahara ya Wakenya? Pesa ngumu sana kule
Majitu wanamukia kubishana Simba na Yanga, unafikiri mda wa kuelewa masuala ya dunia wataupata wapi?Vijiwe vya Boda ndio story zao hizo
Mleta mada kazipata huko kaja fasta JF kafungua thread [emoji2]
Acha kujifanya unajua wewe Mimi Kenya naijua vizurii Wana wengi wao Wana maisha mangumu saana,kijana akimaliza tuu university anajifanya msomii ukiuliza Sasa alichosomeaa hakiwezii kumsaidia kujiajiri wanabakii kuwa vibaka tuu mitaanii Kenya Kuna maisha mangumu vibaya mno labda uwadangaye ambao hawajawahii kufika kenyaTatizo kubwa wa Tanzania wengi hawana exposure ya nje ya nchi wapo wapo tu na CCM yao, kuna kijana ana miaka 50 ajawahi kuvuka mpaka wa nchi ila nimsomi kabisa, hilo limefanya watanzania wengi kua mbumbumbu.
Jamaa amekurupuka vibaya sanaHuyo alifikiri 600k ni 600k Tz na Ke.
Hujui Kenya niambie Kenya alikua unaishi province ipi counti ipi? Hapo ndo ntajua unaijua unasikia tu stori za vijueni.Acha kujifanya unajua wewe Mimi Kenya naijua vizurii Wana wengi wao Wana maisha mangumu saana,kijana akimaliza tuu university anajifanya msomii ukiuliza Sasa alichosomeaa hakiwezii kumsaidia kujiajiri wanabakii kuwa vibaka tuu mitaanii Kenya Kuna maisha mangumu vibaya mno labda uwadangaye ambao hawajawahii kufika kenya
Mkuu hajui ,akija na jibu nitagHujui Kenya niambie Kenya alikua unaishi province ipi counti ipi? Hapo ndo ntajua unaijua unasikia tu stori za vijueni.
Hujui Kenya niambie Kenya alikua unaishi province ipi counti ipi? Hapo ndo ntajua unaijua unasikia tu stori za vijueni.
NHujui Kenya niambie Kenya alikua unaishi province ipi counti ipi? Hapo ndo ntajua unaijua unasikia tu stori za vijueni.
Nyanza province,migori county,siyo tuu kuishii Kenya nimesoma Kenya pia Hadi KCPE nimefanya mwaka 2011,nimehitimu pale Ajumbo academy nikachanguliwa kwenda Tarangaya high school,enzi hizo hata county hazijaja,masomo yalikuwa matano jumlisha insha na Composition hakuna kitu sikijuii kuhusu Kenya mzee,kwanza mazingira ni machafuu watu wanatupa takataka ovyo majelala Hadi kwenye nyumba za kuishiiHujui Kenya niambie Kenya alikua unaishi province ipi counti ipi? Hapo ndo ntajua unaijua unasikia tu stori za vijueni.
600,000X20.66 =12,397,648.16Ndiyo! Laki 6 tu lkn kwenye ile nchi uchwara kwa hela yao bei ya IST inafika milioni 20. Mtu akiwa na KShs milioni 100 anaweza kununua mabasi yote ya mikoani pale Magufuli stand.
Kile kinchi uchwara sijui kikoje? Hivi kina laana kweye hicho kinchi
Nyanza province, migori county,Kuria west district-Mabera DivisionMkuu hajui ,akija na jibu nitag
Amegoogle ,mdanganyikaNyanza province, migori county,Kuria west district-Mabera Division
Wewe unaishi kwa wa Jaluo ndo una generalise Kenya nzima wajaluo wa Kenya wana njaa ni masikini sana, ungeishi Nakuru, Naivasha Mombasa Nairobi ningekuelewa.......unaishi kwenye province masikini ndo usemee kenya yote, ni sawa sawa mtu aishi Geita hapa Tanzania ndo aseme anajua Tanzania vizuri......Nyanza province,migori county,siyo tuu kuishii Kenya nimesoma Kenya pia Hadi KCPE nimefanya mwaka 2011,nimehitimu pale Ajumbo academy nikachanguliwa kwenda Tarangaya high school,enzi hizo hata county hazijaja,masomo yalikuwa matano jumlisha insha na Composition hakuna kitu sikijuii kuhusu Kenya mzee,kwanza mazingira ni machafuu watu wanatupa takataka ovyo majelala Hadi kwenye nyumba za kuishii
Ina thamani, bei hazipandi hovyo hovyo, wana watu wa uchumi waliobobeaUnaijua mishahara ya Wakenya? Pesa ngumu sana kule
Saw basi ndio ingalikuw ata 10/13 million tukanunua kuliko 15m+Kshs 600k ni sawa na 10mil ya bongo na kuipata ni mtiti vile vile hata huko
Chakula nashindwa kununua kwhyo unategemea naish bila kula !? Wewe ni mshamba na haujui ktu ,Kenya hyo watu wanasota kulko unavyofikiria na hyo hela kuipata sio easy ,usione aibu kuulza kabla ya haujakurupuka kuleta thread.Huna akilii wewe,,,endeleenii kikimbiaa na masufuria kichwanii njaa itawauaa,,,chakula tuu mnashndwa kununua